Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

72207_1630755205240_1127403497_31793227_2798227_n.jpg

Mchungaji--
Ahsante kwa mchango wako. Tuombe uzima InshaAllah. Mungu ni mwenye rehma.
 
Makamba Forum at it again. I think we should verify the sources kabla hatujaanza kutukana watu.

As far as January, I just hope all of u (who are against him by his last name) will be willing to change your minds on this kid. Because big things are coming, as far as Bumbuli is concerned. Just pay attention. We are talking about innovative ways of pulling a community out of poverty. Sio blah blah za mifuko ya simenti. Classical economic development.

Makamba hafai, mshirikina najyejaza wanawake mimba na kuwatelekeza
 
kama kwelikasema haya maneno huyu mzeee anazeeeka viabaya. Lakini kia uzofu mdogo wa watu wa maeno ya huko wanaweka utani kwenye mabo hata yasiyokuwa ya matani.

Hivi mwananchi wa kawaida anapata ujumbe gani kwa kauli kama hizi?

Siku si nyingi tutasikia waziri wa elimu akisifia mwanae kapata elimu bora ya sekondary Kenya au uganda na Chuo kikuu USA. Kila mtu ana haki na uhuru lakini kama viongozi inabidi commucation zao ziratibiwe.
 
Makamba ni mgonjwa tena karibia anaanza kuokota makopo. Mtu mzima anaropoka utafikiri mwenda wazimu. Sasa January kilaza awe waziri wa nini? waziri wa Clouds FM? atakuwa kama dada na baba yake mpayukaji? kwanza mwamvita si alikuwaga mnenguaji, kwa sababu alikuwa akizurura sana na watu wa mabendi! mara kawa mkurugenzi Vodacom na uzoefu gani wa kazi? January pia Ikulu kwa uwezo gani alonao? Hili kundi la kikwete na Makamba waondoe familia zao kwenye uongozi wa nchi. Miraji anavuta unga yeye hana mambo mengi. Tatizo ni Salma Kikwete, Ridhiwani na January Makamba.

Heri ya Ridhiwani, kwa sababu anajua fika kwamba akili hana na anatumiwa ilhali hajui. Hau hawa watu wanaogopa Slaa akichukua nchi wataingiwa lupango? basi wasubiri waanze kupigwa mawe

January hana uwezo wa kuwa waziri. Speeches (Hotuba) za kikwete zilivyombovu uwezo wa kuongoza wizara atoe wapi, au kwa sababu nchi ni mali ya baba na kikwete ndo kila kitu apewe? jimboni baada ya kufanyiwa ufisadi na kuwannunua upinzani ulitosha siyo uwaziri. Akijaribu tu, nchi kwisha. Kikwete asituchezee kabisa sisi siyo watoto na nchi siyo mali yake. Kuna vijana makini mno kuliko January, Wakina Mwanakijiji, Nyani Ngabu, Dr. Hildebrand Shayo, John Mashaka na wengine wengi makini wapo wametulia, ambao wana uwezo mkubwa wa kuongoza bila shida lakini siyo January.

Blog yake aliiba articles za watu akadai zake, speeches za kikwete anadesa iwe kuongoza wizara? huyu mzee makamba kalewa. Madhambi yake yaliyomfanya afukuzwe uwalimu ukuu asilete kwenye uongozi wa nchi. Haki ya nani, Kikwete na Makamba wakiendeleza kuingiza familia zao kwenye uongozi wa nchi, nchi itapasuka kesho. hii ndio dalili ambayo tunaiona sasa hivi

Nyimbo ndeeeeefu- Zaiko Langa Langa. Wau tunataka chorus - Awilo Longomba - Kwachu kwachu...........!
 
ya nini kushangaa kwa majigambo ya makamba na toto tundu january? Akiwa galanosi aliwahi kumwandikia demu wake barua ya kumpiga kibutiu kutumia Toilet paper. leo nashangaa kusikia alikuwa Speech Adviser w3a JK. ndomana Hotuba zake zina pumba nyingi.
Hivi huyo january ameacha kazi ya ushushu na kuingia ktkt siasa? maana alikuwa anaonekana sana ktk data base zao.
makamba hana cha kujivunia ktk watoto. Huyo ALI ameshindwa Uhakimu kule Moshi.:sad:
 
January kuwa Waziri si ajabu kulingana na serikali yenyewe ilivyo ya kijinga jinga, kucheka cheka kama @#$@%. Inakuwaje mtu anaewa unaibu waziri wa wizara nyeti kama ya madini.....si mnamfahamu? eti alisomea Cuba tena ana Ph.D.....manawezaje kushangaa hili. Yule mzee si mjinga kama mnavyodhani, anasema anachokifahamu saaaaana.
 
Katibu mkuu wa CHAMA MAKINI huwa ni mtu makini. Sad kwa CCM ni kinyume nyume. Hata sielewi ilikuwaje katika wanachama woooooooooooote, wazee wa CCM wakaona Makamba ndie bora kubeba mikoba ya Chama.
 
Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa sana iwapo mwanae hatapewa uwaziri kwani kijani huyo alikosa mpinzani kutokana na uwezo wake. Wanajamvini, ni kweli uyu mzee anaitendea nchi haki kwa matamshi kama haya? Kwanini mtoto wake lazima awe waziri?

Itategemea kama rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. W. Slaa ataona kuwa anamfaa.
 
Makamba ni mgonjwa tena karibia anaanza kuokota makopo. Mtu mzima anaropoka utafikiri mwenda wazimu. Sasa January kilaza awe waziri wa nini? waziri wa Clouds FM? atakuwa kama dada na baba yake mpayukaji? kwanza mwamvita si alikuwaga mnenguaji, kwa sababu alikuwa akizurura sana na watu wa mabendi! mara kawa mkurugenzi Vodacom na uzoefu gani wa kazi? January pia Ikulu kwa uwezo gani alonao? Hili kundi la kikwete na Makamba waondoe familia zao kwenye uongozi wa nchi. Miraji anavuta unga yeye hana mambo mengi. Tatizo ni Salma Kikwete, Ridhiwani na January Makamba.

Heri ya Ridhiwani, kwa sababu anajua fika kwamba akili hana na anatumiwa ilhali hajui. Hau hawa watu wanaogopa Slaa akichukua nchi wataingiwa lupango? basi wasubiri waanze kupigwa mawe

January hana uwezo wa kuwa waziri. Speeches (Hotuba) za kikwete zilivyombovu uwezo wa kuongoza wizara atoe wapi, au kwa sababu nchi ni mali ya baba na kikwete ndo kila kitu apewe? jimboni baada ya kufanyiwa ufisadi na kuwannunua upinzani ulitosha siyo uwaziri. Akijaribu tu, nchi kwisha. Kikwete asituchezee kabisa sisi siyo watoto na nchi siyo mali yake. Kuna vijana makini mno kuliko January, Wakina Mwanakijiji, Nyani Ngabu, Dr. Hildebrand Shayo, John Mashaka na wengine wengi makini wapo wametulia, ambao wana uwezo mkubwa wa kuongoza bila shida lakini siyo January.

Blog yake aliiba articles za watu akadai zake, speeches za kikwete anadesa iwe kuongoza wizara? huyu mzee makamba kalewa. Madhambi yake yaliyomfanya afukuzwe uwalimu ukuu asilete kwenye uongozi wa nchi. Haki ya nani, Kikwete na Makamba wakiendeleza kuingiza familia zao kwenye uongozi wa nchi, nchi itapasuka kesho. hii ndio dalili ambayo tunaiona sasa hivi

makamba mbuzi tu, kazi kubaka watotot na kuropoka. January naye kilaza, analazimisha akili, akili zipo JMF, kwa wakina mwanakijiji
 
Mpaka makamba kafikia hatua ya kusema haya then this was a long term plan, hawa jamaa wanataka kuimilikisha hii nchi, wana kauli za kukinzana sana, Rais alisema bashe si raia, Waziri anayeriport kwa rais akasema bashe raia, hatujui wa kumuamini so far, si rais wala mawaziri. Hawako organized, wanapeana vyeo pasi na kuangalia utendaji wao wa kazi ila kujuana na kufahamiana zaidi, wengi wao wana elimu za junction of disjunctionctions.

Koz kasema hatashangaa so am sure kama JK ataukwaa urais for the next 5 years then January atakua waziri na hata kama sio waziri then naibu waziri, ila sio kwamba anaweza kiutendaji ila basi tu nae apate KULA, na aendelee kulinda Maslahi yao. Tusipokua makini kizazi kijacho kitakua hakina pa kushika. hakutakua na uwezo wa kubridge gap kati ya masikini na matajiri. nchi kuongozwa kwa kufuata ma ukoo ya viongozi ni upuuzi mtupu.......

mwisho wa yote sijui utakuwa vp?????.......mungu atusaidie sisi na vizazi vyetu........
kitatushitaki kwa Mungu, kwa haya tutakayokuwa tumeyatenda ndani ya nchi hii. Tukatimize wajibu wetu wa kupiga kura.
 
Natabiri kuwa January Makamba will be among the young Ministers in serkali ya Kikwete bila uzoefu wowote na kama hatajirekebisha anaweza kuwa worse than Lau Masha kwa kudhulumu haki za Watz kupitia cheo alichonacho kama alivyokuwa akifanya wakati wa utumishi wake Ikulu. May be he will be the next Lau Masha.
 
sugu anamlaani mpaka kesho huyu mse**e ndiye aliyeshiriki kudhulumu haki zake katika ile malaria no more.
 
sugu anamlaani mpaka kesho huyu mse**e ndiye aliyeshiriki kudhulumu haki zake katika ile malaria no more.

Sasa wote watunga sheria tutaona kitakachotokea. CLOUDS NASIKIA WAMEANZA KUPIGA NYIMBO ZAKE Kwa hofu lol
 
Sasa wote watunga sheria tutaona kitakachotokea. CLOUDS NASIKIA WAMEANZA KUPIGA NYIMBO ZAKE Kwa hofu lol

Makamba alishasema mwanae lazima awe waziri. Lakini Watanzania nawaonya, huyu mtoto wa makamba ni fisadi kupita maelezo. Akiwa Ikulu, amepitisha zabuni nyingi kupitia mgongo wa Ikulu, Wahindi wamempa hela nyingi sana kwenye kampeni zake, ameanzisha biashara Kibao. Malaria nomore ni mradi ambao amejineemeshea kweli na rafiki yake Ruge Mutahaba. Hawa watu hawafai
 
Natabiri kuwa January Makamba will be among the young Ministers in serkali ya Kikwete bila uzoefu wowote na kama hatajirekebisha anaweza kuwa worse than Lau Masha kwa kudhulumu haki za Watz kupitia cheo alichonacho kama alivyokuwa akifanya wakati wa utumishi wake Ikulu. May be he will be the next Lau Masha.

Kama Kikwete atamteua huyu January Makamba kwenye Cabinet yake ajue atakuwa na mtu kwenye serikali yake ambae hata siku moja hataruhusiwa kukanyaga ardhi ya Marekani !! Hayo yalisemwa na mwanamama wa Kimarekani Lisa Rockerfeller aliyemtambua January Makamba kama ndiye aliyemtishia maisha yake kwenye mtandao na akaapa kuwa angefanya kila liwalo huyu jamaa asiingie kwao kwani ni GAIDI!!
 
Ama kweli hapo umenena. Hata mie niliiona hiyo claim ktk threads kadhaa zilizopita, ila nadhani hili litaweza kwenda mbali na kukumba wengi zaidi ya January!
Natabiri hawa jamaa waliofanya fraud na rigging ya matokeo ya uchaguzi wetu, natabiri wanaweza watawekwa ktk target hiyo hiyo kama mh Dr Slaa atawalipua wote waliohusika, kama kweli kesho 'ataongea na taifa'. Tumsubirie!
 
Natabiri kuwa January Makamba will be among the young Ministers in serkali ya Kikwete bila uzoefu wowote na kama hatajirekebisha anaweza kuwa worse than Lau Masha kwa kudhulumu haki za Watz kupitia cheo alichonacho kama alivyokuwa akifanya wakati wa utumishi wake Ikulu. May be he will be the next Lau Masha.
Hivi January naye anajihesabu mbunge.
 
January Kawekwa Kwenye Bunge na Tutegemee Mengi Yanakuja. Kikwete Anawatoto Wangapi na Wangapi Anataka Kuaacha Serikalini? Makamba, Lowasa, Mwinyi, Mkapa, Chenge, Malecela Wana Mtoto Mwingine? Nao Wanataka Kuchaguliwa Pia? Wanaondoka Baba Zao na Wanaingia Watoto Zao. What's Difference na Princes wa Saudi? Matabaka Nchi Ndio Haya na Wataendelea Mpaka Tuwatoe Kwa Nguvu na Tujiandae Maana Usalama wa Taifa na Jeshi la Tanzania Wanatumiwa, Hasa Hasa Hao Mabosi Zao Wakati Maafisa wa Chini Shida Mtindo Mmoja. Maafisa wa Chini Jeshini na Usalama wa Taifa Mgao kwa Umeme na Mishahara Midogo Kama Kawaida ila Wao Wanakubali Kumlinda Afande Iko Siku Watailekeza Bunduki Kwao Hivyo Ndivyo Mabutu na Wengine Waliondoka. Muulize Sadaam Aliemninginiza Unafikiri Si Wale Wale Aliowatesa Kipindi Alipokuwa Raisi!
"Hii Nchi Yetu Kama Hiabadiliki Hawa Wezi Tutawaondoa Kwa Nguvu"
 
Back
Top Bottom