Mh makamu wa rais leo amezungumza mambo mengi sana mazuri ambayo watu wengi wamempongeza kwa kusema ukweli na kutetea wanyonge mfano
Katiba mpya
Kuishi bila hofu
Umuhimu wa kuheshimu haki za binadamu nk
Lakini ni kama na yeye analalamika au anadai vitu alivyovitaja ,
Je yeye sio sehemu ya...
Ni jambo najiuliza, na nakiri sijui msimamo wa katiba yetu ukoje juu ya hili, labda kwa sababu halijawahi kutokea na hatujawahi kufikiri linaweza kutokea.
Katika uchaguzi Mkuu, ushindi wa kiti cha urais inajulikana ni matokeo ya juhudi ya mgombea uraisi na mgombea mwenza wake. Yaani, kuna watu...
Guys
Huko ndani kuna moto unawaka hatari akina Rachel.dangwa wakisema mnaqaita wanaharakat.
Shutuma iliyotolewa na mbunge siyo ya kubezwa na ni hatari sana. sisi kama raia tunataka ufafanuzi kwa nini mipango inakwama kisa Nchimbi na nchimbi abaki ofisini?
Ndugu zangu hadi mbunge wa CCM...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Samwel Malecela katika makazi yake Kilimani Jijini Dodoma leo tarehe 13 Mei 2026.
Makamu wa Raisi Dkt MPANGO Aagiza Homilia hii ya Askofu mkuu jimbo katoliki la Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga Irudiwe kwenye Vyombo vya Media ya Serikali
https://m.youtube.com/watch?v=h483w5Qe2fI
Habari kamili :
Ibada hiyo imeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mbeya...
Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?
Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
Polepole atufumbua macho ndani ya CCM kuwa wanataratibu zao kama ulishakuwa Spika, Waziri Mkuu au Makamo wa Rais hutakiwi kuchukuwa fomu ya kugombea Urais.
Ina maana kijiti alichonacho leo kushika uraisi alitakiwa asichukue fomu.
Makamu wa raisi ni nani ? Kulingana na jamuhuri ya muungano wa Tanzania huyu ni mtu wa pili kwenye nchi badala ya raisi na anaweza kuchukua madaraka badala ya raisi.
Hivi makamu wa raisi anapigiwa kura na nani ? Watu wengi wanapiga kura kumchagua raisi tu sio makamu wake lakini makamu wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.