Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Arfi) atupa kadi kikaoni, atishia kujiondoa chamani!

Kwa elimu uliyokuwa nayo utasubiri radi, kwa wataalam tunapima hali ya hewa. Njaa yako na kutaka umaarufu ndiko kuliko kurudisha CCM. Bora ufanye biashara zako, kuliko kujiingiza katika siasa ambazo sasa unajivunjia heshima yako. Kama kweli umeona mafanikio ya CCM,
1) mbona mpaka leo wazee wetu pamoja na babu yako wa Africa mashariki hawajalipwa mafao yao?
2) Barabara gani ya kujivunia? ajari kila siku, hospitali hakuna dawa, vitanda na chafu
3) Shule hazina vyoo, maabara na walimu hajalipwa mishahara yao kwa miezi. hujui hayo?
Uhuru utaletwa kwa kujitolea na sio vibaraka kama wewe

Povu limekutoka mpaka chini ya kidevu, tulia unyolewe !
 
Mahokaaaaaaaaaa!!!!!!! hahahahaahaha,
Dalili ya mvua ni radi........

Siyo kweli ukweli ni kwamba dalili ya radi ni mvua. hahaha mtafukuzwa tu mkileta za kuleta sababu mmekomaa ktk kulindana i.e ufisadi epa, richmond nk mpaka kitaeleweka.
 
Chadema ni genge la watu wachache walioazimia kukidhi matakwa yao kwa njia ya siasa, hiki chama kimefika ukingoni
 
watafute choo cha kiume waingie..mapambano haya ni magumu,wapo watakaoishia njiani..


Ungekuwa muhaya ningekuombea hivi
Emigisha yakatonda ekukunkumukile, emihanda yempelwa zawe egologoke. Ninkugondeza EKILO KYAMBWENU kibe ekyemishamulo, obuchulezi nempelwa za katonda zibe naiwe ebilobyona.

Aamin
 
Ungekuwa muhaya ningekuombea hivi
Emigisha yakatonda ekukunkumukile, emihanda yempelwa zawe egologoke. Ninkugondeza EKILO KYAMBWENU kibe ekyemishamulo, obuchulezi nempelwa za katonda zibe naiwe ebilobyona.

Aamin
kumbe valuvalu mhaya wa bukoba mjini
 
Tatizo Chadema Udini hamna kingine ndo hasa kinachomtesa Zitto naomba niseme ukweli

Kwa nini unaomba kusema ukweli? Umedhirisha ni jinsi usivyojiamini! Udini ni sumu mbaya mkuu tujiepushe nayo..tutofautiane kiitikadi na sio kuingiza mambo ya udini.
 
Uzuri wa CDM hakuna ku'KOLIMBANA' kama chama cha magamba.Mwisho wa siku CCM watajua kuwa tamaa yao ni ya fisi,mikono ya mtu kuning'inia si kukatika,CDM itabaki imara daima.


Mkuu hii kauli unailewaje ''Nitakufa kwa amri ya Mungu. Siogopi kufa. Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu''
 
Unless kuna jingine, maana kwa umri wake nilitegemea mtu kama Mzee Arfi awe na ngozi ngumu lakini pia awe na busara ya kutatua matatizo na sio kuyakimbia. Ndio maana wanasema 'penye wazee hapaharibiki neno. Mzee Arfi anatakiwa aoneshe busara zake na awe mfano kwa vijana jinsi ya kutatua matatizo badala ya kuonesha tantrum.........



Bado hujaona kama kuna tatizo ndani ya chama?
 
CDM tulieni panganeni vizuri malumbano ni sehemu ya maisha, baada ya hayo gangeni yajayo na kila mchezaji ashike no.yake vizuri tuhakikishe hatufungwi goli lolote maana mkiendeleza malumbano mtafungwa mabao mpaka basi na nyumba nyeupe mtaiona ikikaliwa na wale wale wa miaka yote bila mabadiliko.
 
Back
Top Bottom