[emoji1] [emoji1] una utani na MtukufuNi za kwenda kuzikia..
Kama mama ana mizizi mizito Serikalini ,yaweza kuwa tatizo.Na mkurugenzi ikabidii amezeeMama mwenyewe kavaa Shungi ni dalili Tosha kuwa Marketing haipo kichwani... Kwanza anavoongea tu inaonekana hajui anachofanya!
Unajua kuna watu kama wamepatwa na Wazimu baada ya Mtukufu kutangazwa Mshindi Mwanzo walikuwa wengi kutetea kila kitu lkn siku zinavyokwenda wanazidi kupungua mwisho wa siku wataishia kuwa wageni wasomaji watakuwa wanachungulia NYUZI wanazikimbia
Ujinga huu kwanini hukusema wanaTEUA wa Chama kimojaTatizo serekali kujaza watu wa dini moja tuu kwenye kila idara na teuzi zake.
Wakipata hela za sadaka kwenye nyumba zao za ibada basi... Hapo akili zao zinakuwa zimefikia ukomo
[emoji1] [emoji1] mtukufu amesema hajaribiwi Labda kama unazo 7ml zisizokuwa na kazi vinginevyo JELA itakuhusu kwa UCHOCHEZIMkurugenzi ana PHD ya kufuga nyuki anapewa aendeshe shirika la ndege unategemea nini?
Chini ya mtukufu kuna sheria inafuatwa?Mungu mwema. Hivi nisaidiwe, hawa wenzetu wanazingatia kweli Sheria ya Manunuzi ya Umma (PPA 2011) na kanuni zake (PPR 2013) walizotunga wenyewe pale Bungeni? Au wanatoa tu matamko kuwa watumishi wote wa umma wapande ndege za ATCL?
Na kusafirishia wahamasisha "saratani za matiti"Ni za kwenda kuzikia..
Ukiwawekea system vizuri hao wabovu eitha watabadilika ama kuondoka na kutuachia sisi wenye maujuzi, labda itokee figisu figisu hapo watakuwa wamejizika wenyewe!Sasa utaipate wakati watu wanazeekea hapo...
Sure, umejibu kibihashara zaidi. Tatizo aliyesomea "kilimo cha mboga mboga" ndio huyo asimamie uzaaji wa "samaki"Leo ameiwakia, kesho ataizimikia hamna chochote kitakachobadilika kama wasipofanya mabadiliko kwenye mfumo mzima wa utendaji kazi, ni bora waziri akae na wakurugenzi kuunda mfumo utakaodhibiti upigaji hela kuliko kutoa tu tamko la kuwaasa waache kupiga hela au kubadilisha safu.
Hii ni karne ya 21 unaweza kufanya automation ya full business process ya industry yoyote na kuwa na full transparency ya transaction zinazofanywa na kuweza kumfanya mtu kuwa accountable kwa jambo lolote atakalofanya wakati huo huo (realtime).
Angalia kampuni kubwa za nje wanavyofanya management zao si rahisi kupiga hela ukapona hivi hivi lazima utajulikana lazima utashughulikiwa ipasavyo.
Ndio maana waziri amewaka Kweli Leo.. Nadhani ujumbe umefika