Asante bhinamu ...gitaa lenyeweSafari na Muziki
Ni usiku sasa hapa kwetu, lakini JF na hasa Makapuku ni kama himaya ya Muingereza enzi hizo. Unaweza kuta saa hizi ni saa sita mchana sehemu fulani na wote tumo humu humu Makapuku.
Jukwani humu leo kama tulivyoona kulikuwa na vioja, well, kuna kutukanana na sababu, lakini kama mtu anakuja tu anaanza kutukana basi ukimtukana utakuwa umempa heshima. Ila kwa namna tulivyowaaacha tumeonesha kweli humu si mahali pa mchezo mchezo. Asante kwetu.
Furahiday kama kawaida, siongei sana maana sichelewi kuandika yale ninayopenda kiukweli, In vino veritas, (kwenye mvinyo, kuna ukweli). Na maongezi mazuri ni pale mnapoongea wote lock zimeactivatiwa kiweekend.
Tumwangalie mpiga gitaa na muimbaji mzuri wa kiingereza Michael David Rosenberg almaarufu Passenger, mshindi wa Tuzo za Brit Award kwa wimbo 'Let Her Go'.
hebu burudika wakati naangalie utaratibu wa namna gani nitaondoka hapa maana sipaelewi elewi hapa nilipokaa.
Nikutakie wikend Njema sana na sitochoka kukwambia, Wewe ni Mtu Muhimu Sana Hapa Makapuku Forum. LLL
Nimemwangalia Passenger naye nimeona ana vidole sita au well, sijahesabu sawasawa. Wakati wenzangu wanaenda na visoda kufundishwa kuhesabu mimi nilikuwa nachunga tu mbuzi
Mh!unicharue ili iweje sipendi jaman sio kuzoeana iwe shida acha nibadilike kidogo mniseme nina ringa naona mazoea yana shida
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Tunamshukuru mungu.... Bado anatulea viumbe vyake
Tujurishaneee au ndo impacts za chips uko hoiiiPoa sana.. ...Lakini jasho linanitoka hapa
Mme mwee yuko wapii[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Si unajua tena Lee kuamua ugomvi wa wanawake....... Huku unaamua huku boxer imetuna.ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.Tujurishaneee au ndo impacts za chips uko hoiii
MwanamkeMtu gani huyo, mwanamke au mwanaume?
Njema dada nilikuwa nje ya mji kidogo ila ndo nimerudiSalama hbr ya kuadimika
Katingwa na majukumu leo hope kesho atakuwepoMme mwee yuko wapii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseeSi unajua tena Lee kuamua ugomvi wa wanawake....... Huku unaamua huku boxer imetuna.ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.
Ooooh pole na karibu tena nyumbanNjema dada nilikuwa nje ya mji kidogo ila ndo nimerudi
Nini jimenaMmmh
Si ndivyo inavyokua T?[emoji3] [emoji3] [emoji3] aisee
Asante bhinamu ...gitaa lenyewe
Ulichoanza nacho ana kumaliza nacho vyote ni vyema japo cha mwisho na mwanzo ni tofaut bin different lakin sawa si ndo furahiiday na tumetimba mapema kujionea mauno ya hii bendiii...uzuri umeona mwenyewe nikikutafutia kifaa unakubar unamuona mtoto demi alivyo na tusker plus redds zimemkaa naona anavorembuaa ...yote heri ila kumbuka msemo wetu kizuri unakula na ndugu yako kama nyama za leo ulivotukaribishaa
Eti najilipia! Pesa ni za Lee.Ha hahahhaha, ankal bhana, ujue Shunie anavumilia mengi sana maana wewe kila moja ni mbili na mbili ni moja ilmradi tu umiliki hadi tatu huku nne na tano ukiniachia mpwao nijishindie. Mambo ya ukoo haya.
demi nimemuona, kagonga tusker na redds, duh yaani ni kama jiko la shamba hachagui kinywaji. Kwa kuwa anajilipia wacha anywe nitamsindikiza.
BTW ana jina zuri sana
Ni kweli mzee. Tutafika.Sasa hv ndo tunapata uhakika kwamba mungu yupo.... Kubanwa kote lakini bado tunaishi
Anaguna kusikia eti lee anaamua ugomvi na boxer imenaniiiNini jimena
Haumo vipi na were ndio chanzo. Kajuaje kama unacho kimini?Mi simoooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ukizidi sana ni sunata sio sunna tenaWivu sunna