na wewe ndio walewale wapigajiMtoa mada ulikwenda kanisani kupunguza stress!!! Yaan kanisani unaenda kupunguza stress!!! Asee ndo nmesikia leo huo msemo, anyway ngoja nije kwnye mada! Sadaka ni kitu muhimu sana kwenye maisha ya mwamini huwezi kuinuliwa na Mungu pasipo sadaka, wewe unalalamika sadaka ni nyingi lakni ukwl ni kwmba kwa makanisa ya kiroho hakuna kiwango cha sadaka ila wakat mwngne kanisa huwa linaazimia kufanya jambo flan hapo ndipo waumini hushirikishwa na kuombwa mawazo ndo unakuta washirika hujadili na kiwango kupendekezwa sasa mtu kama ww uliienda kutoa stress ulipofika ukakutana na kiwango flan ukahisi ndo mchungaji kapanga kumbe wenzio walishajadili siku nyingi na kupitisha.... Lakini kwa mtu kama wewe ukienda kwa mganga wa kienyeji ukaambiwa lete hiki,lete kile mara hiki kamwe huwezi kuja na uzi kama huu hapa....
NOTE:
MIMI HUWA NATOA SANA SADAKA NA HATA ZAKA BILA KUJALI INAENDA WAPI MIMI IMANI YANGU HUWA NINATII MAAGIZO YAKE MUNGU KWA ZAKA NA DHABIHU LAKINI NINACHOKIAMINI HUWA SITOI SADAKA KWA MWANADAMU MWNYE PUA ZILIZOANGALIA CHINI KAMWE! MIE HUWA NATOA NKIAMINI NATOA KWA MUNGU ILI HATA SIKU NKIFIKA HUKO NTAKUWA NA LA KUJIBU LAKINI UKIWAZA KWMBA UKITOA UNAMPA MWANADAMU NI HELI USITOE TU,ENDELEA KUTOA KWENYE MAHARUSI,MASHEREHE NA KUZUNGUSHA BAR HAKUNA ATAKAEKUPANGIA
Hayo macho wewe!Alaa...kumbe.!
Mambo Ya Kiroho Kama Huyajui Ni Kama Upuuzi Mtupu TuMkuu unaongelea hiki kikundi kilichoanzishwa na Nabii Mke Ellen Gould White akishirikiana na mumewe James White pamoja na genge la wahuni waliotabiri ujio wa Yesu kina Miller...?????
Mkuu Usioongozwe Na Uhafidhina Wa Dini YakoMkuu unaongelea hiki kikundi kilichoanzishwa na Nabii Mke Ellen Gould White akishirikiana na mumewe James White pamoja na genge la wahuni waliotabiri ujio wa Yesu kina Miller...?????
Sadaka Ni Ibada. Kuna Aina Kadhaa Za Sadaka, Sadaka Ya Hiari, Sadaka Ya Shukrani Na Fungu La Kumi/ Zaka. Halafu Kuna Malimbuko. Sadaka Hizi Hutolewa Kwa Imani. Kama Huna Imani Huwezi Kutoa. Utoaji Ni Moyo, Hata Kama Unacho Kidogo Kama Una Moyo Wa Utoaji Na Imani Unatoa Tu. By The Way Utoaji Si Pekee Kwa Makanisa Ya Kiroho Tu Hata Hayo Makanisa Mengine Nayo Waumini Wake Hutoa, Tena Wana Visanduku Vya Kuweka Bahasha Zenye Fedha Na Vina Namba Kabisa. Ni Rahisi Kumtambua Muumini Ambaye Si Mtoaji Na Rekodi Zake Za Utoaji Zaka Zinawekwa. Akipata Shida Itakoyohusu Msaada Wa Kanisa Rekodi Zake Za Utoaji Zitaangaliwa Kwanza Ndiyo Msaada Utolewe Kwa Kiwango Kinachostahili. Kama Si Mtoaji Unaweza Ukasusiwa Shughuli Zako Ufanye Mwenyewe. Utoaji Ndiyo Ushirika Wenyewe. Utoaji Uko Kila Kanisa Mpaka Jumuiya Zake Za Mitaani. Utoaji Ni Imani Kama Huna Imani Ni Ngumu Kutoa. Unaamini Nini Katika Kutoa ? Labda Hoja Ingekuwa Kutoa Ni Fedha Pekee Tu ? Kwa Nini Iwe Fedha Pekee Tu ? Sifa Kuu Ya Mshirika/muumini Ni Utoaji Sadaka.
Huku ndiyo hawatoi mkuu!Ndio maana kanisa Bora Na sahihi miaka yote litabaki kuwa kanisa la wasabato tu
Wapi nimeongelea maswala ya dini...?Mkuu Usioongozwe Na Uhafidhina Wa Dini Yako
Umejuaje kuwa siyajui...??Mambo Ya Kiroho Kama Huyajui Ni Kama Upuuzi Mtupu Tu
Ni setting ya font tu wala hakuna shida mahalaUna point hila huu mwanadiko wa kila neno unaanza na herufi kubwa ni tatizo kubwa sana, jichunguze labda uko na shida mahala
Si jambo la maana kupiga marufuku uhuru wa kuabudu kama imani hiyo haina madharaHaya makanisa ndo yanavuraga familia nyingi kwa kauli chonganishi, unakuta MTU anaumwa na daktari amethibitisha lakini watasema amelogwa, naomba tuwe kama kagame rais wa Rwanda amepiga marufuku haya makanisa feki
Si jambo la maana kupiga marufuku uhuru wa kuabudu kama imani hiyo haina madharaHaya makanisa ndo yanavuraga familia nyingi kwa kauli chonganishi, unakuta MTU anaumwa na daktari amethibitisha lakini watasema amelogwa, naomba tuwe kama kagame rais wa Rwanda amepiga marufuku haya makanisa feki
Kuhusu Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ujazo Wa Roho Mtakatifu Kwako Huoni, Unaona Ni Upuuzi Tu.Wapi nimeongelea maswala ya dini...?
Jibu swali nililokuuliza
Kuhusu Ubatizo Wa Maji Mengi Na Ujazo Wa Roho Mtakatifu Kwako Huoni, Unaona Ni Upuuzi Tu.Wapi nimeongelea maswala ya dini...?
Jibu swali nililokuuliza
Mhubiri ahubiri utajiri wakati yeye si tajiri ataaminika anachokihubiri ni kweli ?Kwa kuangalia hvyo, wahumini ndyo wana hali ya chini ya kimaisha kuliko wahubiri wao
Hakuna kanisa la mtu binafsi duniani. Kanisa ni kusanyiko la waumini katika jumuiya ya kumsifu na kumuabudu MunguKwa kuangalia hvyo, wahumini ndyo wana hali ya chini ya kimaisha kuliko wahubiri wao