Makanisa ya kiroho mnatupeleka wapi?

Makanisa ya kiroho mnatupeleka wapi?

Ushawishi Gani ? Wa Kisiasa? Hao Watoa Tuzo Hawaoni Wanawake Wa Tz Wenye Ushawishi Mkubwa Katika Nyanja Zingine Za Kimaisha ?
 
NYAKATI ZA HATARI SANA KULIKO TUNAVYOZANI
SHETANI YUPO KANISANI KWA SASA
 
Ila mi nadhani kuna Ufahamu mdogo sana wa waumini kuhusu sadaka. Na hapa ndipo hawa wachungaji wanatumia nafasi kupiga kila siku na kuleta mpya kila dei.
Maana wao wamesoma kile kitabu miaka 5 wanajua ipi inahitajika ipi haihitajiki kwa miaka ya sasa lakini hawatkwambia kamwe....Na utawapelekea mpaka mwisho wa dahari.
Maana waumini wenyewe kitabu hatusomi tunasubiri Mchungaji akwambirle fungua mathayo 8. Sasa kwanini msiletewe sadaka mpya kila siku.
 
Umetoka nyumbani unaamua kuingia kanisani japo kupunguza stress za ugumu wa maisha na matatizo mbalimbali lakini humo kanisani unakutana na michango isiyoisha tena kwa lazima.
Nijuavyo mimi sadaka ni kile ambacho mtu amejaaliwa kukipata
Sasa eti kuna makanisa mpaka wameweka viwango sadaka isiwe chini ya kiasi flani, bado shukrani, bado fungu la 10, bado sadaka ya utumishi, bado sadaka ya madhabahu, bado sadaka ya malimbuko sijui nini. !
Mbaya zaidi kila mahubiri ni kusisitiza utoaji sadaka na michango tu.
Sio siri makanisa yetu mnakatisha tamaa kabisa ukute mtu ni mama wa nyumbani atapataje pesa yote hiyo kama sio mwanzo wa kugombana na mmewe.
Mungu atusaidie.
Ndo nyie mnaotukana Wakatoliki kwamba walevi na wanaabudu sanamu, wakati makanisa yenu ya Kiroho hayana hata Zahanati mtaani. Pesa mnazochanga mnapeleka wapi?
 
Umetoka nyumbani unaamua kuingia kanisani japo kupunguza stress za ugumu wa maisha na matatizo mbalimbali lakini humo kanisani unakutana na michango isiyoisha tena kwa lazima.
Nijuavyo mimi sadaka ni kile ambacho mtu amejaaliwa kukipata
Sasa eti kuna makanisa mpaka wameweka viwango sadaka isiwe chini ya kiasi flani, bado shukrani, bado fungu la 10, bado sadaka ya utumishi, bado sadaka ya madhabahu, bado sadaka ya malimbuko sijui nini. !
Mbaya zaidi kila mahubiri ni kusisitiza utoaji sadaka na michango tu.
Sio siri makanisa yetu mnakatisha tamaa kabisa ukute mtu ni mama wa nyumbani atapataje pesa yote hiyo kama sio mwanzo wa kugombana na mmewe.
Mungu atusaidie.

Wewe unaonekana unapenda umaskini,hivyo huko hakukufai,nenda kwenye makanisa yanayochochea umaskini na magonjwa na dhambi.
 
Kanisani sio sehemu ya kupunguzia stress zako, kanisa ni nyumba ya ibada ya kusifu na kuabudu, kanisa ni nyumba ya sala.
"Nitawaleta hao nao hata mlima wangu mtakatifu na kuwafurahisha katika nyumba yangu ya sala, makafara yao na dhabihu zao zitakubaliwa juu ya madhabahu zangu, kwa maana nyumba yangu itaitwa NYUMBA YA SALA kwa mataifa yote". Isaya 56:07

Sadaka ni sehemu ya ibada, na si sehemu tu ni sehemu kubwa sana ya ibada. Sadaka ni sehemu kubwa ya imani na ndiyo maana tunaambiwa tutoe kwa imani, yaani kutoa vile moyo wako unakutuma kutoa. Sadaka zina mgawanyiko wake ndiyo kama hizo kuna ya fungu la kumi, kuna ya shukrani, kuna ya madhabahu n.k
Kama unaona ukitoa unapoteza au unawanufaisha wachungaji na familia zao ni heri usitoe kabisa!
Hata mimi nakubali kanisani sio mahala pa kupunguza stress bali ni mahala pa kuongeza stress
 
Ila mi nadhani kuna Ufahamu mdogo sana wa waumini kuhusu sadaka. Na hapa ndipo hawa wachungaji wanatumia nafasi kupiga kila siku na kuleta mpya kila dei.
Maana wao wamesoma kile kitabu miaka 5 wanajua ipi inahitajika ipi haihitajiki kwa miaka ya sasa lakini hawatkwambia kamwe....Na utawapelekea mpaka mwisho wa dahari.
Maana waumini wenyewe kitabu hatusomi tunasubiri Mchungaji akwambirle fungua mathayo 8. Sasa kwanini msiletewe sadaka mpya kila siku.

Mimi kanisa lisilohimiza kutoa sadaka na michango mbali mbali silitaki kabisa,napenda sadaka kuliko kitu chochote,kikubwa kinachonipeleka kanisani ni kutoa sadaka.nikishatoa narudi nikiwa na furaha ya ajabu na biashara zangu zinachanganya hadi napenda.Napiga vikumbo ma giant kwenye biashara hadi nashangaa,ndipo naamini line neno kwenye Kumbukumbu la Torati 8:18 "Bali utamkumbuka BWANA ,Mungu wako ,maana ndiye akupaye nguvu za kupata UTAJIRI,"
Acheni wote kutoa lakini mimi sitaacha najua maana ya kutoa.
 
Ila lazima ujue sadaka na mchango Ni vitu tofauti sadaka unatoa pale utapoona kuna umuimu wakutoa kwajinsi ulivo balikiwa au kuna kitu unataka Mungu akufanyie lakini mchango unaweza kuwa Ni lazima utoe kwasabu Ni makubaliano tu ya waumini wenyewe Unataka usali sehemu nzuli ukae kwenye kiti kizuli unataka umsifu Mungu kwa nyimbo hapo ukumbuke kuna vifaa vyakufanya usikie izo Sifa maumeme nk... Kwaiyo kama kunashelia ya kutoa basi tutoe tu kadri tulicho balikiwa kwasabu Ni kwafaida yetu wenyew
 
Kama hujiskii kutoa acha usitoe.
Ila ukweli uko pale pale.

Hakuna ibada isiyo na matoleo.

Ibada ya ndoa kuna matoleo
Ibada ya kucheki mechi kuna matoleo.
Ibada kwa Mganga kuna matoleo.
Ibada ya Bar,Cassino,club n.k kuna matoleo.
Ibada ya kukusanyika kwenye ndege,boat,bus,daladala,tax, kuna matoleo.
Ibada supermarket,sokoni,nk kuna matoleo.
Ibada ya kucheki movie(cinema hall)kuna matoleo.
Ibada ya matamasha mbalimbali kuna matoleo.
Ndugu utaenda mahali gani pasipo na matoleo?
Hata hapa tulipo JF hatujaingia bila kutoa sadaka letu la bunddle(wengine 1000,5000,30000 n.k)
Labda uishi kwenye dunia yako peke yako.

Ibada ni tendo la heshima ya hali ya juu linalotolewa kwa Mungu au miungu.

Inaweza kufanywa na mtu binafsi au kikundi.
Neno la Kiswahili Ibada linahusiana na maneno mengine kama vile "utumwa", na linadokeza utiifu na unyenyekeni "
Wataalamu wa sosholojia wan
onyesha kwamba wasio na dini wanaweza wakaabudu mambo mengine kama vile timu ya mpira, chama cha siasa, taifa au wasanii mbalimbal.

Katika Kiswahili neno Ibada linaweza kuwa na maana ya mazoea: "Kwake ulevi ni ibada".
Wikipedia.
 
Umetoka nyumbani unaamua kuingia kanisani japo kupunguza stress za ugumu wa maisha na matatizo mbalimbali lakini humo kanisani unakutana na michango isiyoisha tena kwa lazima.
Nijuavyo mimi sadaka ni kile ambacho mtu amejaaliwa kukipata
Sasa eti kuna makanisa mpaka wameweka viwango sadaka isiwe chini ya kiasi flani, bado shukrani, bado fungu la 10, bado sadaka ya utumishi, bado sadaka ya madhabahu, bado sadaka ya malimbuko sijui nini. !
Mbaya zaidi kila mahubiri ni kusisitiza utoaji sadaka na michango tu.
Sio siri makanisa yetu mnakatisha tamaa kabisa ukute mtu ni mama wa nyumbani atapataje pesa yote hiyo kama sio mwanzo wa kugombana na mmewe.
Mungu atusaidie.
Hayo makanisa ni miradi ya watu inayowaingizia pesa mingi sana... Ukiachana huo mlolongo wa sadaka hakuna Huduma inatolewa bure
 
Kama hakuna ni lazima kwani bakini kwenye madhehebu yenu
 
Umetoka nyumbani unaamua kuingia kanisani japo kupunguza stress za ugumu wa maisha na matatizo mbalimbali lakini humo kanisani unakutana na michango isiyoisha tena kwa lazima.
Nijuavyo mimi sadaka ni kile ambacho mtu amejaaliwa kukipata
Sasa eti kuna makanisa mpaka wameweka viwango sadaka isiwe chini ya kiasi flani, bado shukrani, bado fungu la 10, bado sadaka ya utumishi, bado sadaka ya madhabahu, bado sadaka ya malimbuko sijui nini. !
Mbaya zaidi kila mahubiri ni kusisitiza utoaji sadaka na michango tu.
Sio siri makanisa yetu mnakatisha tamaa kabisa ukute mtu ni mama wa nyumbani atapataje pesa yote hiyo kama sio mwanzo wa kugombana na mmewe.
Mungu atusaidie.
Nenda kasali mahali ambapo moyo wako unakuwa na amani...Kulalamika huko inaonesha ulipo si mahala sahihi au tatizo ni wewe mwenyewe!
Si sawa wala sahihi kusema "makanisa ya kiroho" kwa ujumla wake, be specific na mpe Mungu Utukufu!
Be blessed!
 
Ndio maana kanisa Bora Na sahihi miaka yote litabaki kuwa kanisa la wasabato tu

Mkuu unaongelea hiki kikundi kilichoanzishwa na Nabii Mke Ellen Gould White akishirikiana na mumewe James White pamoja na genge la wahuni waliotabiri ujio wa Yesu kina Miller...?????
 
Unakuta mchungaji ana miradi mikubwa kabisa na ana magari ya kutembelea yenye bei mbaya huku analazimisha hizo michango kumkamua masikini ambaye hata uhakika wa mlo wake kwa siku ni mashaka
Wengine wanatutambia kwamba magari yao si mitumba ya kutoka Japan, bali ni mapya kabisa toka USA na Germany. Ole wao, Mungu anawaona.
 
Back
Top Bottom