Makapuku Forum

Vita kati ya Kambarage v Idd Amin(Kagera War) ilileta mtikisiko mkubwa kiuchumi japo tulishinda vita
Baada ya vita uchumi ulidorora na watu kufunga mkanda hadi matundu ya mwisho
......
 
Vita kati ya Kambarage v Idd Amin(Kagera War) ilileta mtikisiko mkubwa kiuchumi japo tulishinda vita
Baada ya vita uchumi ulidorora na watu kufunga mkanda hadi matundu ya mwisho
......
Ni kwelii mkuu japo nilikuwa mdogo ila nna kumbukumbu kidogo ...ila kiukweli tuombe aman ..uchumi ulidorora kwelii ila hatukufikiaa kwa hawa wenzetu tumshukuru Mungu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…