Makame Mbarawa aiwakia ATCL

Makame Mbarawa aiwakia ATCL

Waliambiwa watapandia arusha. Baadae wakaambiwa kia. Kufika huko wakakaa masaa 3 kusubiri bodi member wa NSSF. Ila hakuweka ushahidi wa hata siku ya safari yake so alidanganya
Flight kuchelewa ni kawaida. sema sababu ni nini? Usiunde ya kwako. Uliambiwa sababu ni nini?

Labda kulikuwa na stream jet wind!
 
Naona huelewi maana ya agizo la waziri. Unarukia tu! Jiongeze kidogo tu.
Kama unakwenda Kilwa kuangalia ngalawa, tumia hata ungo wako na hakuna lawama kwa yeyote, lakini kama unasafari unayotumia pesa za serikali kwa kazi ya serikali, hakuna afisa manunuzi atakaye thubutu kukimbilia huko unakodhani wanakupa raha.

Kama uko kundi ambalo halitegemei kulipiwa na serikali safari ya kikazi, acha kujadili hili.
Rudi swali la kwanza kuhusu idadi ya wafanyakazi na mahitaji ya hizo ndege. Kwahiyo walinunua wakiwa hawajui nani mteja wao? Pathetic.

Madawati wateja bwerere
 
Flight kuchelewa ni kawaida. sema sababu ni nini? Usiunde ya kwako. Uliambiwa sababu ni nini?

Labda kulikuwa na stream jet wind!
Si 7bu yangu. Waliambiwa uwanja hautoshi. Nchi haiishi vituko hii. Wenzio kina barafu waliotetea hizi ndege huwaoni kwenye hizi nyuzi sku hizi. Nawewe ni muda tu utachoshwa. Muulize Rweye jinsi haamini kilichotokea ishu za maafa huko Kagera.

We sasa hv usitetee hawa jamaa safu yao haionani.
 
Hawa jamaa wapuuzi Sana, juzi nataka kukata tickets pale kwenye website yao nikashangaa mwishoni naambiwa ku LOG IN ili nipate tickets, eti wanauza tickets zao kwa members only. Upuuzi kama huu unafanyika kama huduma inatolewa bure lakini sio kwenye shirika la kibiashara ambalo Mteja ni mfalme. Kwa nini nijisajili kwenu, mnafaidika nini na huo uanachama wangu badala ya kunipa tickets niwape hela nisepe. Only in Tanzania
 
wa outsources kazi ajira itangazwe tuchanganywe na watu wengine wakenya, waganda warundi warwanda, wa europe nk. bila hivyo tutapiga kwata pale pale
 
Hawa jamaa wapuuzi Sana, juzi nataka kukata tickets pale kwenye website yao nikashangaa mwishoni naambiwa ku LOG IN ili nipate tickets, eti wanauza tickets zao kwa members only. Upuuzi kama huu unafanyika kama huduma inatolewa bure lakini sio kwenye shirika la kibiashara ambalo Mteja ni mfalme. Kwa nini nijisajili kwenu, mnafaidika nini na huo uanachama wangu badala ya kunipa tickets niwape hela nisepe. Only in Tanzania
Waangalie hata FastJet au kampuni zingine..

Kuna kitu inaitwa Benchmarking wameshindwa hata kuifanya?
 
Arusha walikua wanapita na hiace wanatangaza maeneo ya ngarenaro kuhimiza watu wapande hayo madege kipindi yameingia. Pathetic. Ngarnaa??
Wazalendo tupi tena wengi tu tutazioanda. Nakumbuka niliwahi kufanya kazi navwaswed. Ole wako umkatie tiket nyingine zaisi ya Aitr Tanzania. Lakini waTanzania wenyewe kawana mwanzo mwisho dah.
 
ni bora "wangewekeza kwenye ufugaji wa samaki/kuku..kuliko hizo ndege" ambazo hawajui ata pa-kuanzia au kumalizia
*wapige mnada mbali,kama vipi wauzie Sudan kusini,wanazihitaji
 
Kinachofanyika kwenye hilo shirika ni kulihujumu,kwahiyo hayo yanayofanyika ni makusudi ili lisimudu kushindana na wale wengine.

Mkuu hata TTCL itafuata mkumbo huo huo - makampuni ya simu nchini yatahakikisha Shirika hilo linabaki kulinda Mkonga wa mawasiliano na kuuza bundles za internet basi!!! Hakuna dalili zozote za kuonyesha Serikali yetu imekwisha lishtukia hilo - wasipo kuwa makini miaka itakatika bila shirika kuonyesha ushindani wa kweli na makampuni ya simu ya watu binafsi, wakati wao ndiyo wanapashwa kuwa kimbilio la raia walio wengi.
 
Yaani acha tu.. Wameshindwa hata kumlipa millard ayo Buku kumi aweke hata kabango Kwenye ule ubao wake wa umbeya?
Tatizo serekali kujaza watu wa dini moja tuu kwenye kila idara na teuzi zake.
Wakipata hela za sadaka kwenye nyumba zao za ibada basi... Hapo akili zao zinakuwa zimefikia ukomo
 
Flight kuchelewa ni kawaida. sema sababu ni nini? Usiunde ya kwako. Uliambiwa sababu ni nini?

Labda kulikuwa na stream jet wind!
Umeambiwa ndege ilisubiri board members. Na bado unaongea habari ya majet wind? Au ndo kutetea kila kitu? Hapa ni wazalendo wanalilia shirika linavyo endeshwa kizembe wakati serikali ina nia nzuri ya kulifufua. Bila kubadirisha aina ya watendaji walio na mawazo ya kizamani, hili shirika litarudi kulekule. Kumbukeni hata JK aliapoingia madarakani alikuwa na nia ya kulifufua kwa kiasi fulani. Nakumbuka aliweka mkurgenzi mpya akaingia kwa mbwembwe nyingi. Na mtaji wakapewa over 4b. Waliishia takukuru. Yasije yakajirudia sasa. Serikali iwapime ATCL kila baada ya miezi mitatu ili kama kuna harufu ya uozo urekebishwe haraka na asiangaliwe mtu usoni. Hapa kazi tu.
 
Mkurugenzi ana PHD ya kufuga nyuki anapewa aendeshe shirika la ndege unategemea nini?
 
Bila IT na Marketing kushirikiana na kuweka mfumo friendly and Transparent,wapigaji wataendelea kupiga milele.
 
TBC wapo live wanaongea na mkurugenzi Mkuu wa ATCL naona jamaa anajua sana,ila huyo mama wa marketing hajielewii kabisa
 
Boarding pass zinajazwa kwa wino wa mkono!! Hakuna tiketi kama unapandia uwanjani. Ukienda ofisi zao pale arusha wanasema ndege imejaa, nenda uwanjani ubahatishe kama yupo ambaye hatasafiri. Ukifika kuna nafasi kibao. Unalipa, hupewi tiketi! Pesa zinaingia mifukoni mwao. Wizi wizi wizi. Ushahidi ninao.
Ikiwezekana wafanye Analysis ya Average Number of passengers per flight per station.Average ikishuka sana waliokuwa Duty siku hiyo wabanwe.Kwa kuangalia Trend ya passengers na watu wanaokuwa Duty unaweza pata picha kidogo ya wapigaji.
 
Marketing Department yakosolewa. Awataka ambao hawawezi kuendana na kasi inayotakiwa wakae pembeni.
Kwa hiyo ina maana hao wasioenda na kasi hawajatambuliwa ila anataka 'wajitambue' na kukaa pembeni! Na kama anawajua ni kwa nini asiwakalishe pembeni kwa mamlaka aliyokabidhiwa!?
Ni ngumu CEO wa taasisi yoyote kufikia malengo kwa kutegemea 'maelekezo kutoka juu' na hiyo ndio hatima ya ATCL.
 
Back
Top Bottom