eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Habari ya asubuhi wapendwa
Tumeamka salama Rafiki kipenzWakuu kumekucha salama ....mda kidogo tuone UF
Nzuri kiongoziiHabari ya asubuhi wapendwa
Apo swalamaaa kipenz rafikiTumeamka salama Rafiki kipenz
Nzuri, tumeamka salama!Habari ya asubuhi wapendwa
Asante kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo mkuu ShululuView attachment 518456Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa sweetiepie jirani
Nawatakieni wote jumamos njema
1 Wakorintho 13

Na wewe heshima yako Rafiki kipenzKipenzi rafiki heshima yako kwanza ...
Unanionaa kiukweli
Atarii lakin salamaNa wewe heshima yako Rafiki kipenz
Ndio nakuona unampiga mtu mazagazaga halafu amekula kimini cha nguvu. Ha ha ha ha ha.
Nimeamka nahitaji supuOngeza mama kipenziii ...kwanza mtupio wa leo sio wa dar hii
Wanaona wivuuuMimi ndo nimemwambia atinge kiminiiii upooo ??
Asante kwa magazeti baba watoto,hope unaendlea vzrView attachment 518456Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa sweetiepie jirani
Nawatakieni wote jumamos njema
Sawa.... Sisi wanaume... Wacha tufichiane siri ha ha ha ha haAtarii lakin salama
Mengine unakaushia kipenziii
Kalala ujueeSawa.... Sisi wanaume... Wacha tufichiane siri ha ha ha ha ha
Ebhu tulia supu unapata mamaaNimeamka nahitaji supu
Asante mama mchungaji Mungu azidi kukubarikiii1 Wakorintho 13
1.Nijaposema kwa lugha za wanadamu na malaika,kama sina upendo ,nimekuwa shaba ilayo na upatu uvumao.
2.Tena nijapokuwa na unabii,na kujua siri zote na maarifa yote,nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima,kama sina upendo,si kitu mimi.
3.Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini,tena nikijitoa mwili wangu niungue moto,kama sina upendo ,hainifaidii kitu.
4.Upendo huvumilia,hufadhili,upendo hauhusudu,upendo hautakabari,haujivuni.
5.Haukosi kuwa na adabu,hautafuti mambo yake,hauoni uchungu,hauhesabu mabaya.
6.Haufurahii udhalimu,bali hufurahia pamoja na kweli.
7.Upendo haupungui neno wakati wowote,bali ukiwepo unabii utabatilika,zikiwapo lugha ,zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika.
TUOMBE
Baba Asante kutuamsha salama,tunakushukuru kwa yote unayotutendea umekuwa mwema kwetu hakika wema wako na fadhili zako hazichunguziki.
Tunajikabidhi mikononi mwako Baba tulinde,tuongoze,tuponye,tufundishe Upendo Wa kweli ,kujaliana,kuthaminiana,kuchukuliana katika kila jambo ili dunia iwe mahali pazuri pa kuishi kwa kila mmoja wetu,tutenge na ubinafsi,chuki zisizo na sababu,tujenge katika misingi ya upendo kwa kila mmoja wetu,Upendo kwa jirani.
Baba asante kwakuwa utafanya sawa na mapenzi yako.
NEEMA YAKO YATOSHA
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()