Makapuku Forum

Shunie aunt yako sijui kala maharage ya wapi sio kwamba anajamba ushuzi mzito la juma ....make na mm leo mwendo wa kugongewa like ntafanyajee siwez jua nilipotoka jana aliingia nani ilo jibu akupe wewe ....

Bhinamu jana tulivoachana jana wakati namsindikiza dem nikakumbuka haswa kuwa nimesahau simu uliponioelekea kwa mhudumu kunichajiaa ...ikabidi turud ndo tukakuta dj kachaweka mabangii yake anachekecha cd sio mchezo ikabidi turuke mbili na mrembo demi ila sio zero distance. ..anyway mengi ya kusimulia safar yetu ila kaamuka anauchovu nkamnunulia supuuu ...
 
Wali ndondo....... Una Umri gani Obe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…