Makapuku Forum

Hii kiboko aisee

Samtaimu ni mwiko kuichukulia serious Siku Ya Wajinga unaweza kupoteza fursa bure
......
Kweli mkuu ....

Nakumbuka mwaka 2003 tareh moja april tunapigiwa simu kuwa anko kafariki wote tukapuuzia na ilileta mtafaruko wa familia ilichukua mda kusolve hiyo kitu ...make wengi walidhania hatutaki kushiriki msiba
 
Aisee, huwa inaleta shida sana

Dada mmoja tulikuwa tunafanya naye kazi, alifariki gafla tu asubuhi mme wake akanipigia simu ya kunijulisha, muda huo huo nikatuma sms kwa watu wote wa ofisini, kila mtu aliniambia mimi muongo nani siku ya wajinga humpati mtu, walipoona funguo ninazo mimi wakasema tumefanya dili, baadaye manager ndio akatoa tangazo, hawakuamini
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…