Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

Kwani kikatiba ni vigezo vipi vinatumika kuchagua waziri? Jee January hana hivyo vigezo?

I think we need to use our head to think and not our behind. Kusema mambo milioni ambayo hayamake sense ni kuushusha hadhi huu mtandao ambapo kabla ulikuwa ukiheshimika kuanzia BBC mpaka CNN. So, please tutumie akili na sio vinginevyo....
 
the boy has all the scores to be a minister...
 
If it looks like a duck, acts like a duck, and quacks like a duck it is probably just a tool of the conspiracy
 
Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa sana iwapo mwanae hatapewa uwaziri kwani kijani huyo alikosa mpinzani kutokana na uwezo wake. Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya? Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?

He'll be the next Secretary of Foreign Affairs!
Mr Membe has proved to be incompetent for the position!
 
Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa sana iwapo mwanae hatapewa uwaziri kwani kijani huyo alikosa mpinzani kutokana na uwezo wake. Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya? Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?
 
makamba yeye amejipambanua mbele ya watanzania kuwa ni MLOPOKAJI na ktk historia ya ccm sijui kama imewahi kuwa na M/Kiti na Katibu wa aina ya kikwete na makamba. Ni viongozi vilaza wanaoishi kwa propaganda tu. Waswahili wanasema ukitaka kujua tabia ya mtu fulani basi angalia rafiki zake. Kuna tofauti gani kiuwezo na kitabia kati ya makamba na kikwete! Ndiyo maana wanachama na viongozi waandamizi wa ccm wameamua kukaa pembeni kuacha hao vilaza wazunguke wenyewe mitaani na familia zao kutafuta kura. Uliona wapi style hii tangu kuanza kwa siasa za vyama vingi nchini?????
 
Hiyo mipango iko wazi na inajulikana toka muda mrefu sana. JK akirudi madarakani waziri mkuu ni Henry Shekifu na bwana mdogo january ni waziri wa nishati na Madini.
 
Unajua labda tunazani usomi wake huyo January (according to some) ndio utatusaidia lolote kitaifa. Huyu bwana ni mzigo tu as far as im concerned aende flush tu hizo qualifications down the drain.

Kwanza si kuwa akupata mpinzani bali mazingira yaliyompitisha ni ya utata vilevile, ni chaguo la kamati ya CCM na si la wana Bumbuli huyu ni fisadi in the making kwanini? January awezi kwenda kinyume cha mfumo uliomtengeneza yeye mwenyewe na kumfikisha alipofika kirahisi rahisi mpaka alipo leo kisiasa.

Sasa mtu kama huyu sidhani kama ataweza zungumza dhidi ya wababe anajua watamuengeua na kumpachika mwingine haitaji kuona mbali mfano wenyewe ni yeye mwenyewe.

Pili hivi nyie mnaotuambia tufikirie nyie wenyewe mnafikiria huyu bwana baba yake ndie kila siku anabwatukia hovyo wale wanao kemea tabia zao mbaya. Eti leo mwanae aliempachika kupitia mfumo uozo aje represent anything different sidhani kama huyu bwana kama safari yake ya kisiasa hita represent anything difference from what his father represent.

Kujipa hope na January ni purely kujiongopea even if January himself wanted to make those changes ni hatoweza.
 
Kwani kikatiba ni vigezo vipi vinatumika kuchagua waziri? Jee January hana hivyo vigezo?

I think we need to use our head to think and not our behind. Kusema mambo milioni ambayo hayamake sense ni kuushusha hadhi huu mtandao ambapo kabla ulikuwa ukiheshimika kuanzia BBC mpaka CNN. So, please tutumie akili na sio vinginevyo....

Kama unataka kwenda na katiba, January hawezi kuwa mbunge kwa sababu Bumbuli hakutakuwa na uchaguzi. Labda ateuliwe na rafiki yake Kikwete.

Na kama si mbunge kikatiba hawezi kuwa waziri.

Sitetei hizi speculations zisizo na source, akini at the same time kumpa January ubunge bila uchaguzi ni kuvunja katiba.
 
Sometimes its common sense where in the world or what political party allows its members to go against their party lines publicly. And what are the chances for a novice politician standing against those lines considering his father, is the main party whip and represents the status quo. Si ajabu siasa za Africa ni upuuzi ule ule unajirudia miaka hamsini sasa.
 
Sitashangaa kuona anapewa uwaziri kwa sababu namjua JK. Pengine Makamba anaongea kitu akijuacho.
 
Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa sana iwapo mwanae hatapewa uwaziri kwani kijani huyo alikosa mpinzani kutokana na uwezo wake. Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya? Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?

Mwacheni aongee maana mfa maji haachi kutapatapa
ila siku zao zinahesabika
 
Back
Top Bottom