Mimi ni Real Madrid, ila leo naombea juve ashinde kwa heshima ya Buffon ili astaafu na heshima iliyotukukaBarca anapopambana na Real au kugombea kombe moja ndo nakuwa upande wa Real
Mfano alipokutana na Bayern nilishabikia Bayern
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Kuna jamaa upande wa pili kule ukiqoute hivyo wanakutukana kweli utafikiri wao ni wamiliki wa jfMaelezo mazuri...
Good pundit from makapuku ha ha ha ha
Kweli kabisaKea heshima ya Buffon, Juve inabidi wabebe japo sio kazi rahisi.
Aisee [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi ni mkubwa na ninapenda sana wali ndondo.
Ila kwa kauli yako unataka kusema Jakaya Kikwete ambaye anapenda sana mahaba (ukoko wa juu baada ya wali kupaliwa) na maharage bado ni mtoto? Au hukuwahi kusikiza mahojiano yake
Niko poa kabisa Obe, vip lakini weekend imeendajeAnaonekana kimagutumagutu sana, anyway labda atakuja kutupia burudani, ikiwa vipi itabidi tu kwa leo tupate updates nyingi za soka. Muziki kesho.
Uko poa lakini mdau?
Kweli aiseeMh! We muongo [emoji23]
ulifkili nini shemelaAisee, mimi nilifikiri ni....
kweli kabisa shemela nampenda sana mama mchuchu na ipo siku nitamuomba nionane naeMwanao anakupenda sana, asipokuona haijisikii raha, lengo akutanie tu na nafsi yake ifurahi
Mhuchumi hauruhusu
hao mimi wala hawanisumbuiSi walee wanaa wanaokutangazia kwamba wewe mmbea
[emoji134] [emoji134] kwa nini tena jaman babySitakiii
ni kweli lakini tusikate tamaaBhinamu hana chakee
namuonea huruma sana binamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rafiki zangu walikuja kunipa poleNina moyo mjuee
Mmmmmh
YaaaahCR7 keshaua huku jamani....
[emoji2] [emoji2] binamuuuMjomba tumefikia hatua hii? Ngoja nijipange nirudi maana machapati ya maji bado yako mwilini
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Bhinamu kipenz mm nimekasirika sana unakumbuka jana tulivyojitahd kwa mama mchuchu kumbe yeye maflower kayatunza ....umeona replay alivomuona limukongo ??
Na kwa demi uliyakoroga jana