Makampuni Makubwa Yatikisika

Makampuni Makubwa Yatikisika

= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
yaani wewe faiza unajificha huko ,ukiibuka unakosoa waandishi ,unaludi kujificha tena.
 
Mabadiriko ya kisiasa na kiuchumi huambatana na athari chanya na hasi.Maboresho ya sera,sheria,usimamiaji sheria,utekelezaji maazimio na usimamiaji.Athari chanya na hasi haziepukiki pindi mapinduzi ya taratibu za kimaisha zinapobinuliwa kwa maslahi tofauti kitaifa na kiuongozi.

Taasisi na makampuni mengi za kibiashara {uwekezaji} zimeyumba hata kupelekea kufunga biashara,kupunguza wafanyakazi,kusimamisha biashara,kuuza hisa na kutafuta wabia mbadala.lakini pia zipo kampuni ambazo zimewekwa chini ya uangalizi wa taasisi za fedha na nyingine kuwa katika mchakato wa kufirisiwa.

Mfano wa taasisi na makampuni tajwa ni Airtel {Redundancy},TBL{Redundancy},Home Shopping {Change Name},GSM Malls {Punguza Wafanyakazi},GSM Media {Imefungwa},Living Room {Kupunguza wafanyakazi},Subway-Diamond Plaza {Fungwa},IPP,SSB,Cocacola,Bravo {redundancy},BMTL {redundancy},Freightworld {redundancy},MTL,DSM Collidor,Quality Group,Abla Properties {...},Spencon {winding up},Acacia {Makinikia},Twiga Bancorp {Supervisory},Gapco {Sold to Total} n.k..

Kama taifa yatupasa kuhakiki faida na hasara za muda mrefu za mabadiriko,marekebisho,maboresho na ufinyangaji wa michakato,sera,usimamizi,utekelezaji wake.Ninayo imani yamkini ipo nia thabiti kabisa ya kila linalofanywa sasa kwa faida za kizazi kilichopo na kijacho hivyo basi tathmini ifanyike ili kulinda biashara halali zilizopo pamoja uwekezaji wa mabilioni na wenye athari mtambuka {ajira,kodi,n.k}.
Walikuwa wanalipa kodi ipasavyo?!
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?

Hilo ni neno sahihi hapo?
 
Hivi ukiletewa taarifa kuwa mwanao ANARAWITIWA hivi utaanza kumbishia mleta taarifa kuwa aondoe R na aweke L au utafukua mbio kama ambullence kuelekea kwenye tukio?
 
Hivi ukiletewa taarifa kuwa mwanao ANARAWITIWA hivi utaanza kumbishia mleta taarifa kuwa aondoe R na aweke L au utafukua mbio kama ambullence kuelekea kwenye tukio?

= analawitiwa
 
Hakuna kitu kipya alicholeta Magufuli zaidi ya kusisitiza kodi stahiki ilipwe na kwa wakati
Wakati wa efd tulitishwa mafuta yataadimika uchumi utaanguka,vituo vya mafuta vitafungwa eti efd ghali na zimeisha!
Jamaa kakaza kwa kusema ndani ya siku 14,atabomoa vituo ambavyo havijaweka efd,mpaka sasa vituo vyote vina mashine na hakuna uhaba wa mafuta.
Watanzania tulifika pabaya sana
 
= Mabadiliko
= mabadiliko

Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?

Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.

Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Mmmh mbwembwe za kitanzania Hatari.

We mhaya noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo kundi linamsubiri 2020 limshughulikie vilivyo,na atakiona cha mtema kumi

Yapo makundi mengi ukiachilia mbali hilo
Kundi la kuogopwa kuliko yote ni lile ambalo watoto wao wanasoma bure kuanzia darasa la awali mpaka kidato cha sita.

Usicheze na kundi la wamachinga. Ambalo hauliambii kitu kibaya kuhusu JPM.

Sasa kuna kundi la bodaboda nadhani umeona leo Ilala Dar es Salaam.

Kuna kundi la wakulima ambao kwasasa tani moja ya kusafirisha mazao yao ni bure.....huliambii kitu.

2020 CCM ni sawa na kusukuma mlevi...
 
Back
Top Bottom