Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Arfi) atupa kadi kikaoni, atishia kujiondoa chamani!

Kuwa uwanjani halafu Mzungu akutupie Ndizi ndo utajuwa uchungu wake.Hapo wanataka wamchafue wamweke ndugu Yao.Ndo hicho tu hakuna cha ziada........
Hivi naibu Mwenyekiti wa chama atatupaje kadi chini kisa katukanwa na viongozi walio chini yake. There is something wrong with Arfi.
 
Dini yake itamtesa sana Arfi ndo kikwazo kikubwa kwake.Ila avumilie apambane ndo siasa za Maji taka

Ni masahibu yapi ambayo yakimtokea muislam kisiasa n.k yanakuwa hayana uhusiano na dini yake!!? wakiandamwa akina lowasa, chenge, mramba, yona n.k mbona hatusikii ikisemwa wanaandamwa kwa sababu ya dini yao? akisemwa pinda, lukuvi, nyalandu, wasira,sitta,slaa, chagonja n.k hatusikii watu wakidai ni kwa sababu ya dini yao? ila akisemwa kikwete, kagasheki, adam malima, mwema n.k utasikia kelele ni kwa sababu ya dini yao! ama kweli inferiority complex ni ugonjwa m'baya sana! sidhani kama huyo aliemzushia arfi alifanya hivyo kwa sababu ya udini na naamini hata arfi haamini hivyo ila kwa sababu binafsi isipokuwa punguani wewe ndie unaamini hivyo kwa sababu ya ujinga na udini ulionao!
 
Acha walie chama cha mapinduzi kina wenyewe

unanikumbusha hadithi ya fisi na mkono wa binadamu, sasa leo hii mnaanza kutapatapa baada ya intelejensia kunasa mbinu zenu chafu kupitia bwana matunguri,

HAKIKA PEOPLES POWER NI SAUTI YA MUNGU DHIDI YA USALITI NA UOVU.
 
Kuwa uwanjani halafu Mzungu akutupie Ndizi ndo utajuwauchunguwake.Hapowanataka wamchafue wamweke ndugu Yao.Ndo hicho tu hakuna cha ziada.

Tutolee mbali hizi propaganda zako za kichochezi. Kuweka ndugu wa nani? Damefull.
 
Hakika wanaosubir CHADEMA ufe ndiyo wafanye sherehe basi wajue wanafanya kazi ya kufunga feni beach.
 
Kaka usisumbuke na watu hawa watakuumiza kichwa ndio walivyo! Wao ni wa dini YA KUONEWA NA KULALAMIKA. Kila watachoambiwa hata kama kuna hoja ya kujibu, bado watakuambia tunaonewa kwasababu sisi ni wa DINI YA HAKI. Mbona watu wengine wakisemwa huwa wanajibu hoja na si kukimbilia dini zao? Hakuna asiye jua all over the world ni DINI GANI NI WADINI, lakini kinyumee chake wanazungumza opposite! Siku zote uwezo wao kujenga hoja umeishia kwenye viambaza vya dini zao, na kila wanalotuhumiwa ni sababu ya dini yao as if wao ndio pekee wenye dini hapa duniani! siku zote wao ni dini yetu..dini yetu...dini yetu basi. Hawana jingine wanaweza kuzungumza! TUKIZUNGUMZA HABABRI ZA NCHI NA SIASA NA UCHUMI; WAO WATAZUNGUMZA DINI YAO! Hakuna wanaemchanganya bali wanajidhalilisha wenyewe!
Kweli Mkuu.
 
hii inaonyesha jinsi gani mikoa mingine inabaki kuwa masikini hata kama watapewa kila kitu kwa kijiko.Hawa jamaa ,ndio makamanda wa ukombozi wa ukanda masikini na uliotoa waziri mkuu ambaye pamoja an kutoka usalama wa taifa bado analialia,na kufanya vituko na si maendeleo mkoani kwake.hayupo aggressive kufanya mambo na kakwama ktk chama kibaya

Arfi na Zitto hawajui wanchokiweka ktk line hapa.Wanaweka ktk lini dini yao, wanaweka ktk line reputation ya maeneo wanayotoka.Wanaweka ktk line makabila yao na ukanda waliotoka kuwa na watu wa hovyo na wasio reliable kabisa hata wakipata nafasi bado hawana cha kujivunia.

Kumbe tatizo ni Uislam wao funguka kamanda....
 
Nakubaliana kabisa n HUYU JAMAA "Kiongozi anayekimbilia kutupa kadi au kujivua uanachama chama chake kinapokuwa na matatizo si kiongozi kitu bali mzigo. Hivi kila mwanandoa atakimbilia talaka baada ya ndoa kukumbwa na misukosuko ya kawaida si wote tutakuwa wahuni? Arfi atafute sababu nyingine ya kujiondoa chamani na wakati muafaka. Vinginevyo ataonekana sawa na mapandikizi na wachumia tumbo na mapandikizi wengine. Rafiki wa kweli utamjua wakati wa dhiki na si mwisho wa mwezi. Kama Arfi kafanya hivyo basi CDM wamtue haraka kabla hajawaozea".
 
Unless kuna jingine, maana kwa umri wake nilitegemea mtu kama Mzee Arfi awe na ngozi ngumu lakini pia awe na busara ya kutatua matatizo na sio kuyakimbia. Ndio maana wanasema 'penye wazee hapaharibiki neno. Mzee Arfi anatakiwa aoneshe busara zake na awe mfano kwa vijana jinsi ya kutatua matatizo badala ya kuonesha tantrum.
 
Kinachowaponza Arfi na Zitto chadema kinaeleweka na ndicho hicho-hicho kitakacho mkumba Safari.

Hiyo ndio chadema.

Yetu macho na masikio!
Unajifanya wewe ni muumini mzuri sana wa imani ya kiislamu wakati ni dini ya kuletewa tu na wafanyibiashara wa Iran.
 
Acha walie chama cha mapinduzi kina wenyewe

pole sana kaka wewe na ccm yenu,kwa kuendelea kumwaga sumu kwa vijana we2 kutokana na pesa za wizi unazowaibia wananchi. Kwanza naomba nijibu maswali yangu haya machache;
1)kwani wanalalamika madawa hakuna mahospitalini mbaka inafikia hatua wananunua nje ingali ya kwamba bohari ya madawa inatunza dawa mpaka inafikia atua zinaexpire na kwenda kuteketezwa pasipo kumuonea uruma mtanzania anaekatwa kodi ili dawa zimfikie lakini nyinyi mnazui dawa mpaka zinafikia hatua ya kwenda kuteketezwa. Alafu unakwenda mbele zawatu unasema ccm oyee! Kama cujinga nini?
2)je maisha gani bora mwananchi wa kawaida anayapata! Ingali ya kwamba mfumo wenu wa uongozi simzuri?
3-)....
 
the beginning of the end to chadema.. am demoralised completely...n hopeless

Utakuwa dhaifu zaidi , maana hii migogoro ipo kila chama uzuri ni kwamba ccm haiwi mkubwa maana ukipiga kelele unapewa mzigo (ukijua siri ya ufisadi). Kwa Chadema wabaya wataondoka wenyewe maana wanacchokitegemea wakikikosa wanaanza majungu na kisha kuondoka
 
Josephine said:
CCM msishangilie.Hamuwezi kubeba hii misukosuko.

Aiseee pole sana, migongano iliyoukuta CCM, ingekuwa CDM ingekuwa imeshakufa kitambo sana..
Naona sasa hivi mnashikana hadi uchawi.
 
Ndio siasa zetu. Inaonekana kama vile CHADEMA inasambaratishwa na watu wa kukubali kutumika kwa malengo hayo wapo.:confused:
 
Upuuzi tu! Kiongozi wenye roho za makaratasi hawafai,M/Mwenyekiti unatupa kadi kirahisi hivyo?
 
Back
Top Bottom