Makapuku Forum

Inawezekana wako honeymoon
 
Husna njoo ututhibitishie hapa
 
Asante bagheshi
 
Wakuu leo kuna mkanganyiko mkubwa wa data
Navyosonga mbele nakuta na kujiua pia kunahesabiwa
Sehemu nyingine kujua pekee
Hivyo naishia hapa maana siwezi kuandika kitu kisichojitosheleza au kilicho tofauti na utangulizi

Hivyo tukutane kesho
************************
Ni tatizo tu lililojitokeza hivyo litanikomaza na kunifanya nizidishe umaskini siku nyingine

Samahani kwa usumbufu na post nilizopost nadelete maana siku zote huwa naandika kitu kisicho na shaka au kupotosha
............
 
Haina kwere mkuu

Kazi inapendeza
 
Sawa,nashukuru
 
Shemela huyo
 
Uciniambie umebwaga manyanga
 
hatimae mwandishi abwaga manyanga
[HASHTAG]#Shedede[/HASHTAG] finish our stori#
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…