Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dawa ya kukomesha uvivu kwa wanaume wa Kibongo hii hapa
b75ad67e59234a775c1d4d9dba9258d9.jpg
 
Ha hahahhaha, ankal bhana, ujue Shunie anavumilia mengi sana maana wewe kila moja ni mbili na mbili ni moja ilmradi tu umiliki hadi tatu huku nne na tano ukiniachia mpwao nijishindie. Mambo ya ukoo haya.

demi nimemuona, kagonga tusker na redds, duh yaani ni kama jiko la shamba hachagui kinywaji. Kwa kuwa anajilipia wacha anywe nitamsindikiza.

BTW ana jina zuri sana
Bhinamu ndo maana dada alitangulia kuzaliwa ...unajuaa bhinam leo mamaa demi kakufanya uwe mpole hupepesiii macho na wahudumu wa leo siwaelewiiii ...ila yote sawa tutafikaa ndo tujue nan anamsindikizaa ...mm nshaaga nalala kwakoo
 
BARAKA ZA BWANA

HESABU 6

24.BWANA akubarikie na kukulinda.

25.BWANA akuangazie nuru za uso wake na kukufadhili.

26.BWANA akuinulie uso wake na kukupa amani.

USIKU MWEMA WAPENDWA MAKAPUKU WENZANGU, MBARIKIWE
 
Safari na Muziki

Ni usiku sasa hapa kwetu, lakini JF na hasa Makapuku ni kama himaya ya Muingereza enzi hizo. Unaweza kuta saa hizi ni saa sita mchana sehemu fulani na wote tumo humu humu Makapuku.

Jukwani humu leo kama tulivyoona kulikuwa na vioja, well, kuna kutukanana na sababu, lakini kama mtu anakuja tu anaanza kutukana basi ukimtukana utakuwa umempa heshima. Ila kwa namna tulivyowaaacha tumeonesha kweli humu si mahali pa mchezo mchezo. Asante kwetu.

Furahiday kama kawaida, siongei sana maana sichelewi kuandika yale ninayopenda kiukweli, In vino veritas, (kwenye mvinyo, kuna ukweli). Na maongezi mazuri ni pale mnapoongea wote lock zimeactivatiwa kiweekend.

Tumwangalie mpiga gitaa na muimbaji mzuri wa kiingereza Michael David Rosenberg almaarufu Passenger, mshindi wa Tuzo za Brit Award kwa wimbo 'Let Her Go'.

hebu burudika wakati naangalie utaratibu wa namna gani nitaondoka hapa maana sipaelewi elewi hapa nilipokaa.

Nikutakie wikend Njema sana na sitochoka kukwambia, Wewe ni Mtu Muhimu Sana Hapa Makapuku Forum. LLL

Nimemwangalia Passenger naye nimeona ana vidole sita au well, sijahesabu sawasawa. Wakati wenzangu wanaenda na visoda kufundishwa kuhesabu mimi nilikuwa nachunga tu mbuzi

Asante sana Obe Ubarikiwe
 
T G I F
Asante Obe kwa burudani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom