Unatakiwa utoe maelezo ya kuridhisha kwamba: Demi akiwa na kimini halafu kabugia kilaji cha kutosha alikaaje ndani far? mosi ...pili kutokana mkao aliokaa wewe ulibaki salama?
Ila kwa kauli yako unataka kusema Jakaya Kikwete ambaye anapenda sana mahaba (ukoko wa juu baada ya wali kupaliwa) na maharage bado ni mtoto? Au hukuwahi kusikiza mahojiano yake