Makame Mbarawa aiwakia ATCL

Makame Mbarawa aiwakia ATCL

False start at ATCL; Ni bora hizo nyingine zilizoagizwa wangesubiri kidogo ili ATCL ijipange vizuri zaidi kiutendaji kwani ATCL ilishakufa zamani sana kwa hiyo hata watendaji wake wengi ni Obsolete kabisa, hawajui kinachoendelea kwenye Airline industry; wameshaota kutu wanasubiri kukatika kama chuma chakavu!
Ni kweli brains mpya zinahitajika kwenye hili shirika. Sasa je, ndani ya Serikali zipo? Au ni za ku-hunt nje ya mfumo wa Serikali? Kama ndivyo, mnakumbuka ya akina CEO wa TIC? NHC? TPDC? Labda tusubiri hao waTz 50,000 wanaotarajiwa kuwa deported na Trump huenda vichwa vikapatikana humo; cheap labor.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Zote hizo ni sawa na kufunga Ac chumbani ili utumie blanketi kama kwenye bongomuvi. Kisha unaanza kutafuta dobi mzuri kufua mablanketi na fundi mzuri kuhudumia Ac.

Hasara inaanziaga kwenye wazo halafu inatengeneza mfumo wa domino kwenye utendaji.
Tufanyeje Ndugu,Firewall gani itumike?Napendekeza tuuze shares lakini serikali ibaki na majority shareholding,labda hao shareholders watasaidia mawazo mapya na kuvuruga hiyo michongo.
 
Amuagiza Mkurugenzi kubadilisha safu yake mara moja.

Aonya watu waache upigaji wawe waadilifu.

Marketing Department yakosolewa. Awataka ambao hawawezi kuendana na kasi inayotakiwa wakae pembeni.

Asema wafanyakazi wa serikali watumie ATCL kusafiri Posta na TTCL zijiandae.

My take..

Kwakweli Marketing Department ya ATCL ni mbovu sana, namuunga mkono. Nenda twitter account yao au hata website yao. Dah! Inasikitisha.

----------------------------------------------------------
Zanzibar ASP Ameongezea maoni yake hapo chini...

Tatizo la ATCL ni kubwa sana kuliko vile watu wanavyodhania.Ni shirika lililoanzishwa kisiasa, Linafanya kazi kisiasa, Lilikufa kisiasa na sasa linafufuliwa kisiasa. Siasa na Biashara ni kama Maji na Mafuta, huwa haviendani kabisa.Yaani, Waziri Mzima anasema, uwekwe utaratibu ili wafanyakazi wa serikali wanaposafiri kwa Ndege basi Walazimishwe kupanda ndege za ATCL pekee!! Sijui kama waziri anajua athari za kauli yake kwa makampuni mengine ya ndege, Ubora wa Huduma za ATCL, Wajibu wa mfanyakazi wa serikali nk.Sijawahi kuona siasa ikifanikisha biashara.Ni suala la muda tu, ATCL itakufa tena, na tutaendelea kumsaka mchawi milele.... Anayeiloga ATCL ni serikali yenyewe.

Chanzo: TBC 1
Hivi kama unamtoto anasafir labda kwenda mkoani na ww unamabasi utamruhusu apande mabasi mengine
 
Ni kweli brains mpya zinahitajika kwenye hili shirika. Sasa je, ndani ya Serikali zipo? Au ni za ku-hunt nje ya mfumo wa Serikali? Kama ndivyo, mnakumbuka ya akina CEO wa TIC? NHC? TPDC? Labda tusubiri hao waTz 50,000 wanaotarajiwa kuwa deported na Trump huenda vichwa vikapatikana humo; cheap labor.

Its a sixty four thousand dollar question! Naamini watu vichwa wapo, tatizo letu kubwa ni attitude na business as usual mentality ambayo imeshakuwa kansa kwa watanzania wengi wetu! Mtanzania anaangalia maslahi binafsi kwanza kabla ya kazi aliyopewa kuifanya; mianya ya rushwa, ufisadi nk nk! Ili kuivunja hiyo "vicious cycle"; ni lazima kuwafurusha wafanyakazi wote hawa waliopo au tuwajengee kiwanda cha juisi wakafanye kazi huko, tuajiri upya kuanzia Bodi, management mpaka karani wa tiketi, ili tuanze moja kujenga mfumo, maono na utamaduni mpya wa kibiashara na uzalendo kwa nchi yetu. Model hiyo hiyo tutalazimika kuitumia katika taasisi zetu zote za umma kama tunataka Tanzania mpya kweli!
 
Ni kweli brains mpya zinahitajika kwenye hili shirika. Sasa je, ndani ya Serikali zipo? Au ni za ku-hunt nje ya mfumo wa Serikali? Kama ndivyo, mnakumbuka ya akina CEO wa TIC? NHC? TPDC? Labda tusubiri hao waTz 50,000 wanaotarajiwa kuwa deported na Trump huenda vichwa vikapatikana humo; cheap labor.
Kuna brains nyingi sana zipo private sector... Wakipewa nafasi Hapo ATCL inabadilika mara moja...
 
Kuna brains nyingi sana zipo private sector... Wakipewa nafasi Hapo ATCL inabadilika mara moja...
Brains za private sector sio za mishahara ya 1.5 mkuu. Ndio maana nilitoa mifano ya ex-CEO's wa TIC, NHC, na TPDC.
 
Tufanyeje Ndugu,Firewall gani itumike?Napendekeza tuuze shares lakini serikali ibaki na majority shareholding,labda hao shareholders watasaidia mawazo mapya na kuvuruga hiyo michongo.
Uko sahihi.

Acha niongezee ualinacha wetu. Kwanini kuunda lipya wakati PW ipo na walikua tayari kupartner na serikali wawezeshwe bn 23.5 tu? Sema husda za waswahili kuwezeshana mtu anaona Shirima atafaidi saana.

Halafu jina lenyewe na hivi anatoka Rombo na ni besti ya Mramba basi chumvi ndo ikawekwa kidondani. Na jF haijambo kwenye hizo figisu. Hadi kuhusu shirima kuiba ndege nazo zilifufuliwa.

So wakaamua kutoa cash bn120 kununua midege ili waendeshe wenyewe. Fikiria wangewekeza PW robo tu ya hiyo hela instantly wangekua na maslahi katika umiliki wa ndege zaidi ya 6 mapanga shaa maana ndo waliyochukua na ruti na weledi na alliances na kadhalika.

Kisha wangekua na ujasiri kutoa dhamana PW kukopa ndege hizo zingine 2 kubwa biashara inavyoenda. Si na wao ni wamiliki?

Bilioni zaidi ya 80 zilizobaki tungepata huduma muhimu km madawa/ti.

So hapo wangeua ndege walau wa3 kwa jiwe moja (120bn). Wangewezesha mzawa. Wangepata shirika la ndege la taifa linalojiendesha. Wangeboresha huduma za jamii.

Ona kilichotokea. Lile jiwe limewapiga (ama litawapiga) wenyewe. Kipago nyuma kigozi mbele. Wazia usalama wa jicho la mlenga ndege.
 
Niliwahi kuleta uzi hapa. Tangu mwanzo nilishawishika kuwa tatizo la ATCL siyo ndege maana kama ni ndege tulikuwa nazo, tena zilizokuwa nzuri kuliko hizi za sasa, kwa kiwango cha wakati ule.

Shirika lilikufa, na hata hili la sasa litakufa tu, maana matatizo yaliyofanya ATC, TTCL, TBL, n.k. yafe, yapo palepale. Na bahati mbaya serikali ya awamu hii inaamini kuwa mafanikio ya kila jambo ni kuwa mkali hata kama huna mipango yoyote.

Hata huyo waziri amezungumza, kauli yake hiyo inaweza kubadili sura za watu lakini haitabadili utendaji wa taasisi za biashara za umma. Hii ATCL ya sasa itaanguka vibaya na kwa haraka kuliko ile ya mwanzo.

Baada ya kujaribu kutaka kusafiri na ATCL mara 2 bila mafanikio, ATCL.siifikirii tena kwa safari zangu.
 
Biashara inahitaji uelewa wa biashara yenyewe, mipango na mbinu, wala siyo maagizo au kauli za wanasiasa ambao hawajui chochote kuhusiana na biashara katika ulimwengu wa leo.

Emirates ilianza na ndege moja ya kukodi. Fuatilia leo, wana ndege ngapi na za aina gani. Nenda uchunguze menejimenti ya shirika, ndiyo utajua siri ya mafanikio yao. Hizi menejimenti za mashirika yetu ambazo sifa mojawapo ni uwe mtanzania, kada mzuri, mzalendo (hata kama uzalendo unaomaanishwa ni kuwa mfuasi wa mfumo wa utawala), etc, ATCL na mashirika mengine kamwe hayatakuja kusimama wala kukua. Kama hatuwezi kufuata kanuni za biashara, ni afadhali hela tunazopoteza kununulia ndege, tungekuwa tunachimbia visima virefu vya maji ili kuwahakikishia upatikanaji wa maji wananchi wetu maskini.
 
Amuagiza Mkurugenzi kubadilisha safu yake mara moja.

Aonya watu waache upigaji wawe waadilifu.

Marketing Department yakosolewa. Awataka ambao hawawezi kuendana na kasi inayotakiwa wakae pembeni.

Asema wafanyakazi wa serikali watumie ATCL kusafiri Posta na TTCL zijiandae.

My take..

Kwakweli Marketing Department ya ATCL ni mbovu sana, namuunga mkono. Nenda twitter account yao au hata website yao. Dah! Inasikitisha.

----------------------------------------------------------
Zanzibar ASP Ameongezea maoni yake hapo chini...

Tatizo la ATCL ni kubwa sana kuliko vile watu wanavyodhania.Ni shirika lililoanzishwa kisiasa, Linafanya kazi kisiasa, Lilikufa kisiasa na sasa linafufuliwa kisiasa. Siasa na Biashara ni kama Maji na Mafuta, huwa haviendani kabisa.Yaani, Waziri Mzima anasema, uwekwe utaratibu ili wafanyakazi wa serikali wanaposafiri kwa Ndege basi Walazimishwe kupanda ndege za ATCL pekee!! Sijui kama waziri anajua athari za kauli yake kwa makampuni mengine ya ndege, Ubora wa Huduma za ATCL, Wajibu wa mfanyakazi wa serikali nk.Sijawahi kuona siasa ikifanikisha biashara.Ni suala la muda tu, ATCL itakufa tena, na tutaendelea kumsaka mchawi milele.... Anayeiloga ATCL ni serikali yenyewe.

Chanzo: TBC 1

Ulilosema ni la msingi. Mbarawa aache siasa. Hivi hiyo ATCL nani aliyeifikisha hapo? Sasa hivi anakuja mtu anaangalia ilipoangukia badala ya chanzo ambacho ni sera za serikali hii. Ni nani mfanyakazi mzuri na mwenye sifa angeendela kusubiri kampuni imfie mikononi? Obviously wenge wazuri walishaondoka kwenda kwenye certanities. Unailaumum idara ya masoko kwa lili kwenye kampuni ambaya ilikuwa na kindege kimoja kushindana na KQ and the likes ndedge zenyewe zimekuja hazina hata wiki unalalamika Masoko hawafanyi kazi, hao hao unawambia wasiuze ticket kwa kutumia wakala! Hata hao wanaombiwa wabadilishe safu ndio kwanza wameingia kazini khawa wafanyakazi hawawahui maana yake Waziri tayari ana majina yake wanofaaa na kutokufaa. Yeye mkataba bodi na menejementi asiingie jikoni wao wajipange kuzaliasha. Huwezi kuijenga ATCL kwa kuua mashirika mengine, hiyo tulijifunza wakati wa ujamaa.
 
False start at ATCL; Ni bora hizo nyingine zilizoagizwa wangesubiri kidogo ili ATCL ijipange vizuri zaidi kiutendaji kwani ATCL ilishakufa zamani sana kwa hiyo hata watendaji wake wengi ni Obsolete kabisa, hawajui kinachoendelea kwenye Airline industry; wameshaota kutu wanasubiri kukatika kama chuma chakavu

Kama Magufuli na serikali yake wanataka ATCL ifanye biashara basi serikali imeanza vibaya kwa kuliingilia utendaji wake!! Toka mwanzo ilitakiwa hizo nafasi za uongozi wa shirika zisiwe za uteuzi bali zingetangazwa INTERNATIONALLY na watu kuomba na kuajiriwa kufuatana na vigezo stahiki vya uendeshaji wa mashirika ya ndege duniani. Huu utaratibu wa kuteua watu kuongoza shirika kwa kuangalia loyalty hakuwezi kufanikisha uendeshaji wa ATCL. Kama hili halitarekebishwa haraka hili shirika litazikwa haraka sana na JPM anapata ugonjwa wa moyo bure!!! Msifikirie kuwajaza engineers kwenye uongozi ndio kufanikisha utendaji wa shirika there is more to AIR TRANSPORT than engineering!!!
 
Well spoken Bulesi, I wish the powers that be could heed your enlightened opinion!
 
Eti safu ya nn.? Siasa na biashara hapa Tz, ni sawa na Mpira wa miguu na Tz..!!
 
Kama Magufuli na serikali yake wanataka ATCL ifanye biashara basi serikali imeanza vibaya kwa kuliingilia utendaji wake!! Toka mwanzo ilitakiwa hizo nafasi za uongozi wa shirika zisiwe za uteuzi bali zingetangazwa INTERNATIONALLY na watu kuomba na kuajiriwa kufuatana na vigezo stahiki vya uendeshaji wa mashirika ya ndege duniani. Huu utaratibu wa kuteua watu kuongoza shirika kwa kuangalia loyalty hakuwezi kufanikisha uendeshaji wa ATCL. Kama hili halitarekebishwa haraka hili shirika litazikwa haraka sana na JPM anapata ugonjwa wa moyo bure!!! Msifikirie kuwajaza engineers kwenye uongozi ndio kufanikisha utendaji wa shirika there is more to AIR TRANSPORT than engineering!!!
Hilo natofautiana nawe kidogo.Shirika kwa sasa bado ni Dogo,tunauwezo kabisa wa kuliendesha tukidhamiria.Huwi na ngombe mmoja ukanunua machine ya kumkamua.kuweka uongozi wa nje ni gharama mno.Humuhumu wataalam WaPo,walipwe vizuri watafanya kazi.Cha msingi zibiti upigaji
 
Umeambiwa ndege ilisubiri board members. Na bado unaongea habari ya majet wind? Au ndo kutetea kila kitu? Hapa ni wazalendo wanalilia shirika linavyo endeshwa kizembe wakati serikali ina nia nzuri ya kulifufua. Bila kubadirisha aina ya watendaji walio na mawazo ya kizamani, hili shirika litarudi kulekule. Kumbukeni hata JK aliapoingia madarakani alikuwa na nia ya kulifufua kwa kiasi fulani. Nakumbuka aliweka mkurgenzi mpya akaingia kwa mbwembwe nyingi. Na mtaji wakapewa over 4b. Waliishia takukuru. Yasije yakajirudia sasa. Serikali iwapime ATCL kila baada ya miezi mitatu ili kama kuna harufu ya uozo urekebishwe haraka na asiangaliwe mtu usoni. Hapa kazi tu.
Nawe uko kundi hilo tu! Nimemuuliza official message ya shirika ilikuwa ni nini? Nawe unasema yale yale anayedai kupelekwa airport toka Arusha. Tangu lini hiyo ikawa ni kazi ya airline. Kama alikuwa hotelini, adai hoteli yake. Akasema eti board member. Yes, ndiyo hiyo taarifa aliyopewa au alihisi baada ya kumuona board member anaingia? Ni nani huyo member maana si wana majina?

Tusirukie tu maneno ya watu ambao wengine wakipanda ndege wanahangaika sana kujulisha watu tukio hilo. Shirika gani ambalo halichelewi? Mbona hao wengine wanalaza watu airport na hakuna anayesimulia uzembe mkubwa kama huo.

Makosa yaliyopio yanastahili kuondolewa mara moja lakini tusipande ndege na kudai kubebwa mgongoni!
 
Umeambiwa ndege ilisubiri board members. Na bado unaongea habari ya majet wind? Au ndo kutetea kila kitu? Hapa ni wazalendo wanalilia shirika linavyo endeshwa kizembe wakati serikali ina nia nzuri ya kulifufua. Bila kubadirisha aina ya watendaji walio na mawazo ya kizamani, hili shirika litarudi kulekule. Kumbukeni hata JK aliapoingia madarakani alikuwa na nia ya kulifufua kwa kiasi fulani. Nakumbuka aliweka mkurgenzi mpya akaingia kwa mbwembwe nyingi. Na mtaji wakapewa over 4b. Waliishia takukuru. Yasije yakajirudia sasa. Serikali iwapime ATCL kila baada ya miezi mitatu ili kama kuna harufu ya uozo urekebishwe haraka na asiangaliwe mtu usoni. Hapa kazi tu.
Wewe unapotukumbusha wateule wa huyo unayemuita JK, mi sikuelewi. Wale waliokuwa kila siku na Defao? Hao ndo JK wako alitegemea wafufue shirika? Hata kwa trilioni wasingefika.
 
Hilo natofautiana nawe kidogo.Shirika kwa sasa bado ni Dogo,tunauwezo kabisa wa kuliendesha tukidhamiria.Huwi na ngombe mmoja ukanunua machine ya kumkamua.kuweka uongozi wa nje ni gharama mno.Humuhumu wataalam WaPo,walipwe vizuri watafanya kazi.Cha msingi zibiti upigaj

Uzoefu wetu wa kuendesha mashirika ya umma umeonesha kuwa pale tunapokuwa na uongozi [ haswa kutoka nje!!] ambao hauingiliwi kiutendaji , mashirika hufanya vizuri!! Net group Solutions walipopewa jukumu la kuiendesha TANESCO na haswa kwenye eneo la ukusanyaji madeni walifanya vizuri sana; hivyo hivyo ATCL kama itaachiwa iendeshwe na wataalam wanaujua AVIATION industry na sio mradi watu ni engineers, basi nina hakika ATCL inaweza kufanikiwa lakini sio kwa huu mtindo tulioanzana nao na hizi BOMBARDIER kwa kuamini kuwa engineers ndio suluhisho la uendeshaji!! False start.
 
Japo umeiweka kiukabila ila nakuunga mkono kuna kihoro kikubwa kwa serikali kuipa flag Precision. Na kiko so unfounded. Sana sana na hearsays.

Kama ndivyo, watuokolee hasara (kupoteza kodi zetu kwa mishahara iso tija na ruzuku zisoisha) wafunge hiyo biashara na kupea private sector uwanja huru watoane jasho. Kwetu itakua faida tu.
Mkuu sio km nimeiweka, ila ndivyo ilivyo. ktk maofisi watu wanaumia sana inapotajwa kaskazini. Kwao ni bora kitu kisifanikiwe kuliko kifanikie akiwepo mtu wa kaskazini. Ndio maana wengi wanakimbilia vyeti kuhalalisha nafasi za upendeleo ila ktk ufanisi, kujituma na kuwa mkweli mwisho wa siku kwa kujiuliza "LEO NIMEFANIKISHA NINI NA KESHO NITAFANIKISHA NINI" hapo hao wasomi wa vyeti vya kuhalalisha nafasi huwa hawajiulizi bil akujidanganya.

failure zao kwa sasa ni kwamba watu waliopewa ni hawana weledi km wanaopewa TBC na idara ingine, ila usalama hujificha ktk issue ya mikakati na sijui nini kuzuia hujuma. na kufanya vitu visivyo na tija. Nani hajui usalama wetu walivyo dhaifu ktk kutafuta nafasi za taifa kupata faida za kweli za kiuchumi zaidi ya siasa? Hadi leo mabenki yetu hayajashawishiwa kufungua branch nchi nyingine ili kusaidia watanzania kurudisha hela nyumbani baada ya kuwekeza kwa watu? nani hajui maafisa wengi wa usalama wakipewa mashirika wanayaua kirahisi kwa kisingizio cha mkakati?Kwanini hiyo mikakati isitenganishwe na mafanikio ya mradi ili tupate vyote kwa pamoja?

Soon wataanza taka sheria mpya kubana precision air, km walivyoweka sheria luluki za habari ili kuiokoa TBC mfu, na si kubadili shirika lijisimamie kiushindani. Ni ktk kila idara yenye mkaskazini mwenye mafanikio, wapo tayari kufanya upuuzi ili kumtafuta wa kaskazini, wakuu wa mikoa na wilaya, wakipelekwa kaskazini na kuenda hujumu kila kitu kuanzia wawakilishi wa umma, kujaza watu wa mikoa yao ,ambao ni watiifu ktk mfumo wa kiuharibifu. A good thing ni kwamba , katika sector nyingi, maendeo mengi ili kummaliza mkaskazini watawamaliza wadhaifu wengine kwanza kabla hujammaliza mtu muhimu ktk jamii yao. OTHERWISE KUJIFICHA KTK USAWA KUNAZAMISHA WAZAWA,A KUWAINUA WAASIA na WEUPE WAZAWA WAKIMINYANA. KM
 
Back
Top Bottom