Makapuku Forum

Mkuu acheni malumbano
Hapa ni One love
.............

Mimi mbona mtu wa amani sana mkuu, dizain kama watu wa Jamaica... Pepere kaanza huyu mwana kwa kuquote sms ambayo kimsingi haikumhusu nilivyomjibu tu kakimbilia PM ni sms hadi kero sasa...andachoandika hata haeleweki ndo namwambia sipendi namna hii afanye mambo mengine!
 
Sasa km kakuPM kwahiyo unasema ili adharaulike?
Anyway yameisha
.....................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…