Makanisa yavunje MoU na Serikali...

Makanisa yavunje MoU na Serikali...

miezi mitatu iliyopita nilijitumbukiza kwenye mjadala wa hii MoU nikiwa ndani ya bus la Tanga-Dar. Swali la kwanza kuwatupiwa wale jamaa wanne waliokuwa wamevaa kaptula ndevu lilikuwa "nani kati yenu kaiona na kuisoma hiyo MoU?". None of them identified himself. Binafsi nimeusoma. Umo humu JF. Nani asiyewajua kwamba ni roho mbaya, chuki, husda dhidi ya wakristo na dini ya kikristo ndio inawasumbua? Kwa kudai, mfumo Kristo hadi Zanzibar ambapo mpo 99% nimeamini nyie mapoyoyo. Hata MoU ikifutwa, mtakuja na lingine, mfano mtalalamika "hospitali na shule za kanisa zinatoza ada zaidi kwa waislam zaidi ya wakristo, huu ni ubaguzi". Ruzuku kwa taasisi za kidini zinazotoa huduma za kijamii zipo nchi nyingi duniani ila mko blinded na chuki. Ukristo na Uislam unaenda along the opposite direction kwa 100%-nyie mpo busy na wivu, chuki, husda, mauaji kwa jina la Allah...sie tupo busy na shule, maendeleo ya watu wetu kiroho na kimwili, upendo, kusamehe na kazi.
 
Jamani nimwuulize mtoa mada:

(i) Hivi ni kweli kwamba waislamu wakienda kutibiwa hosptali zinazomilikiwa na makanisa wanatozwa gharama kubwa?
(ii) Hivi ni kweli kwamba shule na vyuo vya wakristo vinatoa ada tofauti tofautoi kulingana na dini?
(iii) Hivi ni shule zipi zinazomilikiwa na waislamu zinazolipa kodi zitokanazo na mapato ya ada?
(iv) Hi ni kweli kwamba waislamu wanatoa kodi kwa sadaka zao misikitini? Au hawatoi sadaka?

Jamani, ninafikiri tunahitaji kuweka hoja za msingi na zenye mantiki hapa janvini. Tuweke masuala yanayolenga kuleta maendeleo na si hoja za kijinga zisizoleta maendeleo kwa Watanzania. Hivi ni wangapi ambao siyo wa kristo na waislamu hapa Tanzania? Je, si kwamba wao ndiyo wengi kuliko wakristo na waislamu ukiwajumlisha pamoja?

Mimi binafsi, hata kitendo cha viongozi wanapoapishwa hali wanatumia Korani au Biblia ni mfumo Uislamu na Mfumo ukristo.

Mamilioni ya watanzania hawana dini kwa sasa, kuendelea kuapishwa viongozi kwa kutumia vitabu hivyo viwili ni kuendeleza udini.
 
Hizo hospitali kubwa zote unazozitaja serikali ndiyo iliyozifikisha hapo zilipo na Mh. Rais Mstaafu Mkapa kutaka kuficha mabaya yake akaamua kuyapatia makanisa na awali zilitaifishwa na Mwalimu na zilipotaifishwa na kuchukuliwa na serikali zilikuwa ktk hali duni serikali ikafanya mabweresho na Mkapa akazirudisha kinyemela kutaka kuficha zile biashara alizokuwa anazifanya ikulu na kawaziba mdomo kina Kitwana Kondo akatoa majengo ya Tanesco kuwapa the so called muslim university!

Mkuu, tuweke rekodi sawa.

urudishaji wa shule za dini na mahospitali ya dini ulianza awamu ya Ally Hassan Mwinyi sababu kubwa alipotambua kwamba huduma haziwafikii wananchi waliokuwa wanaongezeka kwa kasi lakini pia taasisi za dini zilimpa sharti kwamba kama serikali inaomba dini ziwekeze kwenye shule na hosptali basi alizotaifisha Nyerere zirudi kwanza. mkataba wa MOU ulitengenezwa mwaka 1992, Mwinyi amekuwa Rais 1985 - 1995.
 
waislamu inabid washukuru sana Makanisa kutuo huduma za mashule na hospital tena bila kubagua wanafunzi kama wao mnavyofanya kwenye shule zeo kuchukua wanafunzi wa kiislamu tuu. As, bila shule za makanisa hata raisi wetu asingekua hapo alipo maana ye mwenyewe huwa anakili alisoma na shule za misheni akiwa secondary sio yeye tuu majority of muslim leaders wametoka kwa mgongo wa shule za misheni. kwa macho wanachukia huduma zinazotolewa na makanisa but kimoyomoyo wanazipenda saaaana tuu thats why kwenye shule za misheni na vyuo vya makanisa bado wanapeleka watoto wao.
 
SISIMIZI nimecopy na kupaste kipande hiki hapa chini kutoka kwako baada ya kuona point.

Mimi binafsi, hata kitendo cha viongozi wanapoapishwa hali wanatumia Korani au Biblia ni mfumo Uislamu na Mfumo ukristo. Mamilioni ya watanzania hawana dini kwa sasa, kuendelea kuapishwa viongozi kwa kutumia vitabu hivyo viwili ni kuendeleza udini.
 
Nimesoma comments nyiingi, ila wachangiaji wameshindwa kuainisha! Je ni makanisa yaliyoomba mou au ni serikali? Mkijua!
 
mletamada hukufikiria kabisa na hujawahu zunguka Taznania ukajiuliza kunahospitalingapi kubwa zaserikali

mfano mdogo tu kwenye wilaya ya Rombo Nzima hakuna ospitalikubwa yaserikali watu wake wanatumia hospitalu ya Huruma ambayo siyaserikali

mkoa wa kilimanjaro hospitalikubwa ni yarufaa kcmc hisiyaserikali
songea hospitalikubwa ni peramiho si yaserikali
nanyingine nyingi we unafikiri kama wakivunja serikali isipowasuport watawezaje kutoahuduma?

ingekua na maana sana kama waislamu nao wangetengeneza zakwao ama wakahimiza serikali itengeneze hospitali zakutosha iliiwezekuachana nao

saanyingine ni ujinga hizihospitali hazijawahi kubaguamtu kwadini yake haijalishi ni mwislamu ama nimkristo wote wanatibiwa

lakini wenzetu hawaoni hilo

kikubwa nikua waislamu wanalaojambo hatakama huumkataba ukivunjwa badochokochoko hazitaisha
hii nitatizo laku jishuku kua unaonewa kila wakati
 
Jamani mleta HOJA hii ameileta kwa mtego, lakini mimi nasema kuwa " DINI ZETU ZIJITAHIDI KUWASOMESHA WAHUBIRI WETU ELIMU DUNIA YA KUTOSHA ILI WAO KUJITAMBUA NA PIA KUWATAMBUA WAUMINI WAO NA MAZINGIRA YAO".

Mimi na Mkristo lakini nimehudumiwa katika Hospitali za Kiislamu na Kikristo pia. Nilienda pale Al Farouk Dispensary Tabata shule nikapimwa na kupewa ushauri nienda Madona Dispensary Tabata Relini ili nipige picha ya X-Ray kifuani na baada ya kupata majibu nikayapeleka Al Farouk nikashauriwa niende kituo cha Afya cha Malcela Tabata ili kupata huduma stahiki na namshukuru Mungu na sehemu zote husika maana nilipona.

Sasa kwa mtirirko huo ni wapi MoU ina tatizo?.
 
Bora yavunje MoU binafsi yangu pamoja na familia yangu hawapati msaada wowote na hiyo MoU tukiungua tunatibiwa kwa pesa zetu, na shule nalipa pesa kusomesha watoto na jamaa zangu...hiyo MoU ni kwa faida ya Kanisa na Wakiristo sijawahi kutibiwa bure wala sijawahi kusaidiwa ada ya shule kwa vijana wangu ni mie binafsi ndio napambana...hiyo MoU hata waivuje leo sawa tu aina faida kwa Waislam. tutaenda Aga Khan, TMJ, Hindu, Regence, kwa pesa zetu.
 
Nimeipenda hii. Unajua ndivyo ilivyotakiwa kuwa na ndivyo walivyoiambia serikali kupitia kwa PINDA wakati Mkulo alipotikisa kibiriti kuwa walipie VAT. Ni serikali hii iliyonywea baada ya kupewa mkakati unaoleta sasa.

- Kuwa wamekubali kulipia kodi zote
- Kuwa kuanzia sasa(wakati huo) wataendesha taasisi zao kibiashara
- Kuwa kutakuwa na grace period ya kujiandaa na itahusisha kuondoa mifumo yote ya kiserikali katika taasisi hizo pamoja na kuondoa wagonjwa wote katika hospitali zao, kuondoa waalimu wote wa serikali katika shule zao,
Na kwamba jukumu la kutoa huduma kwa walipa kodi libaki kwa serikali tu.

PINDA alinywea na akarudisha mlishonyuma kwa bosi wake ambaye aliona maji marefu akaondoa pendekezo la Mkullo.
HAKUNA NCHI YOYOTE DUNIANI AMBAYO HAINA SEKTA BINAFSI YENYE NGUVU.
 
Bora yavunje MoU binafsi yangu pamoja na familia yangu aina msaada wowote tukiungua tunatibiwa kwa pesa zetu, na shule nalipa pesa kusomesha watoto na jamaa zangu...hiyo MoU ni kwa faida ya Kanisa na Wakiristo sijawahi kutibiwa bure wala sijawahi kusaidiwa hada ya shule kwa vijana wangu ni mie binafsi ndio napambana.

Kadhi, Mou, Sharia, OIC, Kuslimisha kila mtu...............

mna madai mengi, si haba.

ipo siku wajingawajinga watawasikiliza
 
Kanisa haliwezi, na halitaweza kujiendesha bila kubebwa na serikali, Just for your information, sasa hivi hadi posho za madaktari serikali inagharamia tofauti na zamani ambapo posho zilitoka mahospitalini.

Mkuu, mimi mwenyewe naunga mkono kuvunja MOU kwa sababu ya usalama wa nchi yetu lakini sio kweli kwamba kanisa haliwezi kujiendesha sidhani kama hiyo ndio dhamira ya malalamiko ya waislamu. Mimi nadhani hoja hapo ni kwamba MOU imeleta malalamiko na kama ingekuwa na faida hata waislamu wangeomba MOU serikalini ( Rejea hotuba ya Rais KIKWETE siku ya IDD akisema kwa kinywa chake kuwasihi waislamu wapeleke maombi) ingawa hadi sasa taasisi za aghakan zina MOU na serikali.

Kabla ya uhuru na hata kabla ya MOU kanisa lilikuwa na shule na hospitali kama ilivyokuwa kwa waislamu liliendesha kwa fedha za sadaka, zaka, harambee, mavuno, minada, maduka ya kanisa na maegesho ya magari inayofanyika makanisani kwa ajili ya shughuli zote za maendeleo ya kanisa.

Kuhusu posho za madaktari inategemea MOU ilikuwa na makubaliano yapi??? Pengine serikali inalipa madaktari bila kujali dini zao kwani daktari anaweza kuwa wa dini yoyote kama ilivyo kwa mwalimu wa shule ya kanisa. kuwalipa posho madaktari kama lengo ni kupunguza gharama za tiba kwa watu wa dini zote ni jambo jema. Je, wagonjwa wengi ni wa dini ya wakristo?

bado naunga mkono kuvunja MOU.
 
Bora yavunje MoU binafsi yangu pamoja na familia yangu aina msaada wowote tukiungua tunatibiwa kwa pesa zetu, na shule nalipa pesa kusomesha watoto na jamaa zangu...hiyo MoU ni kwa faida ya Kanisa na Wakiristo sijawahi kutibiwa bure wala sijawahi kusaidiwa hada ya shule kwa vijana wangu ni mie binafsi ndio napambana...hiyo MoU hata waivuje leo sawa tu aina faida kwa Waislam. tutaenda Aga Khan, TMJ, Hindu, Regence, kwa pesa zetu.

mkuu unalalama juu ya MoU huku umejificha nyuma ya kioo cha laptop.

changamka kama Ponda upelekwe mahakama pekupeku.
 
usiende huko!
Mahospitali,makanisa,shule vilivyojengwa na mkoloni kwa hela ya watanganyika wa dini zote viliachiwa wakristo waendelee kuvimiliki baada ya uhuru, nyerere aliona mbali kuwa baadaye watu watakuja kuhoji hili hivyo akaleta ubabaishaji wa kujifanya kuvitaifisha baadaye kumuachia mwingine avirudishe!

Mou, necta, muungano ni vitu ambavyo wakristo hawatokubali kwa gharama yoyote ile viingiliwe kwa sababu ndiyo mihimili yenyewe ya mfumo kristo

kulijuwa hili ninalolisema angalia mtaharuki uliowapata wachangiaji hapa kuhusu hoja ya kanisa kuvunja mou na serikali.
Kwanini watu mnapenda UONGO? kwamba wakoloni waeneza dini walijenga kwa pesa za walipa kodi? Sijapata hata mmoja kati yenu anayenifafanuliwa kipengele angalau kimoja kwenye MOU. sijapata kupata hata mmoja kati yenu aliyenieleza muongozo au TORs za NECTA na jinsi zinavyopendelea ukristo!! Ni majungu na verbal diarrhea's tu shame!!!
 
Bora yavunje MoU binafsi yangu pamoja na familia yangu aina msaada wowote tukiungua tunatibiwa kwa pesa zetu, na shule nalipa pesa kusomesha watoto na jamaa zangu...hiyo MoU ni kwa faida ya Kanisa na Wakiristo sijawahi kutibiwa bure wala sijawahi kusaidiwa hada ya shule kwa vijana wangu ni mie binafsi ndio napambana.
Mkuu punguza hasira, alafu wafikirie na wengine wasioweza mapambano!.
Nikupe mfano wa mkoa wa Kagera Hospitali zote kubwa ni za KIDINI! (Ndorage, Kagondo, Rubya, Mugana etc). Hata ile ya Mkoa ni hoehae.
 
Nimekopi hiki kipande tu ili wote mnaopiga blah blah kuhusu MOU bila kufaham imekusanya nn ndani yake mpate kufunguka - Waislam hawapigi kelele za bure tu.

Kwa bilioni 300 mlizopewa so far, mnaweza kujenga dispensary 600 kila moja ikigharimu milion 500; Mnaweza kujenga shule za kisasa 300 kila moja ikigharimu bilion moja. Mapaka serikali itakapokiri hadharani na kuwafidia waislam, fujo hazitaisha... zitapungua na kuibuka upya. Hiki ni kidonda kinachotuuma waislam.

Mnatoa majibu mepesi kama eti waislam nao hawjakatazwa kuomba, Mou ndo inaleta fujo Naijeria na kwingineko; Hili ni suala gumu na si la majibu ya kianti kama hayo.

tupe source mkuu.
 
Serikali haijashindwa, tatizo ni kwamba haijaamua.

Kama imeweza kujenga kilomita elfu 18 za lami kwa miaka 8 tu dhidi ya efu 11 tangu tupate uhuru iweje ishindwe kujenga hosptl na shule?

Msiitetee serekali kwavile mnanufaika na MoU. Mbona kwenye kuwaongeza mishahara madaktari na waalim nyie ndo mlikuwa mkiilaumu serekali kuwa haitaki kuwapa madokta na waalim stahiki yao wakati uwezo inayo?

Iweje kwenye hili muitete serikali kama sio kwa vile mnanufaika?

OK.
Basi nyie mnaoichukia MOU ya kanisa na Serikali, iambieni serikali ivunje hiyo MOU. Hamna haja ya kuliandama kanisa au ukristo. Na muda muafaka wa kufanya hivyo ni kutumia viongozi wetu wa serikali ambao ni wa dini yenu ambao "wataelewa" malalamiko yenu.
 
mkuu unalalama juu ya MoU huku umejificha nyuma ya kioo cha laptop.

changamka kama Ponda upelekwe mahakama pekupeku.

Mkuu kupelekwa mahakamani au jela ndio sifa ya Mwanaume mpambanaji wewe si unaogopa jela endelea kukanda chapati.
 
Makanisa yavunje MoU na Serikali.

mkuu naona mnakimbizana na muda bila mafanikio.

7+ years imeyeyuka, sasa bado miwili na ushehe, naona sasa mnafosi kingi.

nawatakia heri, japo hamtafanikiwa.
 
Back
Top Bottom