Wamwekwa watu wa paper work kwahiyo wanafanya utafiti km Taifa ndiyo maana tunashauri ''Teachers would like to treat every body like their student'' Utashauri wee wanapotezea tuMabadiriko ya kisiasa na kiuchumi huambatana na athari chanya na hasi.Maboresho ya sera,sheria,usimamiaji sheria,utekelezaji maazimio na usimamiaji.Athari chanya na hasi haziepukiki pindi mapinduzi ya taratibu za kimaisha zinapobinuliwa kwa maslahi tofauti kitaifa na kiuongozi.
Taasisi na makampuni mengi za kibiashara {uwekezaji} zimeyumba hata kupelekea kufunga biashara,kupunguza wafanyakazi,kusimamisha biashara,kuuza hisa na kutafuta wabia mbadala.lakini pia zipo kampuni ambazo zimewekwa chini ya uangalizi wa taasisi za fedha na nyingine kuwa katika mchakato wa kufirisiwa.
Mfano wa taasisi na makampuni tajwa ni Airtel {Redundancy},TBL{Redundancy},Home Shopping {Change Name},GSM Malls {Punguza Wafanyakazi},GSM Media {Imefungwa},Living Room {Kupunguza wafanyakazi},Subway-Diamond Plaza {Fungwa},IPP,SSB,Cocacola,Bravo {redundancy},BMTL {redundancy},Freightworld {redundancy},MTL,DSM Collidor,Quality Group,Abla Properties {...},Spencon {winding up},Acacia {Makinikia},Twiga Bancorp {Supervisory},Gapco {Sold to Total} n.k..
Kama taifa yatupasa kuhakiki faida na hasara za muda mrefu za mabadiriko,marekebisho,maboresho na ufinyangaji wa michakato,sera,usimamizi,utekelezaji wake.Ninayo imani yamkini ipo nia thabiti kabisa ya kila linalofanywa sasa kwa faida za kizazi kilichopo na kijacho hivyo basi tathmini ifanyike ili kulinda biashara halali zilizopo pamoja uwekezaji wa mabilioni na wenye athari mtambuka {ajira,kodi,n.k}.
Halinipi shida. Wengi wanaandika walivyofundishwa (ujinga) mimi nnaliandika linavyotamkwa.
shell= Vituo vya mafuta
Shell ni kampuni kubwa ya mafuta huko America.. ni kama zilivyo PUMA, BP, TOTAL na ORYX
Tumezoe kuita shell na inaeleweka tu.
Hata hivyo, hiyo ni kampuni ya kiholanzi na makao yake makuu yako Netherlands
hilo kundi sio wao wapiga kura peke yao tu., wengi watampa mau kwa kishindoHilo kundi linamsubiri 2020 limshughulikie vilivyo,na atakiona cha mtema kumi
Yapo makundi mengi ukiachilia mbali hilo
shell nyingi zitafunga??? ha ha ha ha ha ha shell ni kampuni kama ilivyo oilcom,GBP, lakeoil n.k, sasa shell nyingi zitafungwaje??Soon shell nyingi za mafuta nazo zitafungwa.
Usiwe mjinga Hakuna kampuni ambayo ipo tayari kuzalisha halafu hakuna walaji, ninamaanisha kwamba uchumi umeshuka kwa walaji yaani wananchi hawana pesa. Sasa ukiendelea kuweka wafanyakazi utawalipa nini wakati huo wewe huuzi kile ulichozalisha!!? Hivyo basi hakuna sababu ya kuendelea kuwa na kiwanda wakati huo serikali wanataka kodi yao bila kuangalia athali zinazomkabili huyo tajiri.Acha yafunge tu, yametupiga mno.
Kama yangekua yanalipa kihalali yasingeyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, kodi haijaongezeka, sheria Ni zilezile, hizo kampuni zilikuwa za kupiga dili tu, magufuri kaza Uzi tu mpaka kieleweke. Kampuni nyingi Tanzania zilikuwa zinakwepa kodi ndo maana zilishine sana, na nyingi zilifanya kazi na serikali kwa kuiba sana serikalini, kuingiza vitu Vila kulipa kodi, etc. Kwa hiyo hizo siyo kampuni za kufumbia macho, wacha wafilisike, wafunge biashara n.k.Hayo makampuni yanayotikisika lazima yatakuwa ya wapiga dili.
Afadhali umeonyesha upande mwingine wa shilingi, tatizo watu wanalaumu tu bila kufanya uchambuzi wa kutosha. Katika hayo makampuni kuna mengine yameuzwa na mengine yamebadilisha majina. Pamoja na hali ngumu tunayolalamika ni vizuri kujiuliza hao walionunua makampuni yaliyouzwa na waliobadili majina wanafanya je biashara? Tusiangalie upande mmoja tu, huko ndani ya makampuni usika nako kutakuwa na tatizo ambalo mwandishi wa makala hii alitakiwa afanye kazi ya ziada kuja na mifano ya kina zaidi.Sio ishara nzuri kwa makampuni makubwa kuyumba .....
Lakini tutafakari kwa makini nini kimebadilika Tanzania?.
Kama ni kodi je uko nyuma walikuwa wanalipa kodi?.
Kama ni ndio kwa nini wanayumba?......
Maswali yanabaki kuwa na wao kuna sehemu wamekosea pia......
Maana kila mmoja hapo naona anguko lake ni tofauti na la mwingine......
Mkuu umeelewa alimaanisha nini, unataka tu kumzodoa. Ni historia tu ndio inasababisha watu wengi waite vituo vya mafuta Shell.shell nyingi zitafunga??? ha ha ha ha ha ha shell ni kampuni kama ilivyo oilcom,GBP, lakeoil n.k, sasa shell nyingi zitafungwaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
= Mabadiliko
= mabadiliko
Hujuwi namna ya kuwacha nafasi "spacing" unapoandika?
Huwa mna mawazo mazuri lakini mnapoyawasilisha kwa kukosea wapi pakuweka R na wapi pakuweka L ladha yote ya kusoma inaondoka.
Hivi mlienda shule kusomea ujinga?