Mimi mbona mtu wa amani sana mkuu, dizain kama watu wa Jamaica... Pepere kaanza huyu mwana kwa kuquote sms ambayo kimsingi haikumhusu nilivyomjibu tu kakimbilia PM ni sms hadi kero sasa...andachoandika hata haeleweki ndo namwambia sipendi namna hii afanye mambo mengine!