Ni mmoja kati ya wanawake warembo weupe kuwahi kutokea duniani
Ila aliutumia vibaya urembo wake
Kwani ni mmoja wa warembo wa kizamani maarufu kwa kupiga picha za utupu
Ni km Naomi Campbell wa zama hizi
Siyo tu inadaiwa bali ni kuna kaukweli kwamba JFK alikuwa anakula mzigo...
JFK ni mmoja wa marais wa USA wapenda totoz hata mkewe alikuwa ni mrembo
Kilichofanywa na Marilyn Monroe ni km alichofanya
Naomi Campbell kulala na
Charles Taylor
Ili kutunza heshima ya Rais JFK Maofisa wa FBI chini ya
Edgar Hooverwakatia mkono na kufanya mambo kimyakimya
Na kwavile M arilyn alikuwa ni mlevi na malaya basi inadaiwa walimuua kwa sumu
Km picha inavyoonekana alikutwa chumbani kwake akiwa amekufa usingizini
Pembeni zilionekana dawa za kulevya na pombe{inadaiwa ziliwekwa na FBI km zuga tu) au alitegeshewa sumu kwenye kinywaji
....