Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Arfi) atupa kadi kikaoni, atishia kujiondoa chamani!

Tatizo la chama chetu hiki, kiongozi wake anapoonekana anashirikiana na viongozi wa chama tawala kwenye shughuli za kimaendeleo, anaonekana msaliti........! USHIRIKIANO PIA NI CHACHU YA MAENDELEO, acheni UJINGA
 
Nchi ya kunung'unika kuanzia rais ana nung'unika, waziri mkuu na mawaziri wenzake wananung'unika, viongozi wengine wote wananung'unika na wananchi wa kawaida wote wananung'unika.

Hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya kunung'unika.

Poleni sana.

tafuteni suluhisha ili m
uache kunung'unika.
 
Back
Top Bottom