shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
MzeewakungoaAsante kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo mkuu Shululu

Shemela asante kwa magazeti uwe na asubuhi njemaView attachment 518456Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa sweetiepie jirani
Nawatakieni wote jumamos njema
Asante sana.

Nawe piaAsubuhi njema makapuku wote
Mama mchuchu shikamoo mama nini shida lakini au sababu baba mchuchu haonekaniAsante Lee ubarikiwe uwe na siku njema![]()
Nzuri shemeji, habari za hapo nyumbaniHabr yako shemeji
Asante shemela, nawe pia shemela wangu wa ukweliShemela asante kwa magazeti uwe na asubuhi njema
kaka uwe na amani zoteHaaahaaahaaa.
Hata Shunie alistuka.
Asante kwa magazeti shemejiView attachment 518456Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa sweetiepie jirani
Nawatakieni wote jumamos njema
Nimemuonaa mme mweee ..![]()
![]()
umemuona uliekuwa unamuulzia eeeh
UbarikiweAmen
Amen1 Wakorintho 13
1.Nijaposema kwa lugha za wanadamu na malaika,kama sina upendo ,nimekuwa shaba ilayo na upatu uvumao.
2.Tena nijapokuwa na unabii,na kujua siri zote na maarifa yote,nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima,kama sina upendo,si kitu mimi.
3.Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini,tena nikijitoa mwili wangu niungue moto,kama sina upendo ,hainifaidii kitu.
4.Upendo huvumilia,hufadhili,upendo hauhusudu,upendo hautakabari,haujivuni.
5.Haukosi kuwa na adabu,hautafuti mambo yake,hauoni uchungu,hauhesabu mabaya.
6.Haufurahii udhalimu,bali hufurahia pamoja na kweli.
7.Upendo haupungui neno wakati wowote,bali ukiwepo unabii utabatilika,zikiwapo lugha ,zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika.
TUOMBE
Baba Asante kutuamsha salama,tunakushukuru kwa yote unayotutendea umekuwa mwema kwetu hakika wema wako na fadhili zako hazichunguziki.
Tunajikabidhi mikononi mwako Baba tulinde,tuongoze,tuponye,tufundishe Upendo Wa kweli ,kujaliana,kuthaminiana,kuchukuliana katika kila jambo ili dunia iwe mahali pazuri pa kuishi kwa kila mmoja wetu,tutenge na ubinafsi,chuki zisizo na sababu,tujenge katika misingi ya upendo kwa kila mmoja wetu,Upendo kwa jirani.
Baba asante kwakuwa utafanya sawa na mapenzi yako.
NEEMA YAKO YATOSHA
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
HahahahaaMama mchuchu shikamoo mama nini shida lakini au sababu baba mchuchu haonekani
Salama kaka ubarikiweMmeakaje humu ndani
UbarikiweAmen
1 Wakorintho 13
1.Nijaposema kwa lugha za wanadamu na malaika,kama sina upendo ,nimekuwa shaba ilayo na upatu uvumao.
2.Tena nijapokuwa na unabii,na kujua siri zote na maarifa yote,nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima,kama sina upendo,si kitu mimi.
3.Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini,tena nikijitoa mwili wangu niungue moto,kama sina upendo ,hainifaidii kitu.
4.Upendo huvumilia,hufadhili,upendo hauhusudu,upendo hautakabari,haujivuni.
5.Haukosi kuwa na adabu,hautafuti mambo yake,hauoni uchungu,hauhesabu mabaya.
6.Haufurahii udhalimu,bali hufurahia pamoja na kweli.
7.Upendo haupungui neno wakati wowote,bali ukiwepo unabii utabatilika,zikiwapo lugha ,zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika.
TUOMBE
Baba Asante kutuamsha salama,tunakushukuru kwa yote unayotutendea umekuwa mwema kwetu hakika wema wako na fadhili zako hazichunguziki.
Tunajikabidhi mikononi mwako Baba tulinde,tuongoze,tuponye,tufundishe Upendo Wa kweli ,kujaliana,kuthaminiana,kuchukuliana katika kila jambo ili dunia iwe mahali pazuri pa kuishi kwa kila mmoja wetu,tutenge na ubinafsi,chuki zisizo na sababu,tujenge katika misingi ya upendo kwa kila mmoja wetu,Upendo kwa jirani.
Baba asante kwakuwa utafanya sawa na mapenzi yako.
NEEMA YAKO YATOSHA
NAWATAKIA SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()

Dada habr ya kuamkaShemela asante kwa magazeti uwe na asubuhi njema
Hapa njema za hukuNzuri shemeji, habari za hapo nyumbani