Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,572
- 4,825
TBL wako very proactive wameuza kampuni kwa wamarekani wanaotengeneza Budweiser lakini kwenye forecast yao walianza kuanguka toka amri ya kufungua baa saa kumi kufunga saa tano usiku ilipotiliwa mkazo. TDL na Dar Brew (konyagi na chibuku)wameanguka zaidi baada ya amri ya marufuku viroba. Kampuni zote zimepunguza wafanyakazi wengi sana na waliopo wameambiwa kusaini mkataba wenye mshahara mdogo mpya au kusepa. Kushuka kwa purchasing power kumepelekea uzalishaji mdogo na unywaji.Hapo yanabanwa makampuni na wateja wao vile vile. Mfano TBL inaongoza kwa ulipaji kodi, lakini nalo linapunguza wafanyakazi, pengine ni ukweli kuwa ama wateja wao wamepunguziwa uwezo wa kufanya matumizi au kodi zimeongezeka na athari wanazipata wao kama kampuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

Hujuwi
Hujui
