Steven Nguma
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,074
- 1,148
Upande wa logistics wamefungaNilisikia DHL nao wanafunga ofisi zao hapa Tanzania ingawa sina uhakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upande wa logistics wamefungaNilisikia DHL nao wanafunga ofisi zao hapa Tanzania ingawa sina uhakika.
Kwa hiyo nini kimebaki kiongozi?
Huko ni mbali sana chamoto atakiona kuanzia 2019 wenzake watakapoona hawana cha kupotezaHilo kundi linamsubiri 2020 limshughulikie vilivyo,na atakiona cha mtema kumi
Yapo makundi mengi ukiachilia mbali hilo
Hakuna mwaka ambao mfanya biashara hakulipa kodi. Hivi wwe ni mfanya biashara?Sio ishara nzuri kwa makampuni makubwa kuyumba .....
Lakini tutafakari kwa makini nini kimebadilika Tanzania?.
Kama ni kodi je uko nyuma walikuwa wanalipa kodi?.
Kama ni ndio kwa nini wanayumba?......
Maswali yanabaki kuwa na wao kuna sehemu wamekosea pia......
Maana kila mmoja hapo naona anguko lake ni tofauti na la mwingine......
Ni kweli!Kati ya makampuni uliyoyataja ni yapi yanaongoza kwa kulipa kodi nchini?
Shell walishaondoka miaka mingi iliyopita labda kama unaongelea petrol stations kufungwa.Soon shell nyingi za mafuta nazo zitafungwa.
Makampuni mengine yame/yanapunguza wafanyakazi si kwa sababu ya kubanwa na kodi bali mauzo ya bidhaa zao yameporomoka hivyo ili kubalance mapato na matumizi imewabidi kupunguza wafanyakazi.Acha yafunge tu, yametupiga mno.
Kama yangekua yanalipa kihalali yasingeyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Still it is wrong,usitetee ujinga uliofundishwa.Halinipi shida. Wengi wanaandika walivyofundishwa (ujinga) mimi nnaliandika linavyotamkwa.
Watu wengi wamepoteza kazi kwa namna tofauti.Nani kaichukua purchasing power?
Mishahara imepunguzwa?
Waliokuwa wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani.Mabadiriko ya kisiasa na kiuchumi huambatana na athari chanya na hasi.Maboresho ya sera,sheria,usimamiaji sheria,utekelezaji maazimio na usimamiaji.Athari chanya na hasi haziepukiki pindi mapinduzi ya taratibu za kimaisha zinapobinuliwa kwa maslahi tofauti kitaifa na kiuongozi.
Taasisi na makampuni mengi za kibiashara {uwekezaji} zimeyumba hata kupelekea kufunga biashara,kupunguza wafanyakazi,kusimamisha biashara,kuuza hisa na kutafuta wabia mbadala.lakini pia zipo kampuni ambazo zimewekwa chini ya uangalizi wa taasisi za fedha na nyingine kuwa katika mchakato wa kufirisiwa.
Mfano wa taasisi na makampuni tajwa ni Airtel {Redundancy},TBL{Redundancy},Home Shopping {Change Name},GSM Malls {Punguza Wafanyakazi},GSM Media {Imefungwa},Living Room {Kupunguza wafanyakazi},Subway-Diamond Plaza {Fungwa},IPP,SSB,Cocacola,Bravo {redundancy},BMTL {redundancy},Freightworld {redundancy},MTL,DSM Collidor,Quality Group,Abla Properties {...},Spencon {winding up},Acacia {Makinikia},Twiga Bancorp {Supervisory},Gapco {Sold to Total} n.k..
Kama taifa yatupasa kuhakiki faida na hasara za muda mrefu za mabadiriko,marekebisho,maboresho na ufinyangaji wa michakato,sera,usimamizi,utekelezaji wake.Ninayo imani yamkini ipo nia thabiti kabisa ya kila linalofanywa sasa kwa faida za kizazi kilichopo na kijacho hivyo basi tathmini ifanyike ili kulinda biashara halali zilizopo pamoja uwekezaji wa mabilioni na wenye athari mtambuka {ajira,kodi,n.k}.
Kupunguza wafanyakazi,kufunga makampuni na kuweka baadhi ya makampuni chini ya usimamizi ni dalili tosha ya uchumi uliokwama.Sio ishara nzuri kwa makampuni makubwa kuyumba .....
Lakini tutafakari kwa makini nini kimebadilika Tanzania?.
Kama ni kodi je uko nyuma walikuwa wanalipa kodi?.
Kama ni ndio kwa nini wanayumba?......
Maswali yanabaki kuwa na wao kuna sehemu wamekosea pia......
Maana kila mmoja hapo naona anguko lake ni tofauti na la mwingine......
walienda kusomea kubet mkuu= Mabadiliko
= mabadiliko
Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?
Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.
Hivi mlienda shule kusomea ujinga?
Ukweli ni kwamba wameshafunga na wafanyakazi wao sasa wanapumzika nyumbani. DHL alikuwa anapeleka mpaa ndege kwenye migodi ya acacia kuserve courier needs lakini tenda zote hizo kwishney.Nilisikia DHL nao wanafunga ofisi zao hapa Tanzania ingawa sina uhakika.
Hayo unayosema ndio yanafanyika Botswana,Ghana, North of sahara countriesThis is not a good sign to the economy of the country. It is very true that Companies should adhere on the required Country polices, but at the same time the Government must put in place a conducive ways to the businesses in order to operate successfully and be able to pay taxes to meet the Government budget. No business no Taxes, this is the simple logic.
Aisee!Ukweli ni kwamba wameshafunga na wafanyakazi wao sasa wanapumzika nyumbani. DHL alikuwa anapeleka mpaa ndege kwenye migodi ya acacia kuserve courier needs lakini tenda zote hizo kwishney.
Sent using Jamii Forums mobile app