Makampuni Makubwa Yatikisika

Makampuni Makubwa Yatikisika

Sio ishara nzuri kwa makampuni makubwa kuyumba .....

Lakini tutafakari kwa makini nini kimebadilika Tanzania?.

Kama ni kodi je uko nyuma walikuwa wanalipa kodi?.

Kama ni ndio kwa nini wanayumba?......

Maswali yanabaki kuwa na wao kuna sehemu wamekosea pia......

Maana kila mmoja hapo naona anguko lake ni tofauti na la mwingine......
Labda anatamani kutuletea umaskini wa kutupwa ili wakati wakura awagawie wansnchi kofia, tisheti na khanga ili wampigie kura. Akimaliza kuwafanya watz kuwa duni hatakuwa na wa kumpinga kila alitakalo..simuungi mkono ni mbovu sana ktk eneo la uchumi
 
shell= Vituo vya mafuta
Shell ni kampuni kubwa ya mafuta huko America.. ni kama zilivyo PUMA, BP, TOTAL na ORYX
Mkuu kwa watanzania wengi shell ni vituo vyote vya mafuta bila kujali ni kampuni gani ya hivyo vituo. Kazi kwelikweli
 
This is not a good sign to the economy of the country. It is very true that Companies should adhere on the required Country polices, but at the same time the Government must put in place a conducive ways to the businesses in order to operate successfully and be able to pay taxes to meet the Government budget. No business no Taxes, this is the simple logic.
Economic recession do occur many countries .
 
Ni wazi Kodi sio rafiki kwa sababu kama maduka madogo yanafungwa kwa Kodi kubwa wanazokadiwa he makampuni yatapinaje. Nilienda kuomba leseni ya duka LA mtaji wa laki tano nikakadiriwa nilipe shs laki tatu. Sasa nikamuuliza huyo assessor, nikikupa laki tatu hiyo biashara nifungua na nini?


Point to take - kweli pamoja na kwamba kulikuwa na wakwepa Kodi lkn sasa hivi Kodi sio rafiki. Watu watafunga biashara kwa kupata hasara na baadaye walibaki watafungwa kwa kuibiwa ibiwa maana wezi watakuwa wengi mtaani.
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Kuwacha=kuacha
Hivi mlienda shule kusomea ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiriko ya kisiasa na kiuchumi huambatana na athari chanya na hasi.Maboresho ya sera,sheria,usimamiaji sheria,utekelezaji maazimio na usimamiaji.Athari chanya na hasi haziepukiki pindi mapinduzi ya taratibu za kimaisha zinapobinuliwa kwa maslahi tofauti kitaifa na kiuongozi.

Taasisi na makampuni mengi za kibiashara {uwekezaji} zimeyumba hata kupelekea kufunga biashara,kupunguza wafanyakazi,kusimamisha biashara,kuuza hisa na kutafuta wabia mbadala.lakini pia zipo kampuni ambazo zimewekwa chini ya uangalizi wa taasisi za fedha na nyingine kuwa katika mchakato wa kufirisiwa.

Mfano wa taasisi na makampuni tajwa ni Airtel {Redundancy},TBL{Redundancy},Home Shopping {Change Name},GSM Malls {Punguza Wafanyakazi},GSM Media {Imefungwa},Living Room {Kupunguza wafanyakazi},Subway-Diamond Plaza {Fungwa},IPP,SSB,Cocacola,Bravo {redundancy},BMTL {redundancy},Freightworld {redundancy},MTL,DSM Collidor,Quality Group,Abla Properties {...},Spencon {winding up},Acacia {Makinikia},Twiga Bancorp {Supervisory},Gapco {Sold to Total} n.k..

Kama taifa yatupasa kuhakiki faida na hasara za muda mrefu za mabadiriko,marekebisho,maboresho na ufinyangaji wa michakato,sera,usimamizi,utekelezaji wake.Ninayo imani yamkini ipo nia thabiti kabisa ya kila linalofanywa sasa kwa faida za kizazi kilichopo na kijacho hivyo basi tathmini ifanyike ili kulinda biashara halali zilizopo pamoja uwekezaji wa mabilioni na wenye athari mtambuka {ajira,kodi,n.k}.
wacha chamoto waione walizoea kupiga dili
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Wasomi wengi wanamatizo ya R na L kimatamshi na kimaandishi alipingiki mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Hujuwi = Hajui
Muosha huoshwa pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Oyooooo!!! Faiza kakubali mawazo. Next time wasilisha vizuri naamini yeye kakuelewa sio kama wale vichwa panzi wengine.
 
= Mabadiliko
= mabadiliko
Mbona mkuu na wewe umeteleza tena? Umeandika "Hujuwi" badala ya "Hujui" na "Kuwacha" badala ya "Kuacha"
Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
 
Tupe hesabu kodi kiasi gani itapotea? Labda ndio zimesababisha makusanyo kuongezeka
 
Problem kubwa kwa sasa ni CAPITAL ASSUARANCE ya wafanyabiashara reflecting on POLITICAL DECISIONS..Watu wanaon kuliko kupoteza Mtaji bora kufunga office and GO..au unamute kusikilizia..Matokea yake pesa inapungua kwenye Mzunguko
 
Kuna mambo matano ya msingi ambayo Serikali yetu hii naamini inayajua lakini inajifanya haiyajuai.

1. Market base yetu (kama ilivyo kwa nchi nyingi za Afrika ukitoa Kenya, South Africa, Nigeria na North Africa) ni very weak ambayo halitoi incentive kubwa kwa wawekezaji wakubwa kuvumilia " political-based policy shocks" kama hizi. Bado nchi inategemea sana wafanyakazi wa serikali kama "middle class". Ukiangalia kinachofanywa kwa hao watumishi wa umma definitely, lazima athari zake zitaonekana katika soko.

2. Sekta Binafsi yetu ni changa na very weak na kwa kiasi kikubwa imepata msukumo kidogo kutokana na uwekezaji wa makampuni mengi ya nje ikiwa pamoja na Kenya na hao wazungu tunaowaona wezi au wapiga dili.

3. Kwa muda mrefu, nchi za kiafrika zimekuwa zikibuni njia za ziada za kuvutia uwekezaji wa nje ili kuvutia mtaji, kuchochea ushindani na kuvutia teknolojia na utaalam. Haya masuala ya incentives yamebuniwa ili ku-rectify changamoto za uzalishaji na mazingira mabovu ya biashara (Supply side constraints and unfavorable business environment".

4. Biashara, au tuseme uchumi kwa ujumla hautaki "kiongozi imara", vinataka taasisi imara ikiwa pamoja na mazingira yanayoruhusu matumizi ya sheria katika kupata haki. Tukumbuke, tumetumia nguvu kubwa sana kuishawishi jumuiya ya kimataifa kwamba hatutarejea kwenye nationalization au centralized economy.

5. FDI tunayojisifia ambayo tumekuwa tukiongoza katika eneo la Afrika Mashariki limechangiwa na sekta za natural resources ikiwemo madini, gesi, nk.

Kwa kuwa hizi sekta zipo katika hali ya uchanga ukizingatia tuna hiztoria ya nationalization huko nyuma, kufanya maamuzi yasiyozingatia masuala haya bila shaka kuna "gharama" huko mbele ya safari. Serikali ilipaswa itumie diplomasia ya hali ya juu katika kurekebisha pale palipokuwa na makosa badala ya maamuzi yanayotawaliwa na mihemko ya wateule wa Rais.

Informed inputs to which I concur with you. Another area that must be viewed with strong lensed spectacles is fair play ground which lacking. There's state backed companies can compete fairly with private funded companies and you expect the latter to survive. Mwalimu had once equated this with putting feather weight and the likes of Tyson, Lewis et al.. in the same ring and the result would undoubtedly be murder.

Kwa hiyo watu wasiamgalie kuyumba ka makampuni ya biashara na kupiga dili tu na kukwepa kodi. La hasha kuna mambo mengi. Na kuna linkages na wafanyabishara ndogondogo kama madreva, mama ntilie, walima bustani za mchicha na wengine ambao kuyumba kwa makampuni makubwa na kuamua kufanya restructuring/ down sizing/ take overs wameathrika in terms of trading leading low purchasing power
 
Sio ishara nzuri kwa makampuni makubwa kuyumba .....

Lakini tutafakari kwa makini nini kimebadilika Tanzania?.

Kama ni kodi je uko nyuma walikuwa wanalipa kodi?.

Kama ni ndio kwa nini wanayumba?......

Maswali yanabaki kuwa na wao kuna sehemu wamekosea pia......

Maana kila mmoja hapo naona anguko lake ni tofauti na la mwingine......
Kwa suala la kodi acha tu walipe kodi halali waache magumashi..biashara nyingi zilishamiri kwa madili na ukwepaji mkubwa wa kodi ya serikali..acha akaze tujue wanaofanya biashara kihalali na ambao walikuwa wanapiga dili chafu... Unakuta mfanyakazi kabla hujapata hat pay check yako wameshachukua kodi yao mapema, hawa wafanyabiashara walikwepa mno wakati mapato yao ni maradufu ya wafanyakazi..tena natamani wigo uongezwe hata kwa wenye nyumba za kupangisha walipe kodi
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Hujuwi=Hujui
Kuwacha=kuacha
 
Back
Top Bottom