johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,972
- 141,984
Moja hakuna bunge na pia hilo ni baraza la CCMKwani wapinzani walifanikiwa kupata wabunge!!!?
Mi nachojua bungeni ni Ccm tu.
Lissu atasema ukweli kuhusu Mwendazake wakati PLO Lumumba atapiga propaganda ambayo ilikuwa inamwingiza "chaka" Mwendazake bila yeye kujitambua kwa maslahi ya Kenya.Nimeona Lisu leo amejipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua...
Lissu hanaga habari mpya afadhali hata Maria sarungi!Nimeona Lisu leo amejipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure.
25
Lissu ni mgonjwa wa akili na kilaza mkubwa.Lissu atasema ukweli kuhusu Mwendazake wakati PLO Lumumba atapiga propaganda ambayo ilikuwa inamwingiza "chaka" Mwendazake bila yeye kujitambua kwa maslahi ya Kenya.
Bahati mbaya Mwendazake alikubali sifa zaidi kuliko ukweli. Na wafuasi wake mkawa "wazalendo wa sifa za mtu" kuliko wazalendo wa nchi kwa kukumbatia ukweli unaoweka huru watu
Binamu tutakapokua na vyama vingi na vikawa vyama imara kweli CCM hawataonekana kuikataa demokrasiaYaani CCM hamtaki kabisa Demokrasia ya vyama vingi. Kwa wingi wenu bungeni hebu shaurini marekebisha ya Sheria, futeni vyama vingi
Nimeona Lisu leo amejipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure.
Lilikuwa ombi maalum kwa covid 19 na wale wachache walioshinda ikiwemo yule AidaKwani wapinzani walifanikiwa kupata wabunge!
Mi nachojua bungeni ni CCM tu.
Vyama magumashi ambavyo mnaamini havina uwezo wa kuwanyang'anya madaraka hamvitaki halafu bila aibu unasema mtakubali vyama vya upinzani vyenye uwezo wa kuwanyang'anya madaraka? Sijui Watanzania mnawaonaje.Binamu tutakapokua na vyama vingi na vikawa vyama imara kweli CCM hawataonekana kuikataa demokrasia.
Tatizo wanaojiita upinzani nao magumashi tu.