crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,210
Kama Acacia na Anglo gold hawakukubali kutuongezea kiduchu basi uhakika bajeti ya mwaka huu ikifika Decemba tutapata machungu.
Uwezo wa biashara nyingi utapungua sana na kodi kupungu
The only solution ni Acacia watupe mgao mkubwa kufidia otherwise bunge litakaa tena kufanya mini budget