Makame Mbarawa aiwakia ATCL

Makame Mbarawa aiwakia ATCL

Ndugu zanguni ndege hazitaki mchezo...
Ni afadhali tusiwepo na shirika la aina hiyo kuliko yatokee kama ya ADAM AIR.
Ni busara watu wa NTSB waanze kufanya pre investigation ...kabla ya jambo litarajiwalo...Mungu aepushie mbali.
Kwanini tusiwe na ndege?Watanzania wenye kuweza onyesha mafanikio ya hilo shirika wapo. Ila shida akiwa wa kaskazini ni shida, bora ku-pack, mwisho wataleta wazungu. wataanza lazimisha kwamba watz hawawezi, TBC nayo watasema hivyo hivyo ila wanaoendesha ITV, PRECISIONAIR ni watanzania. Siku watanzania watakiri huu upuuzi unaofichwa ktk usawa ndio wataachia mashirika yang`ae na kanza tawala ukanda huu. Wengine wakiona mkaskazini kashika shirika likapata mafanikio na akachagua timu yake ya mafanikio, wanaanza zengwe kuna hela wamepeana kikabila/kikanda . wakiingia wao hela zinapotea. hakuna wa kujiuliza wala kujua kwamba alieyekuwepo na hela zikaja ndie aliyezitafuta.
 
yani watu wanavyolalamika mpaka naogopa kupanda, nimebook hii ndege lakini nilipoomba kucancel route nikaambiwa nitakatwa elf 50 kwa kichwa kwa route, nilibaki kama nimepigwa shot ya umeme
Haha.. Sasa km Wamepewa watu na veti vyao vya kuhalalisha nafasi, hawajui hata walichokisoma unadhani wapi.WATAFAHAMU CUSTOMER CARE?WAPI WATAFAHAMU KUNA USHINDANI MTEJA ATAHAMIA AIRTEL? Hao ni maccm, majamaa ni mapuuzi, yanadhani serikali ina mkono km ktk siasa wanavyoweza lazima ushindi watakavyo. soon yatalilia sheria ya usafiri wa ANGA.
 
Reli nayo sio mchezo Mkuu; inatakiwa kujipanga hasa. Hiyo hela iliyonunulia ndege sijui hata kama ingetosha standard gauge ya reli kutoka Kituo cha Station - Dar hadi Pugu.
Reli unadhani inashindikana, attitude iliyopo ndio italeta vilaza, wenye ukaribu wa kifamilia, wanaopeana kazi cheti baadae, akili za kiushindani hawana achilia mbalia kujua fair competition. Uwanja wa Taifa sasa unatumika kisiasa kuliko ulivyotakiwa, si muda utahitaji matengenezo ya bei ya juu sana. Kwa ujumla hawajui nini wafanye huu uwanja ulete mapato na faida juu. Reli nayo itakuwa ni ya kubebea watu,na vitu kwa namna ya kiruzuku ruzuku, na dili nayo itakata kamba mapema kabisa deni libaki tena kubwa sana.Kuja kusamehewa ni kupigwa tena ,mkatba mwingine .Sasa hivi mchina anatulipisha TAZARA kwa reli yake ya kumchukulia shaba ambayo inahitajika sana kwa vifaa vya umeme na elekroniki . Ila kasamahe deni na anatangeneza reli mpya, itakayolinda na kumpa umiliki wa shaba ya zambia huku akizuia mataifa mengine yasichukue shaba kwa reli yake. Wabongo wanamsifia kuwa ni rafiki.
 
Mwenye Enzi Mungu tunaomba hekima na busara zako tu. ..ndiyo uponaji wetu. .Amen RA
 
Leo Hii bodi imemtaka mkurugenzi kutimua watu


 
Back
Top Bottom