Makapuku Forum



Heshima kwako mdau, siku zinakimbia sana.

Niliona mchango wako kwenye maswali ya lee empire , ulijibu ukiwa very objective sana katika hli ambayo hukutaka kuja na jibu la JPM anastahili au hastahili halafu wengine waanze kukulabel kuwa uko upande usio wao.
Ulinikumbusha enzi hizo nasoma sana makala za jenerali Ulimwengu enzi za Rai halisi.

Pilika pilika zinabana na ndo maana unaona kuingia ni usiku sana au makingilima (asubuhi sana😀), nchi imevaa jeans kwa hiyo ni mwendo wa kujipanga kweli kweli.

Siasa ni maisha, huwezi kuikwepa, utaikuta kila mahali hata faraghani, utaikuta. Nitakuwa nashirikishiriki inapotokea.

Asubuhi njema.
 
Asante msukuma nimeshapoa [emoji120] hahahhh kwa nini anakua mkali
Wivu uliopitiliza kimo. Yaani hata kumwomba tu afikishe pole za msiba weee! "Ooooh, msipomtaja mke wangu siku haziendi? Ohooo..." Kazi unayo haki ya nani [emoji23][emoji23][emoji23]. May be kungekuwa na mlinzi akaambatana nawe Tanga angeweza kutulia kidogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…