mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,570
- 6,433
Hehehe nahamia uko mkuuMskitini cheji inarudishwa ukiwa na 1000 unamwambia natoa 500 tu . kutoa ni hiari isiwe adhabu.
Hehehe nahamia uko mkuuMskitini cheji inarudishwa ukiwa na 1000 unamwambia natoa 500 tu . kutoa ni hiari isiwe adhabu.
jibu swali , Bwana Yesu hakulalamikia wanasheria kuwatwisha watu mizigo ambayo viongozi wenyewe hawaibebi ? unakimbilia wazungu wazungu,hivi yule mchungaji ambaye jina lake linaanzia K, au yule L, au yule M, waambiwe watoe fungu la kumi la mapato yao ya mwaka , WATATOA ? acha utani bwaaaana !HAUJUI ULISEMALO,Siyo kila kitu anachosema mzungu ni sahihi!Wao hata ndoa za mashoga wanafungisha,sasa unawasikiliza hao?utakua unashida ukiwasikiliza.
Nikueleweshe kidogo tuu kua,biblia inaelezea kua siku za mwisho moto wa injili utatokea Afrika.Hivyo waambie hao wazungu wasiojua kitu watulie kimya,wao wameshachanganyikiwa waache Waafrica tuwashe moto wa Injili.
Sefania 3:10Maana toka nchi iliyo mbali na mito ya Kushi,waniombao dua,yaani binti za watu wangu waliotawanyika,wataleta matoleo yangu.
INJILI ni habari njema,hivyo kubarikiwa ni injili,miujiza na injili,kupata kazi nzuri ni injili,kutajirika ni injili na zaidi sana kutajirika ni injili na zaidi sana sadaka ni Injili.Sasa wewe kama mtu hautaki watu waambiwe haya mambo yote mazuri basi wewe hautaki Injili,na kama wewe hautaki injili utakua una mapepo.
SADAKA SIYO KWA FAIDA YA MCHUNGAJI AU MTUMISHI WA MUNGU HATA KIDOGO ,SADAKA NI KWA FAIDA YA MTOAJI.
Mtumishi wa Mungu anatunzwa na Mungu hata usipotoa sadaka yako.
Mimi kukuuliza wewe dhana nzima ya uabatizo kama unaifahamu, haimaanishi mimi sijui maana ya ubatizo..Sasa kumbe hata dhana nzima ya ubatizo huifahamu ?
Kwanini unanilisha maneno....??Ujibiwaje Wakati Unaona Ni Upuuzi Tu ?.
Hii Hunaita " escapisism".... Ni labda pia hujui maana halisi(context) ya ubatizo, viashiria vya ubatizo(maji, mafuta nk nk).....Ni Ngumu Kumfundisha Mwanafunzi Ambaye Hana Utayari Wa Kujifunza.
Wanafunzi Wasiokuwa Na Utayari Wa Kufundishwa Hudharau Somo Linalowasilishwa. Mwalimu Anaishia Kupoteza Muda Kwa Somo Ambalo Halipokeliwi Vizuri Na Wanafunzi, Huko Ni Sawa Na Kumpigia Mbuzi Gitaa Acheze Au Kutwanga Maji Kwenye Kinu Ili Unga Utokee. Mambo Ya Kiroho Hujulikana Kwa Jinsi Ya Rohoni Tu.
jibu swali , Bwana Yesu hakulalamikia wanasheria kuwatwisha watu mizigo ambayo viongozi wenyewe hawaibebi ? unakimbilia wazungu wazungu,hivi yule mchungaji ambaye jina lake linaanzia K, au yule L, au yule M, waambiwe watoe fungu la kumi la mapato yao ya mwaka , WATATOA ? acha utani bwaaaana !
Ya Kaisari mpe Kaisari na ya Mungu mpe Mungu.Umetoka nyumbani unaamua kuingia kanisani japo kupunguza stress za ugumu wa maisha na matatizo mbalimbali lakini humo kanisani unakutana na michango isiyoisha tena kwa lazima.
Nijuavyo mimi sadaka ni kile ambacho mtu amejaaliwa kukipata
Sasa eti kuna makanisa mpaka wameweka viwango sadaka isiwe chini ya kiasi flani, bado shukrani, bado fungu la 10, bado sadaka ya utumishi, bado sadaka ya madhabahu, bado sadaka ya malimbuko sijui nini. !
Mbaya zaidi kila mahubiri ni kusisitiza utoaji sadaka na michango tu.
Sio siri makanisa yetu mnakatisha tamaa kabisa ukute mtu ni mama wa nyumbani atapataje pesa yote hiyo kama sio mwanzo wa kugombana na mmewe.
Mungu atusaidie.
Wajasiriamali wa kiroho ni wengi siku hizi wajinga ndo waliao
Ubatizo ni ubatizo...Ubatizo unalenga kitu fulani...hiyo dhana au staili za ubatizo ni ujinga wa kiwango cha lami....sijui ubatizo wa moto, roho mt, maji mengi.....ukiashaona mtu anaongelea hayo ujue hajui ubatizo ni nini.., na ulilenga kitu gani...Hapa Tunazungumzia Ubatizo Wa Maji (mengi) Pia Kuna Ubatizo Wa Roho Mtakatifu, Waujua Huo?.
Lakini Bado Huelewi Dhana Ya Ubatizo Kwa Mapana. Anzisha Mada Ya Ubatizo Ujibiwe Kwa Hoja Maridhawa
Ndiyo Wanatoa Na Wao Sehemu Ya Mapato Yaojibu swali , Bwana Yesu hakulalamikia wanasheria kuwatwisha watu mizigo ambayo viongozi wenyewe hawaibebi ? unakimbilia wazungu wazungu,hivi yule mchungaji ambaye jina lake linaanzia K, au yule L, au yule M, waambiwe watoe fungu la kumi la mapato yao ya mwaka , WATATOA ? acha utani bwaaaana !
Ndiyo, watoto wadogo hawabatizwi, wale wanabarikiwa tu. Wakiwa watu wazima watabatizwa maana ufahamu wao umeongezeka. Halafu kwa nini uko critical na imani ya dini ya dhehebu lako?, hebu toka huko uwe huru kufikiri tofauti na ulivyokuzwa na kukomaa na mafundisho ya kimapokeo na kihafidhinaNdio maana nimekuambia mimi wewe tujadiliane tuwekane sawa....
Mwisho wa siku utajaniambia watoto hawaruhusiwi kubatizwa
Wewe unabatizwa kwa njia ya yohane au yesuSasa kumbe hata dhana nzima ya ubatizo huifahamu ? Ujibiwaje Wakati Unaona Ni Upuuzi Tu ?. Ni Ngumu Kumfundisha Mwanafunzi Ambaye Hana Utayari Wa Kujifunza. Wanafunzi Wasiokuwa Na Utayari Wa Kufundishwa Hudharau Somo Linalowasilishwa. Mwalimu Anaishia Kupoteza Muda Kwa Somo Ambalo Halipokeliwi Vizuri Na Wanafunzi, Huko Ni Sawa Na Kumpigia Mbuzi Gitaa Acheze Au Kutwanga Maji Kwenye Kinu Ili Unga Utokee. Mambo Ya Kiroho Hujulikana Kwa Jinsi Ya Rohoni Tu.
Hatuendi kanisani kupunguza stress na ugumu wa maisha tunaenda kumwabudu MunguUmetoka nyumbani unaamua kuingia kanisani japo kupunguza stress za ugumu wa maisha na matatizo mbalimbali lakini humo kanisani unakutana na michango isiyoisha tena kwa lazima.
Nijuavyo mimi sadaka ni kile ambacho mtu amejaaliwa kukipata
Sasa eti kuna makanisa mpaka wameweka viwango sadaka isiwe chini ya kiasi flani, bado shukrani, bado fungu la 10, bado sadaka ya utumishi, bado sadaka ya madhabahu, bado sadaka ya malimbuko sijui nini. !
Mbaya zaidi kila mahubiri ni kusisitiza utoaji sadaka na michango tu.
Sio siri makanisa yetu mnakatisha tamaa kabisa ukute mtu ni mama wa nyumbani atapataje pesa yote hiyo kama sio mwanzo wa kugombana na mmewe.
Mungu atusaidie.
Umetoka nyumbani unaamua kuingia kanisani japo kupunguza stress za ugumu wa maisha na matatizo mbalimbali lakini humo kanisani unakutana na michango isiyoisha tena kwa lazima.
Nijuavyo mimi sadaka ni kile ambacho mtu amejaaliwa kukipata
Sasa eti kuna makanisa mpaka wameweka viwango sadaka isiwe chini ya kiasi flani, bado shukrani, bado fungu la 10, bado sadaka ya utumishi, bado sadaka ya madhabahu, bado sadaka ya malimbuko sijui nini. !
Mbaya zaidi kila mahubiri ni kusisitiza utoaji sadaka na michango tu.
Sio siri makanisa yetu mnakatisha tamaa kabisa ukute mtu ni mama wa nyumbani atapataje pesa yote hiyo kama sio mwanzo wa kugombana na mmewe.
Mungu atusaidie.
Hata kama hakuna wamisionari kuweka sadaka nne ibada moja hakuongezi sadaka inayotolewa sana sana watu wanachofanya ni kuchenchi pesa wanaingia ibadani na bukubuku...Hoja hapa ni utoaji sadaka uliopitiliza kwenye baadhi ya nyumba za ibada. Zingine si sadaka ni changizo tu au mchango. Makanisa mengine hayana rasirimali za kutosha wala hawana wamisionari toka ng'ambo. Wao wenyewe ndiyo wanachangishana kufanikisha mahitaji yao.
We Nawe Umetoka Wapi ? Sasa Nikujibuje?Wewe unabatizwa kwa njia ya yohane au yesu
We Nawe Umetoka Wapi ? Sasa Nikujibuje?Wewe unabatizwa kwa njia ya yohane au yesu