Makapuku Forum

3/Tembo wa Afrika
Ndio wakubwa zaidi wa ardhini
Huweza kuwa na kimo cha mita 4.2.
Uzito wao ni takribani Kg 6530(karibia Tani 7)
Uende na gari lako mbugani kwa ofa ya serikali halafu ujifanye jeuri utarudi kwenu na skrepa maana tembo ana uwezo la kulipindua kisha kulikanyagakanyaga
......
 
4/Twiga
Ndio wanyama warefu zaidi duniani
Huwa na kimo cha takribani mita 6
Uzito wao ufikia Gani 2
.
.
Serikali si imetoa ofa ya siku 3 kwa Watanzania kutembelea mbuga za wanyama
Nendeni mkajionee
......
Hapo wamefuta kiingilio tu nadhani ambayo sio ishu sana.

Ishu ni usafiri wa ndani ya hifadhi kama vile kushuka kwenye kreta pale Ngorongoro.
 
1/Blue Whale
Aina hii ya nyangumi ndo inashikilia rekodi ya mnyama mkubwa zaidi duniani
Urefu wao hufikia mita 30
Uzito wao hufikia Tani 180
Ulimi wao una uzito sawa na tembo mkubwa
Moyo wao una ukubwa/uzito sawa na gari
.
.
.
.
Viumbe vya majini vimetawala list km kawa
*List ya sumu wao
*List ya kuishi miaka mingi wao
Kiufupi kaa mbali na bahari
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......
 
Asante bitoz kwa top ten
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…