Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

Huyu bwana matakkoo sana, hana hoja kabisa zaidi ya kuchezesha domo lake chafu!
 
hana jipya awe waziri kwa kuwa na kichwa kikubwa au kwa ufisadi alioufanya ikulu? ila sishangai ndani ya ccm inawezekana.
 
Its really discouraging to see Vijana humu JF wanampiga vijembe kijana mwenzao January Makamba na kuhoji uwezo wake kuwa waziri. Hakuna hoja hata moja yenye mashiko, badala yake zote ni chuki na fitina tupu.

Suala la January kuwa na uwezo wa kuwa waziri ni la mjadala kweli? This guy is young, competent, exposed and educated, he is way over due for that post and yes he has to become a minister.

Issue to discuss hapa may be, again, may be mzee makamba kulisemea hilo hadharani which still ni out of excitement ya mzazi kuona mwanae anafanikiwa akiwa bado hai, wewe hautaki kuwa katika nafasi hiyo i.e.

Kumuona mwanao anafanikiwa? suala la katibu mkuu wa ccm liwekeni pembeni kidogo, yule ni mzazi, january ni mwanae, usife moyo january, in no time wataona tu uwezo wako.

Huyo Mzee anamharibia mwanaye. Pia ikumbukwe hii si kinship society.
 
Waziri kwa awamu ipi? Hii ikiisha hajapata awamu ijayo ni cdm sasa sijui itakuaje hii kauli ya pwagu!
 
NI KWELI KUWA JANUARI ANA UWEZO MKUBWA SANA NDANI YA CCM LAKINI NJE YA CCM NI KITUMBUA TUU,HALINGANI HATA NA MBUNGE MMOJA WA CHADEMa
 
Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani.

Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa sana iwapo mwanae hatapewa uwaziri kwani kijani huyo alikosa mpinzani kutokana na uwezo wake. Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya?

Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?
Yaani teknolokia ni kitu hatari said a
 
Akitulia atarejeshewa Uwaziri. Atulie Kama Sumbachawene
 
Back
Top Bottom