Elections 2010 Makamba Naye Alalama Kama Kinana!

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Akinukuliwa na Clouds FM radio na Channel 10 naye amesema:

  • CHADEMA Hawajatumia lugha ya kistaarabu kwa mgombea wao
  • Adai hawawezi kukaa kimya Mwenyekiti wao na Rais akitukanwa
  • Adai wote walisaini makubaliano ya kutumia lugha ya kiuungwana, iweje sasa wanakiuka
  • Aitaka tume ya Uchaguzi ichukue hatua isisubiri ipelekewe malalamiko
  • Adai JK ni kama baba, huwezi vumilia ukiona baba yako anatukanwa
Ipo kazi! Mpaka October tutasikia mengi . . .
 
JK baba yako wewe Makamba na vilaza wenzio....hivikuitwa mwizi ni tusi??na atasilibwa mitusi mwaka huu mpaka akili imkae sawa
 
kama babako mpumbavu au mlevi analewa mpaka anajinyea ukiona watoto wanambeza na kumkejeli na kumtukana UTALALAMIKA? we makamba vipi bana
 
Kuna haja ya kujua hayo maadili yalikuwa na contents gani ili kujua lugha ya kistaarabu inayotakiwa kutumika ni ipi . . .

May be Marando asingesema "Mkapa aliombwa na Kikwete na Lowasa awape pesa za Uchaguzi na hapo ndo EPA ikazaliwa" instead angesema "Viongozi wa CCM hawajachukua hatua za kutosha juu ya wizi wa EPA"

Kwa mawazo yangu, Wapiga kura wanayo kila haki ya kujua kwa undani mambo yote toka vyama vyote na serikali yatakayowafanya wafanye uamuzi sahihi wa kupiga kura
 
hayo makubaliano yalikuwa siri yao wao wenyewe.. hizi siasa gani wanazozitaka ambazo hazina kejeli, vijembe, utani, kunyosheana vidole n.k? Kama zinawashinda wafanye tu kama wale watu wa kwenye movie ya Avatar wote tukae chini tuuzunguke mti na kuanza kuimba "kumbaya"!
 
Tunaomba tuambiwe hayo matusi ni yapi walotukanwa? Au ndo mambo ya nyani akitaka kufa? Anyway Rev. imeishakuwa confirmed kuwa JK anakifafa?
 
Tunaomba tuambiwe hayo matusi ni yapi walotukanwa? Au ndo mambo ya nyani akitaka kufa? Anyway Rev. imeishakuwa confirmed kuwa JK anakifafa?

Mkuu hii kitu mbona sio siri? Hebu tafuta kijarida cha cheche ukisome!
 
Makamba is very right jk ni baba yao kwa kuwa amewapa mirija ya kufyonza rasilimali za nchi hii lakini kwetu sisi wanachi tuliopigika jk ni mbaka uchumi na msanii na fisadi mkubwa,
 
Akinukuliwa na Clouds FM radio na Channel 10 naye amesema:

  • CHADEMA Hawajatumia lugha ya kistaarabu kwa mgombea wao
  • Adai hawawezi kukaa kimya Mwenyekiti wao na Rais akitukanwa
  • Adai wote walisaini makubaliano ya kutumia lugha ya kiuungwana, iweje sasa wanakiuka
  • Aitaka tume ya Uchaguzi ichukue hatua isisubiri ipelekewe malalamiko
  • Adai JK ni kama baba, huwezi vumilia ukiona baba yako anatukanwa
Ipo kazi! Mpaka October tutasikia mengi . . .
Inachekesha amesema siasa ni kuvumiliana mbona anajikanyaga uvumilivu upi anaosema yeye, kumbe ni kweli mkuki unafaa kwa nguruwe tu mwambieni Makamba na huyo Baba yake wawe wavumilivu.Walitakiwa wawe wamemalizana nawezi wenzao wa EPA,Wanawaita makapi waliowatoroka hilo siyo tusi na bado tutaona mengi mno kipindi hiki.
 
Kuitwa mwizi baada ya kuiba ni matusi? Ebu nyie wezi mafisadi wa CCM na Makamba akiwa kinara wenu mthibitishe kuwa sio wezi wa kodi zetu. Eti mnakodi helkopta kwa kodi zetu? Mmeenda kuagiza mabando nje ya nchi kwa kodi zetu, si wizi huo? Ndo maana mnawalundika wezi wa kuku segerea huku nyie wezi wa kodi zetu mnapiga cheers hata wakati wa mfungo wa Ramadhani, mkijifanya mnafuturu-SAS atawafuta huko mlipo. Sisi tuibieni ila sio Mungu. Hamwezi kuukimbia mkono wa Mungu. Kumbukeni yaliyomtokea mfisadi mwenzenu mliyemtetea kwa mizengewe Dito hata kuwanyima haki wanyonge, zamu yenu inafuata. Kama mnapinga hili fungueni kesi dhini yangu nitajitokeza kuthibitisha hili. Wezi wakubwa nyie!!!

Mwaka huu ni mwisho wenu. Hata mking'ang'ania huko ikulu damu ya watanzania itawalilia tu ipo siku. Msidhani mmetawala dunia na mbingu.

WanaJF naomba mwenye mawasiliano na Makamba amfikishie ujumbe huu.
 
Akinukuliwa na Clouds FM radio na Channel 10 naye amesema:

  • CHADEMA Hawajatumia lugha ya kistaarabu kwa mgombea wao
  • Adai hawawezi kukaa kimya Mwenyekiti wao na Rais akitukanwa
  • Adai wote walisaini makubaliano ya kutumia lugha ya kiuungwana, iweje sasa wanakiuka
  • Aitaka tume ya Uchaguzi ichukue hatua isisubiri ipelekewe malalamiko
  • Adai JK ni kama baba, huwezi vumilia ukiona baba yako anatukanwa
Ipo kazi! Mpaka October tutasikia mengi . . .

Ukiangalia kwa makini majibu ya Makamba,Kinana na Malecela utaona kuwa wanamaanisha yaani fedha zetu jasho letu walipa kodi ni za kwa manufaa yao wachache.

Kwa maana ingine wanahalalisha sio wanaiba bali ni haki yao....wao ni royal wa TZ...jumuia inapoona kina Chenge,Rostam,Karamagi, Mramba ,Mungai...list ni ndefu kama mafisadi wao (CCM) wana wabeba na kuona ni mashujaa.
Kwa hoyo katika tafsiri yao mwizi ni yule mlala hoi anayeiba shilling elfu na hukumu haichukuwi hata muda na kutupwa segerea wao lakini kitabu chao cha sheria ni kingine kabisa.....
 
CCM kuiba ni haki yao ! Ukiwaambia mmeiba umewatukana ! Kama mmeshanote kwamba makamba doesn't take time to think , huwa anakurupuka na kuongea, Hivi makamba na umri wake anaweza kuwa mtoto wa JK?
Lakini kweli, kwa uwezo wa makamba wa kufikiri hakustahili kuwa katibu wa chama ndo maana anamwona JK ni baba yake !
 
its becoming an obsession now

Inaonekana Kinana amekuwa more thread kuliko hata mgombea mwenyewe

halafu in all this hakuna hata chembe ya ushahidi au chochote kuthibitisha tuhuma dhidi yake
 
Hivi ameshajibu sababu zilizomfanya afukuzwe ualimu mkuu wa shule Kigoma??
 
its becoming an obsession now

Inaonekana Kinana amekuwa more thread kuliko hata mgombea mwenyewe

halafu in all this hakuna hata chembe ya ushahidi au chochote kuthibitisha tuhuma dhidi yake[/QUO

Warya Kinana ndi mwenye vijana wa kazi wenye kuteka meli kule Somalia:becky:
 
Back
Top Bottom