Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

View attachment 1784273hii sio heshima kabisa, Rais kabuli lake limezungushiwa mabati kama kibda cha kupaki gari, inamaana serikali haina hela kujenga vizuri hapo? familia nayo imeridhika?
Sio serikali tu.. ina maana hata familia yake wamekosa hela ya kuzungushia tofali ikawa sehemu nzuri? ... Ni aibu aisee.. utasema ni nyumba ya kufugia
 
Hapa walaumiwe familia yake.. kujenga hapo hata milioni kumi isingeisha na pangekuwa vizur sana.. sio kwa mwonekano huo, hayo majani unaweza kuta nyoka humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…