Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

Tukipata source naweza comment otherwise inabidi kuwa silent
 
Narudia kwa kusema kuwa yeye ndie chanzo cha hewa chafu ndani ya CCM na kulianzia pale alipo kiuka makubaliano ya kamati kuu ya CCM kuhusu kura za maoni, na kuruhusu wanachama wa CCM kupiga kura za maoni bila utaratibu makinifu.

Na ndio hiyo ikawa advantage kwa January Kule bumburi sasa simwelewi kama alisema hayo kwa viongozi wenzake kampalia mkaaa JK na mtoto wake huyo anaitwa January, Na Hii inaonyesha dhahili mtoto anarithishwa na ndicho hicho wananchi na wanachama wengi wa CCM hawakipendi, Kama mwanao anapendwa na wanachama na raia wengine acha anyanyuke kwa kupitia hao wanachama wa CCM na raia wengine wanaomwona anafaaa nasio ujigambe na kumwalibia mwanao.

Yaaani huyu mzee ni mpuuuzi sana hajua hata siasa nadhani si ha sa za majitaka ndio zamfaaa yeye

Kwa huyu mzeee kuwa KATIBU CCM hapo kweli ninakili tulichemka esp JK alipo mchagua
 
Fedha haramu zimemzidi huyu mzee, amewadhurum wagombea wengi sana wa CCM kwenye kura za maoni, lazima jasho la watu hawa linamfanya aweweseke, juzi alikwenda kumpoza Luhahula wa bukombe maana nasikia alikata mshiko mnene dakika za majeruhi na NEC ikabidi impige chi Prof.Kahigi wa chadema kwa sasa.
 
Makamba kwa hili wasambaa wanasema "DASHI AU MKIAU AU SHUHEEE", Hii nchi sio ya baba yako au babu yako Makamba, jua kabisa HATUDANGANYIKI na hili punguani lako January, Mungu akulaani JK unayemtegemea aanguke uchaguzi ujao.Pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Jamani mambo mengine msiumize vichwa.. January kama wengine ambao wamepenyezwa kwenye kura za maoni ndio watakao chukua wizara muhimu katika miaka mitano ijayo....ndio watakao kuwa mawaziri wenu na wameshaanza hata maandalizi ya kuapishwa rasmi.....

Sasa nyie endeleeni kupiga makelele.....ila kwa kuokoa muda ni vyema kuongelea 2015 and ahead......mtatahamaki sana mwaka huu!!!!!.....mi yangu macho ,nipo pembeni ,natafuta ugali wa watoto wangu,hata kura sina hamu nazo...
 
kumbe ni wakufikia..? nilidhani january ni mtoto wa yule mwanafunzi aliebakwa na makamba..!:tonguez::tonguez:
 
Kalewa madaraka ya ukatibu wa CCM ndo maana anapayuka ovyo. Namfananisha na bundi maana kwenye giza ndo anaona bali mchana haoni.
 
........................................Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya? Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?

Usijali huyu siyo kiongozi wa Ki-taifa. CCM ndo waulize kama anakitendea haki chama chao. Lakini usishangae kwamba CCM walipiga makofi kwa kuona majigambo hayo.
 
kwa jinsi navyoona akili za huyu makamba zilivyo mbovu nadhani hata za mwanaye ni hivohivo
 
Its really discouraging to see Vijana humu JF wanampiga vijembe kijana mwenzao January Makamba na kuhoji uwezo wake kuwa waziri. Hakuna hoja hata moja yenye mashiko, badala yake zote ni chuki na fitina tupu.

Suala la January kuwa na uwezo wa kuwa waziri ni la mjadala kweli? This guy is young, competent, exposed and educated, he is way over due for that post and yes he has to become a minister.

Issue to discuss hapa may be, again, may be mzee makamba kulisemea hilo hadharani which still ni out of excitement ya mzazi kuona mwanae anafanikiwa akiwa bado hai, wewe hautaki kuwa katika nafasi hiyo i.e

Kumuona mwanao anafanikiwa? suala la katibu mkuu wa ccm liwekeni pembeni kidogo, yule ni mzazi, january ni mwanae, usife moyo january, in no time wataona tu uwezo wako.
 
Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili.

Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa sana iwapo mwanae hatapewa uwaziri kwani kijani huyo alikosa mpinzani kutokana na uwezo wake.

Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya? Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?
hebu tuwe wakweli kidogo,

Tulitegemea nini kutoka kwa mjivuni aliyesomesha?? mshauri wa rais asiwe waziri wa rais huyo endapo atachaguliwa?? we all know inspiration ameitoa wapi

Lakini pamoja na hayo, i would rather have January in teh parliament kuliko Ghasia, Kawambwa, Mwakyusa, kapuya, member, nk...
 
Back
Top Bottom