Makapuku Forum

hata sura inasadifu huyu yalikuwa yuko vzr kwenye hiyo idara
 

Wanapinga tu kwa maneno ila kuzuia uzalishaji wa tumbaku au kufungia viwanda vya sigara hawawezi
Ni chanzo kikubwa cha mapato katika nchi nyingi duniani
.......
Siyo mapato yanayotokana na kodi pekee. Wale wanaougua kansa ya mapafu na magonjwa mengine yanayosababishwa na tumbaku nao wanahakikisha kuwa makampuni ya madawa hayakosi wateja. Kuna vidonge vya kansa sasa vinauzwa mpaka dola 1,000+ kidonge kimoja. Imebidi makampuni ya bima ya-negotiate na pharmaceuticals kupunguziwa bei moja kwa moja. Bidhaa za tumbaku (na madhara yake) ni biashara inayosaidia uchumi katika nchi nyingi duniani. Na kupunguza population is a big bonus!
 
Aling'ang'ania kulala Ikulu hata baada ya kushindwa Uchaguzi
Matokeo yake yeye na First Lady wakatolewa Ikulu na wanajeshi km mbwa
.....
That's life. It can change anytime. Angalia hapa wako madarakani life is good. Na wana bahati hawakula shaba. Watu wengi waliuawa katika mapigano ambayo hayakuwa na sababu yo yote kisa tu abakie madarakani. West Africa kule kidogo wameamka amka. Ukileta mbwembwe za kung'ang'ania madarakani wakati umeshindwa uchaguzi kaa chonjo.
 
Ndiyo maana bangi inapigwa vita sana
 
Balikiwa mama!!
 
Balikiwa Mama
 
Upo sahihi kabisa mdau
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…