Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,829
- 4,167
Akihojiwa na BBC kwamba watawafanyia nini Watanzania kiasi cha kukifanya Chama chake kionekane cha maana tena mbele ya umma na hivyo Watz wakipigie kura 2015, Makamba(Yusuf) alisema:
" tutatekeleza yaliyo kwenye ilani yetu na Watanzania watasahau haya (akimaanisha wizi, ufisadi na uchakachuaji wa kura), halafu watatupa (akimaanisha sisi Watz tutakipa kura chama chake 2015)".
Eti Watz wenzangu. Kweli tutasahau?