Asante TNUKUU YA LEO.
Everyone has their challenges.
Kila watu wana changamoto zao.
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na Muigizaji wa kimarekani Wentworth Miller maarufu kama Prison Break.
Miller alizaliwa miaka 45 iliyopita nchini Uingireza. Miller alizaliwa June 2 1972.
Wentworth ana uraia wa marekani na wa uingereza. Baba yake alikuwa ni mtu mmarekani mweusi na mama yake ni mchanganyiko wa mrusi-mfaransa na mholanzi.
Wentworth ana degree ya fasihi ya Kiingereza kutoka chuo cha Princeton -marekani.
Wentworth miller amepata umaarufu mkubwa kupitia filamu za Prison Break na legends of tomorrow.Sasa hivi anaishi nchini Canada na wadogo zake wawili wa kike.
Mwaka 2007, Miller alikana kujihusisha na ndoa za jinsia moja lakini mwaka 2013 ndio alipojulikana kuwa wentworth ni shoga na muumini wa ndoa za jinsia moja.
Mwaka huo huo Russia ndio wakapiga vita ndoa za jinsia moja. Kitu ambacho wentworth miller aligomea mualiko Kongomano la Filamu nchini Russia.
Miller alikulia maisha ya upweke na kumfanya ajaribu kujiua mara nyingi zaidi.Sasa hivi miller ni balozi wa shirika la Active linalohusika na kuhamasisha vijana kujitambua na kufanya kitu wanachopenda wao.
Niishie hapo kwa leo.
Aminia kamandaAsante T
Asante kwa nukuuNUKUU YA LEO.

Pamoja.Asante bennito.
Muda mwingine majina makubwa hayana mchango wowote kwenye timu!Haifanyi vizuri kwa siku za karibuni, na ukiiangalia Argentina kwa sasa wana kikosi bora kabisa, lakini wameshindwa kujitendea haki wao wenyewe
Itakuwa poaHahaha...2- Bashite
Mechi nyingine iliyojaa undava ni Kombe la Dunia la mwaka 1954 pale Uswizi kati ya Hungary na Brazil ambapo undava wa hali ya juu ulijitokeza. Mechi hiyo inaitwa Battle of Berne, ambapo vurugu zilianzia uwanjani na kuhamia ndani ya vyumba vya kubadilishia Nguo.
Baadae kidogo nitaleta mechi kumi zilizojaa ubabe na undava katika historia ya soka.
Ndo asili yao huko America KusiniIla watu wafupi wana stamina sana. Mwingine ni Dybala wa Juve. Argentina siku zote ina wachezaji wazuri na mastaa wa kutosha lakini haifanyi vema kwenye mashindano makubwa ya Kimataifa.
Nimeona ila edit maelezo kidogo pale kwenye jina lake umeandika "maarufu km PrisonBreak" badala ya maarufu kwenye PB km Michael ScorfieldNimetia nyama kidogo kwenye Nukuu ya leo.. pitia nukuu hapo juu mkuu.
Huyu ni mshakaji wake na Mondray [emoji23][emoji23]
Anapata udhamini, ufadhili kutoka kapukuz .Na ufadhili ni Fedha au sio husna muba?Anafaidi nn mkuu?!
Pamoja mama mchuchu wa obeMimi namshukuru Mungu nipo salama,za uzima Lee Asante[emoji120]
Asante mkuu DiktetaLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
Hahaaa!Nimeona ila edit maelezo kidogo pale kwenye jina lake umeandika "maarufu km PrisonBreak" badala ya maarufu kwenye PB km Michael Scorfield
Ni hapo tu
.
.
Ila una utani wa ngumi
......
Yesu Mkombozi kaniamsha mama mchungaji. Afya njema kabisa. Tatizo kubwa ni empty pocket madame. Hali sio. Kodi za viwanja uwiiiii!Njema umeamshwaje mkuu
Yesu Mkombozi kaniamsha mama mchungaji. Afya njema kabisa. Tatizo kubwa ni empty pocket madame. Hali sio. Kodi za viwanja uwiiiii!Njema umeamshwaje mkuu
Stewart alikuwa mzuri. Azam kaiga falsafa za Simba na Yanga.Mwenyewe sikuwahi kuwa na imani na Kawemba! Kitendo cha kumtimua mwingereza na kuleta Waspain ndo kinaifanya Azam ikose uwakilishi wowote kimataifa msimu ujao!
Muongo hihihiiiiiiiii..... Sakayo juzi juzi tu alisema amechoka ukapera anataka aolewe.Yes..
We mshukuru tu huyo.... Huwa anajitiaga kuku wa watu..... T noma sanaAsante T
Sawa.........lakini kuna project TNTAsante T
Aminia kamanda