Makapuku Forum

Makapuku Forum

KANDAHAR, PAKISTAN
BBpcfeN.jpg

Basi likiwa limebeba bidhaa na mizigo, ilikuwa tarehe 25/09/2011
 
  • Thanks
Reactions: Lee
MAJULI, INDIA
BBpcU1i.jpg


Kivuko kikivuka mto Brahmaputra kikiwa kimebeba watu, bidhaa, magari pamoja na pikipiki Nov, 20 2013
 
  • Thanks
Reactions: Lee
MANDALAY, MYANMAR
BBpcOSY.jpg


Sio India tu hata huko Myanmar nao wapo vizuri kwenye usafiri wa treni hapa ilikuwa wamekwenda kwenye sherehe za kijadi ijulikanayo kama Taungbyon national festival ilikuwa tarehe 1/08/2008
 
  • Thanks
Reactions: Lee
mautani ya hovyo sipendi kabisa mondray yaan sipendi huyo unaemtag ni nani kwangu? ebu nipumzisheni kidogo
Nisamehe dada angu..
Najua humpendii na mm nimekosea najua..
Nimetaka nikucharue kidogo si unajua nilikumiss..
NISAMEHE.
 
unicharue ili iweje sipendi jaman sio kuzoeana iwe shida acha nibadilike kidogo mniseme nina ringa naona mazoea yana shida
Nani kasema unaringa ??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom