Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa sana iwapo mwanae hatapewa uwaziri kwani kijani huyo alikosa mpinzani kutokana na uwezo wake. Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya? Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?
Mimi sishangai kabisa kama huyu January guy akitokea kupewa uwaziri siku za usoni. Serikali yote ya CCM imejaa mawaziri mbumbumbu so why not give this guy uwaziri, too. P.S. Makamba, I know this January guy, and he is not a smart guy. Akili yake na yako zinafanana
 
hakuna lolote wala hashinikizi huyo inavyoonekana. bila shaka kuna MOU kati yake na mkulu mkuu; afterall, huyo jan mpaka sasa ni afisa wa jengo kuu. bila shaka pia kesha-leackishiwa kwamba tayari ameula kwani uwaziri katika nchi hii ni ulaji tofauti na ilivyo uwajibikaji kwa wenzetu
 
Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa sana iwapo mwanae hatapewa uwaziri kwani kijani huyo alikosa mpinzani kutokana na uwezo wake. Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya? Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?
si afadhali huyu kuliko profesa maji marefu akila uwaziri......mwaka huu sijui mawaziri watatokea wapi maana waliopita viti vya ubunge ni waganga wa jadi na mission town kibao
 
Nje ya mada kidogo:

Huyu mleta thread (ambaye huenda amechangia kwene thread hii kwa ID tofauti) naona amegombana na January huko kwene mishemishe zao sasa anataka kulipizia JF..lakini hii ndio spirit mpya ya JF, uwongo, upuuzi na hoja legelege. Kuna kipindi hapa alikuwa akiwatetea kwa nguvu zote akina Shayo, Makamba,Michuzi na Mashaka et al (huenda ni mmojawao hapo) kuwa ni watu makini blah blah blah, lakini sasa all over sudden ati January ni kilaza! lol

Mie yangu macho..

ndugu pole bwana punguza jazba,ile thread haijamlenga January,imemlenga baba ake mzee Yusuph makamba yakhe,jamaa kauliza je mzee yule kujibusti hivyo ni fair kweli?
 
Its really discouraging to see Vijana humu JF wanampiga vijembe kijana mwenzao January Makamba na kuhoji uwezo wake kuwa waziri. Hakuna hoja hata moja yenye mashiko, badala yake zote ni chuki na fitina tupu. Suala la January kuwa na uwezo wa kuwa waziri ni la mjadala kweli? This guy is young, competent, exposed and educated, he is way over due for that post and yes he has to become a minister. Issue to discuss hapa may be, again, may be mzee makamba kulisemea hilo hadharani which still ni out of excitement ya mzazi kuona mwanae anafanikiwa akiwa bado hai, wewe hautaki kuwa katika nafasi hiyo i.e. kumuona mwanao anafanikiwa? suala la katibu mkuu wa ccm liwekeni pembeni kidogo, yule ni mzazi, january ni mwanae, usife moyo january, in no time wataona tu uwezo wako.

mimi sipendi kumuhukumu kwamba ni incompetent YET, sema ukiangalia mlolongo wa vijana waliokwisha ingia kwenye hiki chama kama Gulinita,Nchimbi yaani wao ndo wamebadilika badala ya chama
 
Hivi uwaziri ni njugu ambayo mtu anapewa tuu kama zawadi....

JK akimpa uwaziri basi ni kama vile Ngeleja, Kawambwa na wengine wengi ambao wameshindwa kuongoza wizara tena nyeti sana kama Miundo mbinu na nishati..

Tumwondoe JK and watu wake wote,, tuweke watu wapya kabisa watakao leta mabadiliko ya kweli na ambao hawana undugu wala system ya kurudishwa na takrima za kulipa....
 
the man is literal y crying for help nobody seems to take notice we do a very poor job of recognizing mental ilnesses people who rape women as it alleged are very sick people somebody give this man some prozac or some
 
Mzee makamba is a real dull up stairs then sitashangaa kama amejiboast hivyo te te te teh!na JK akimpa january uwaziri then yeye atakuwa the dullest of all the people in the world!
 
Kama unataka kwenda na katiba, January hawezi kuwa mbunge kwa sababu Bumbuli hakutakuwa na uchaguzi. Labda ateuliwe na rafiki yake Kikwete.

Na kama si mbunge kikatiba hawezi kuwa waziri.

Sitetei hizi speculations zisizo na source, akini at the same time kumpa January ubunge bila uchaguzi ni kuvunja katiba.

If that is the case, which i respect then kwa nini tusipeleke swala kwenye mahakama ya sheria? Mtanzania yoyote anaweza kufungua law suit na ikasikilizwa.
 
Kwa serikali ya kikwete, hili sitolishangaa hata kidogo!
 
Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa sana iwapo mwanae hatapewa uwaziri kwani kijani huyo alikosa mpinzani kutokana na uwezo wake. Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya? Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?

sishangai, huyo mzee anavuta unga. hongera kwake,wao ndo wenye nchi ana haki ya mwanae kuwa waziri
 
Kama JK akiwa rais, si ajabu kumchagua huyo dogo kwa vile JK ni kilaza hawezi kuchagua mawaziri wenye upeo mkubwa kwa kuogopa kufunikwa, huoni alivyokuwa anambadilisha Magufuli kila wakati.
 
Tusijifurahishe kwa mambo hasiyo hakikiwa. T

  1. Hivi Makamba aliyasema haya wapi na lini!?
  2. Lakini si amesema tu kwani ni kweli lazima alichokisema kitekelezwe!?
Waache wafu wazike wafu wao. Chakufanya ilikuonesha kwamba tunakerwa na hili jambo au hizi rumansi zilizopo basi tuhakikishe hatukipi ridhaa chama cha Mapinduzi katika kuongoza. Hilo tu linatosha kukomesha hayo yote. Tusitumie muda mwingi kumdiskasi January sijui February.... sijui nani nani... tena bila relistic in the information.Tutadharaulika na JF itonekana silolote wala si chochote.
 
Mwacheni awe. Kwan wazir wa Tz anaitaj kuwa na akili sana? Mbona tunao kibao waliye forge PhDs. Mafisadi wa elim ni mawaziri, ki2gan kitamzuwia mbumbumbu kuwa waziri?
 
Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa sana iwapo mwanae hatapewa uwaziri kwani kijani huyo alikosa mpinzani kutokana na uwezo wake. Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya? Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?

Mtoto yupi! ama huyu bibiye?

mwanvita.jpg
 
Makamba Forum at it again. I think we should verify the sources kabla hatujaanza kutukana watu.

As far as January, I just hope all of u (who are against him by his last name) will be willing to change your minds on this kid. Because big things are coming, as far as Bumbuli is concerned. Just pay attention. We are talking about innovative ways of pulling a community out of poverty. Sio blah blah za mifuko ya simenti. Classical economic development.
 
72207_1630755205240_1127403497_31793227_2798227_n.jpg
 
Back
Top Bottom