Makamanda, ukamanda wetu ndio huu juu ya Zitto?

Status
Not open for further replies.
[MENTION]Kimweri
[/MENTION]
NInaposema sisi tunaotazama kwa nje namaanisha watanzania Tunaoishi nje ya Tanzania, tunaoshiriki kwenye siasa za nchi hiyo kupitia froum kama hizi.wewe kuniita gamba etc hakusaidi kusogeza mbele hoja yako.

1. Nataka kukuuliza, posti na mabango kwamfano hapa jf, niaslimia ngapi yanabeba hoja za kweli? (Genuine threads with reliability of at least 90% truth) kukufanya wewe kuamini yatokanayo bila kuwa na mashaka?

2. Nataka pia bila kubahatisha kama utafanya research ndogo hapahapa jf niwachangiaji asilimia ngapi ambao wanachangia hoja za msingi kwa kuweka na kujadili ukweli? Ambao unakufanya wewe unafuatilia kupitia forum kuamini unavyoamini.

3. Je unaamini kwamba wote walio nje ya nchi wanamtazamo kama wako? can you tell the probability of this please at what confidence limit.

Ukinijbu haya tutaendelea na mengine tafadhali tuendelee.
 
Unaorodhesha vitu ambavyo ni hearay halafu uantegemea mimi nivikubali kijumla jumla.mimi sio kama wewe, sihitaji kufuata upepo,sina maslahi yoyote ya kinachoendelea CDM wala CCM,natazama kinachoendelea kwa jicho la aliye nje.simple as that.kama huelewi shauri yako.

kuendelea kwako kuorodhesha uzushi hakumaanishi utaniaminisha kuwa ZItto anafanya mambo yasiyo na tija na taifa,ukiniambia chenge ana $1M offshore nitakuelewa, kwa sababu its proven beyond doubt, ukiniambia kuwa Zitto ni mwenyekiti wa PAC iliyosimamia mashirika kadhaa, na mawaziri kadhaa kuwajibishwa, it's proven beyond doubt,hadithi za mwigulu kukutana na zitto "havintishi bar" kuihujumu chadema ni umbea mabao haujawa proven,kwa mtu mzima kama mimi siwezi kupoteza muda kujadili upuuzi huu.

tuhuma 11 mlizomtuhumu zito (mbali na kuwa based on hearsay) ziko open kwa kila mwenye macho na masikio-wengi wanakubali hazina weight ya kumua-abuse kiongozi wenu mstaafu kwa level hii.
Mnasema waraka uliowekwa kwenye vyombo vya habari sio wenyewe at the same time mnazunguka nchi nzima kumnanga nao.mnasema kuwa Zitto ame-consipre kumng'oa uenyekiti mbowe kwa waraka alioandika Kitila Mkumbo.

Mbaya zaidi, ukiondoa lugha isiyo ya kistaarabu iliyotumika kwenye waraka 90% ya kilichoandikwa ni matatizo makuu ambayo Chadema kama taasisi inatakiwa iyashughulikie, uitely,sio kupiga kelele kwenye media kila siku.
Umeongea Ukwelii mkuu
 
Hili sakata bado bichi!, kwa vile kesi haijasikilizwa, linaweza likaiva likaliwa likiwa bivu, ila pia linaweza likaoza na watu wakala ioza/uozo au hata wasipokula uozo, litavunda na uvindo haukwepeki!. Kumbuka ile video bonafide genuine maadam Chadema wamesimama naye, then ikithibitishwa itakuwa ni Chadema na sio Rwaka na hapo ndipo mtamuelewa ZZK alikuwa anamaanisha nini!.
Pasco
Umenena mkuu!Vifaranga hawaelewi
 
Kimweri

Unaorodhesha vitu ambavyo ni hearay halafu uantegemea mimi nivikubali kijumla jumla.mimi sio kama wewe, sihitaji kufuata upepo,sina maslahi yoyote ya kinachoendelea CDM wala CCM,natazama kinachoendelea kwa jicho la aliye nje.simple as that.kama huelewi shauri yako.

1. Nikweli mkumbo na mwigamba waliandaa waraka au hapana? kama hapana fafanuwa maana wahusika walikubali kuhusika.

2. Shonza, mwampamba na wengine walifukuzwa cdm au hapana? kama ndiyo tueleze sababu kuu (root cause)

3. Je nikweli Zito anashiriki shughuli zote za kichama na harakati na viongozi wengine wakuu au amekuwa akifanya kivyake? kama siyo eleza vema na kwa mifano.

4. Unatazama kinachoendelea kwa nje, yes je kinachoendelea kwandani unakifahamu? kwa evidence zipi?

5. Siku mwigulu anainnga chadema star tv, zito alikuwepo, niliangalia kipindi chote, kwanini alikaa kimya kabisa bila kuhoji hata kidogo maana ilikuwa tuhuma bado kuthibitishwa na mahakama.

Je hayo ni uzushi fafanua na kanusha kwa evidence please, kukaa nje ya nchi haimaanishi unaufahamu bora.
 
Last edited by a moderator:
Yaani katika watu ambao ni objective na sio subjactive ni wewe, watu woote wa chadema wangekuwa kama wewe basi mambo yangeenda poa. Mi nadhani umefikiri mbali kukiko hata baadhi ya viongozi wa chama ambao watu wanawaita makamanda,wakati wanastick kwenye ushabiki fulani badala ya kuangalia mstakabali wa chama na Taifa letu....

tushirikiane kupaza sauti.
 
1. Nataka kukuuliza, posti na mabango kwamfano hapa jf, niaslimia ngapi yanabeba hoja za kweli? (Genuine threads with reliability of at least 90% truth) kukufanya wewe kuamini yatokanayo bila kuwa na mashaka?

2. Nataka pia bila kubahatisha kama utafanya research ndogo hapahapa jf niwachangiaji asilimia ngapi ambao wanachangia hoja za msingi kwa kuweka na kujadili ukweli? Ambao unakufanya wewe unafuatilia kupitia forum kuamini unavyoamini.

3. Je unaamini kwamba wote walio nje ya nchi wanamtazamo kama wako? can you tell the probability of this please at what confidence limit.

Ukinijbu haya tutaendelea na mengine tafadhali tuendelee.

I am not as naive as you think, i think 80% of whatever camp supporters are wrong here, listing what Zitto has done wrong is not what i expected a Chadema Cadre to do publicly, at least one who is self aware.Tomorrow, Mbowe will tell you the same about Dr. Slaa, and you will start listing about his shortcomings. All men have shortcomings, history is not written by things men couldnot do, but by what men did.CHADEMA should judge ZItto by what he has Done for CHADEMA, not what CHADEMA as a party wished he had done for them.On a side note what have you done for CHADEMA to merit badmouthing him in these forums?apart from nitpicking what he didn't do right or not your wishes? I don't see Mnyika or Slaa here valiantly discoloring Zitto achievements,rather most of your leaders are sticking to him misbehaving which is of course a general consensus for anyone with a head.One might even wonder, if this was a tactic used to provoke him.

Tell these to your fellow cadres, whatever vapourised nonsense you guys are spreading about Zitto in these forums, you are not gaining any supporters/base, rather you are alerting people to proceed with caution.you have done more harm to chadema public perception in the past month that the damages "Zitto" might have done in 15 years. Now you have given CCM, the clout, the Anmo even the audacity to mock you. it goes without showing how the mighty have fallen when you here nasty CCM politicians giving advice on what Chadema should do.its on the same basis as Putin Lecturing Obama about democracy, not That Putin is any cleaner, it's just the ***-up is so high on US side that, a proper politician like putin will not pass this opportunity.
Since Hotheaded Chadema are so unfocused to look at the big picture they in wholesale take the show of support from CCM as to tell Zitto is one of them, little do they even get a simple saying that goes as " Adui yako muombee njaa", "your enemy is my friend" tactic.
This is why i keep saying, Chadema is lacking in political Strategists, its full of activists who are no good when it comes to moving to the next stage as a proper alternative to CCM.Kama huelewi ninachosema, don't ask further.no good explaining.

Only a fool, a proper fool will take someone's word 100% without processing, do not offend me and blanket me as one of those fools.and you should excuse my language as there is no proper alternative word to describe a FOOL without naming a fool. i don't play words,i say it as it is.again,if you don't get this in relation to your qn,sorry,ask elsewhere.

uliuliza mtazamo wa nje unamaanisha nini, nikakujibu point blank unamaanisha mtu aliye nje ya Tanzania, ulitaka nikujibu nini?tatizo lenu kila anayekataa kukubaliana na nyie mnamuona msaliti, mwenye njaa, mfuasi wa lumumba and all sorts of insults.some of us tulio nje, hatujawahi kupewa hata senti 10 si na CCM wala Chadema, nchi tulizoko hakuna shortcut, we earn every single dime through hardwork,sio kupitia political favours za haop nyumbani. Hence, kwa asilimia kubwa hatuna bias ya hapo nyumbani. Kama ningekuwa Mteuliwa wa Kikwete obvious all is merry on his side.kwa kuzingatia hayo unatakiwa ufahamu watanzania wanaoishi nje ya Nchi wako wa aina nyingi( kuna makada wa chama, kuna wahanga wa system,kuna wasomi/academia/wataalamu) niko kwenye kundi la mwisho. CHADEMA, CCM hainihusu zaidi ya kuwa vyama vinavyoshikilia hatma ya nchi yangu kwa njia moja au nyengine. Kama huelewi, au unaamini watanzania wote walioko sehemu fulani,kikundi fulani lazima wawe na msimamo mmoja, then you are what is wrong with everything.
 
Ukitaka kumjua Zitto vizuri angalia reaction ya vyombo vya habari vya CCM, vinamremba sana mtu wao Zitto na kuwaponda sana wengine wote! Kwa ujumla CCM hawamwoni Zitto kuwa ni threat kwao kwa kuwa ni miongoni mwao!
CCM wameona nyie mazuzu na kwa sababu mmeishazusha kuwa zitto anatumiwa na CCM, kuamnisha uongo wenu na wao waue chama vizuri wanaandika kwa ushabiki, is not zitto here source ni bad planning ya chadema
 
Chama changu cha chadema. Nawasihi sana tena sana juu ya swala la Zitto Kabwe. Nimepitia tuhuma za zitto hasa hasa kwenye sijaona chochote kibaya alichofanya kinachomfanya afukuzwe vyeo vyake.

Kwanza huo waraka wa MABADILIKO zitto hakuundika wala kupanga mkakati wowote wa kuuandaa. Wakina mkumbo wamekiri kuwa zitto hausiki. Wao ndio waliouanndika. Je inakuwaje tena zitto anaingia hapo?

Hatukatai wasaliti kuondolewa/kufukuzwa. Leteni sababu zitakazokukubalika na wanachama na watanzania kwa umma.
TenA SIKU HIZI WATZ WAMEENDA SHULE KWELI KWELI. Mkiongea kitu chochote watz na wanachama lazima wakipime kwa undanii. Zaidi ya hapo wengi tunaungana kwa kusema swala linalomtafuna zitto ni minyukano ya kutaka madaraka kati yake na Mbowe.

Kila jambo kama viongozi mnapaswa mtumie busara. Na sisi wafuasi wa chadema tuache tuache kushabikia shabikia bila kuangalia logic yenyenye ya jambo husika kwa undani.

Chadema ni taasisi kubwa tuungane sote tujenge chama.
 
I am not as naive as you think, i think 80% of whatever camp supporters are wrong here, listing what Zitto has done wrong is not what i expected a Chadema Cadre to do publicly, at least one who is self aware.Tomorrow, Mbowe will tell you the same about Dr. Slaa, and you will start listing about his shortcomings. All men have shortcomings, history is not written by things men couldnot do, but by what men did.CHADEMA should judge ZItto by what he has Done for CHADEMA, not what CHADEMA as a party wished he had done for them.On a side note what have you done for CHADEMA to merit badmouthing him in these forums?apart from nitpicking what he didn't do right or not your wishes? I don't see Mnyika or Slaa here valiantly discoloring Zitto achievements,rather most of your leaders are sticking to him misbehaving which is of course a general consensus for anyone with a head.One might even wonder, if this was a tactic used to provoke him.Tell these to your fellow cadres, whatever vapourised nonsense you guys are spreading about Zitto in these forums, you are not gaining any supporters/base, rather you are alerting people to proceed with caution.you have done more harm to chadema public perception in the past month that the damages "Zitto" might have done in 15 years. Now you have given CCM, the clout, the Anmo even the audacity to mock you. it goes without showing how the mighty have fallen when you here nasty CCM politicians giving advice on what Chadema should do.its on the same basis as Putin Lecturing Obama about democracy, not That Putin is any cleaner, it's just the ***-up is so high on US side that, a proper politician like putin will not pass this opportunity.Since Hotheaded Chadema are so unfocused to look at the big picture they in wholesale take the show of support from CCM as to tell Zitto is one of them, little do they even get a simple saying that goes as " Adui yako muombee njaa", "your enemy is my friend" tactic.This is why i keep saying, Chadema is lacking in political Strategists, its full of activists who are no good when it comes to moving to the next stage as a proper alternative to CCM.Kama huelewi ninachosema, don't ask further.no good explaining.Only a fool, a proper fool will take someone's word 100% without processing, do not offend me and blanket me as one of those fools.and you should excuse my language as there is no proper alternative word to describe a FOOL without naming a fool. i don't play words,i say it as it is.again,if you don't get this in relation to your qn,sorry,ask elsewhere.uliuliza mtazamo wa nje unamaanisha nini, nikakujibu point blank unamaanisha mtu aliye nje ya Tanzania, ulitaka nikujibu nini?tatizo lenu kila anayekataa kukubaliana na nyie mnamuona msaliti, mwenye njaa, mfuasi wa lumumba and all sorts of insults.some of us tulio nje, hatujawahi kupewa hata senti 10 si na CCM wala Chadema, nchi tulizoko hakuna shortcut, we earn every single dime through hardwork,sio kupitia political favours za haop nyumbani. Hence, kwa asilimia kubwa hatuna bias ya hapo nyumbani. Kama ningekuwa Mteuliwa wa Kikwete obvious all is merry on his side.kwa kuzingatia hayo unatakiwa ufahamu watanzania wanaoishi nje ya Nchi wako wa aina nyingi( kuna makada wa chama, kuna wahanga wa system,kuna wasomi/academia/wataalamu) niko kwenye kundi la mwisho. CHADEMA, CCM hainihusu zaidi ya kuwa vyama vinavyoshikilia hatma ya nchi yangu kwa njia moja au nyengine. Kama huelewi, au unaamini watanzania wote walioko sehemu fulani,kikundi fulani lazima wawe na msimamo mmoja, then you are what is wrong with everything.
u can say it again and againyou have written what JF has been missing for ages. Critical analysis with very very balanced and independent mind.kudoscc: Ben saanane
 
Ile ni kansa iliokomaa, anakiburi na kuona yeye ndiye cdm na hakuna mwingine kama yeye.

Huyu ni samaki aliyekauka hakunjiki aslani vinginevo atavunjika, hawezi kutulia wala kuweka nidham
Tumsaidie kujielewa badala ya kumuacha akikauka na kupotea hata kama tuhuma zake zinathibitika apewe adhabu ndani ya chama tuendelee mbele..
Ukitaka kumjua Zitto vizuri angalia reaction ya vyombo vya habari vya CCM, vinamremba sana mtu wao Zitto na kuwaponda sana wengine wote! Kwa ujumla CCM hawamwoni Zitto kuwa ni threat kwao kwa kuwa ni miongoni mwao!

Mkuu si kwamba ushauri wako mbaya la. Isipokuwa unashauri mgonjwa wa kansa atibiwe kwa panadol wakati mguu usha oza.

-Akina shonza, mwampamba na wenzao walifukuzwa CDM nyuma ya pazia papa alikuwa ZZK

-Mwigamba, mkumbo, Mara na sehem zingine migogoro nk nyuma ya pazia papa ni ZZK

-Ushirikiano na viongozi wengine wa kitaifa unalega kwa ratiba mbili tofauti, siku zote ZZK anafanya kivyake

-Pamoja na kuandikiwa na kutakiwa kujitetea amekuwa kiherehere majukwaani kama cdm ni yake na si wanachama

-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....

-Bungeni, cdm kama chama, kimkakati walikubaliana kutoka, ZZK akauchuna.....

-CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele kumtetea zzk...kunanini nyuma ya pazia???

Shutuma na makosa ni mengi, kama shonza na wenzake walifukuzwa kwa utovu wa nidham, zzk akabaki, nabado ameendelea kutengeneza migogoro kupitia siasa za makundi, hitimisho lenyetija ilikuondokana na migogoro ya kila siku ambayo mwisho wake ni cdm kupasuka yaipasa chadema kumvua uanachama na kumfukuza ZZK bila kusita.
Nilipenda iangaliwe adhabu nyingine chini ya uangalizi maalumu kama atajirekebisha..

Utovu wa nidham ulikipindukia unaweza kuwa usaliti, na hivyo kama mtoto amevuka mipaka katika utovu wa nidham

bilashaka anaweza kuteketeza familia ili apate urithi/mali za kustarehe na kununulia madawa ya kulevya. Mtoto wa aina

hii tiba nzuri nikumexpel completely kabla hajasababisha majanga katika chama/familia-Majuto siku zote ni mjukuu
Mwanao akinyea mkono huwezi kusema hatua ya msingi ni kukata mkono tuu unaweza kuosha na ukaendelea na maisha
Zitto hana tofauti na makamu wa raisi wa sudan Kusini aliyefukuzwa....

Zitto anatumia nguvu nyingi sana hadi true enemies wa CDM kutaka Madaraka kwa gharama yeyote ile

Zitto ameamua kupambana na CDM hadharani na kutafuta umaarufu wake binafsi, yeye kwake chama si lolote japo anadai ana damu yake huko, je waliokifia wasemeje/ tuliopoteza watoto na ndoa tusemeje?

Zitto anajiona mwenye busara machoni pake mwenyewe, kwamba kwa aliyoitendea Chadema yeye ana haki kuliko mwanachama mwingine yeyote yule, hii pia inakatisha tamaa wanachama wengine wenye moyo wa kujitolea kujenga chama.
Zitto ndio huyo anaetajwa kushirikiana na akina Nchimbi na Mwigulu kutaka kuiangamiza CDM (rejea sakata la hackings ya e mail za Nchimbi &Nchemba na kuripoti polisi kwa Ben)

ningemshauri Zitto aanzishe chama chake kwa sababu ana kundi kubwa nyuma yake litakalo muunga mkono.... na kamwe hatutaacha CDM ife tukiwa hai.....
inawezekana akapewa adhabu kama makosa yake yakithibitika na kuwa chini ya uangalizi kuokoa image na nidhamu ya chama
Mkuu si kwamba ushauri wako mbaya la. Isipokuwa unashauri mgonjwa wa kansa atibiwe kwa panadol wakati mguu usha oza.
tusikate tamaa na wanasiasa vijana aina ya zzk tuendelee kuonyesha mwanga kwao.
-Akina shonza, mwampamba na wenzao walifukuzwa CDM nyuma ya pazia papa alikuwa ZZK

-Mwigamba, mkumbo, Mara na sehem zingine migogoro nk nyuma ya pazia papa ni ZZK

-Ushirikiano na viongozi wengine wa kitaifa unalega kwa ratiba mbili tofauti, siku zote ZZK anafanya kivyake

-Pamoja na kuandikiwa na kutakiwa kujitetea amekuwa kiherehere majukwaani kama cdm ni yake na si wanachama

-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....

-Bungeni, cdm kama chama, kimkakati walikubaliana kutoka, ZZK akauchuna.....

-CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele kumtetea zzk...kunanini nyuma ya pazia???

Shutuma na makosa ni mengi, kama shonza na wenzake walifukuzwa kwa utovu wa nidham, zzk akabaki, nabado ameendelea kutengeneza migogoro kupitia siasa za makundi, hitimisho lenyetija ilikuondokana na migogoro ya kila siku ambayo mwisho wake ni cdm kupasuka yaipasa chadema kumvua uanachama na kumfukuza ZZK bila kusita.

Huo ni uamuzi wa hasira na visasi huijengi Chadema. Tushikamane kujenga chama imara zaidi kwa kupita salama kwenye changamoto hizi..
 
Kimweri

1. Nikweli mkumbo na mwigamba waliandaa waraka au hapana? kama hapana fafanuwa maana wahusika walikubali kuhusika.

2. Shonza, mwampamba na wengine walifukuzwa cdm au hapana? kama ndiyo tueleze sababu kuu (root cause)

3. Je nikweli Zito anashiriki shughuli zote za kichama na harakati na viongozi wengine wakuu au amekuwa akifanya kivyake? kama siyo eleza vema na kwa mifano.

4. Unatazama kinachoendelea kwa nje, yes je kinachoendelea kwandani unakifahamu? kwa evidence zipi?

5. Siku mwigulu anainnga chadema star tv, zito alikuwepo, niliangalia kipindi chote, kwanini alikaa kimya kabisa bila kuhoji hata kidogo maana ilikuwa tuhuma bado kuthibitishwa na mahakama.

Je hayo ni uzushi fafanua na kanusha kwa evidence please, kukaa nje ya nchi haimaanishi unaufahamu bora.

Sasa waraka ulioandikwa na Mkumbo Zitto anaingiaje?unamhukumu vipi zitto kwa makosa ya Mkumbo?umeshawahi kwenda mahakamani?unafahamu maana ya evidence?unadiriki kusema kwa dhati kuwa Evidence ya ushiriki wa zitoo ni waraka ambao umeandikwa na Mkumbo?

nimekuomba evidence za Zitto unaleta hadithi za Sonza na Mwambapa whatever?can we stick to Zitto?maana naamini ndiye anayehukumiwa kwa makosa ninayoyaita hearsay.kufukuzwa afukuzwe Sonza, hukumu apewe zitto,kweli?hata kama walikuwa washirika, unaweza kuleta ushahidi usio na mshaka juu ya hilo?tafadhali usilete hadithi za yule mganga njaa ben.

Hivi wewe Unakubali kuaminishwa kuwa ZItto hasiriki shughuli za CHAMA?unaamini kabisa kuwa mwenyekiti wa PAC sio kuiwakilisha CHADEMA?au wewe shughuli za CHAMA ni kuandamana kutwa kucha?kwa sisi wenye mtazamo tofauti tunaamini CHADEMA ni chama cha upinzani,kushiriki shughuli za CHAMA kwa mbunge wa upinzani ni pamoja na kufanya yale ambayo mbunge wa upinzani anatakiwa kuyafanya.na kwa hilo Zitto ana A+,usilete hadithi za kina Dr.Slaa,yule sio mbunge, harakati ndio kazi yake, ni mtendaji mkuu wa chama,Lema naamini hana uwezo wa kusimamia Hoja au hata kuongoza Kamati ya Bunge kwa kiwango cha Mtu kama Slaa,Mnyika, Lisu, au Zitto.hivyo akishiriki kwenye kuzurula nchi nzima kujenga chama ni sawa.
Sina muda wa kupoteza kuleta picha za Zitto kwenye kampeni zenu za Ubunge, Udiwani kwenye majimbo mengine hilo liko wazi, wewe umewekewa mziki unacheza bila kujua mashairi, na hiyo ndiyo tabu yake.

Sihitaji kujua kinachoendelea ndani kufahamu "what a mess" Chadema is in organizational competence,or how the wrong people keep making the wrong decisions. Unahitaji nielezwe nini kusikia Mbunge wa Chama chenu anateka Laptop ya Mtu ili Kupeleleza Siri zilizomo ndani ya Laptop?Hivi unaelewa ndani ya mioyo ya watu kuna siri ngapi?unaelewa kwenye simu za watu kuna siri ngapi?leo hii hata Allies kina Marekani na Ujerumani wanakosana kwa sababu ya kuwekwa wazi kwa mambo yasiyotakiwa kuwekwa wazi(naamini ndio kosa kuu la Snowden).
Mimi sina Eveidence sijawahi kuwa nazo, wala sijawahi kuziomba, sizihitaji, sijui nani amekuambia kuwa nazihitaji ili kuona upuuzi unaoendelea chadema,press conference na matamko yenu yanatosha,matamko ya Zitto yanatosha, kuonesha kuwa busara kwenye Uongozi wa Chadema na Huyo Zitto mmeshatia mfukoni.

Sasa wewe unaweza vipi kumhukumu mtu kwa kitu ambacho hajakisema?unaelewa kwa nini Marikani Polisi anakuomba unyamaze??kwa kuwa upuuzi wa kuongea bila uhakika unatia watu matatani zaidi ya ukimya.hizo habari za mwigulu ku-conspire na Zitto ni upuuzi una-belong kwenye vijiwe vya kahawa,until proved otherwise,kwa hiyo unaamini Babu seya hakubaka siyo, na ile hukumu ni beef na Mh fulani Siyo.

Sijakuambia nina ufahamu bora,umeuliza swali kwa nini nimesema nje nimekujibu,ulitaka nisikujibu?
 
NInaposema sisi tunaotazama kwa nje namaanisha watanzania Tunaoishi nje ya Tanzania, tunaoshiriki kwenye siasa za nchi hiyo kupitia froum kama hizi.wewe kuniita gamba etc hakusaidi kusogeza mbele hoja yako.

Unaorodhesha vitu ambavyo ni hearay halafu uantegemea mimi nivikubali kijumla jumla.mimi sio kama wewe, sihitaji kufuata upepo,sina maslahi yoyote ya kinachoendelea CDM wala CCM,natazama kinachoendelea kwa jicho la aliye nje.simple as that.kama huelewi shauri yako.

kuendelea kwako kuorodhesha uzushi hakumaanishi utaniaminisha kuwa ZItto anafanya mambo yasiyo na tija na taifa,ukiniambia chenge ana $1M offshore nitakuelewa, kwa sababu its proven beyond doubt, ukiniambia kuwa Zitto ni mwenyekiti wa PAC iliyosimamia mashirika kadhaa, na mawaziri kadhaa kuwajibishwa, it's proven beyond doubt,hadithi za mwigulu kukutana na zitto "havintishi bar" kuihujumu chadema ni umbea mabao haujawa proven,kwa mtu mzima kama mimi siwezi kupoteza muda kujadili upuuzi huu.

tuhuma 11 mlizomtuhumu zito (mbali na kuwa based on hearsay) ziko open kwa kila mwenye macho na masikio-wengi wanakubali hazina weight ya kumua-abuse kiongozi wenu mstaafu kwa level hii.
Mnasema waraka uliowekwa kwenye vyombo vya habari sio wenyewe at the same time mnazunguka nchi nzima kumnanga nao.mnasema kuwa Zitto ame-consipre kumng'oa uenyekiti mbowe kwa waraka alioandika Kitila Mkumbo.

Mbaya zaidi, ukiondoa lugha isiyo ya kistaarabu iliyotumika kwenye waraka 90% ya kilichoandikwa ni matatizo makuu ambayo Chadema kama taasisi inatakiwa iyashughulikie, uitely,sio kupiga kelele kwenye media kila siku.

siku zote mnakuwa wapi na hizi intelectual, ingenuity and thoughtful comments

JF imevamiwa na vilaza na washabiki who can not in anyway make arguments and thick critically

kudos

cc: Ben saanane
 
Kimweri

ZItto anafanya mambo yasiyo na tija na taifa,ukiniambia chenge ana $1M offshore nitakuelewa, kwa sababu its proven beyond doubt, ukiniambia kuwa Zitto ni mwenyekiti wa PAC iliyosimamia mashirika kadhaa, na mawaziri kadhaa kuwajibishwa, it's proven beyond doubt,hadithi za mwigulu kukutana na zitto "havintishi bar" kuihujumu chadema ni umbea mabao haujawa proven,kwa mtu mzima kama mimi siwezi kupoteza muda kujadili upuuzi huu............

tuhuma 11 mlizomtuhumu zito (mbali na kuwa based on hearsay) ziko open kwa kila mwenye macho na masikio-wengi wanakubali hazina weight ya kumua-abuse kiongozi wenu mstaafu kwa level hii.

Mnasema waraka uliowekwa kwenye vyombo vya habari sio wenyewe at the same time mnazunguka nchi nzima kumnanga nao.mnasema kuwa Zitto ame-consipre kumng'oa uenyekiti mbowe kwa waraka alioandika Kitila Mkumbo.

Mambo ya chama yanajadiliwa kwa mujibu wa katiba, taratibu na kanuni za chama.

1. shutuma na matatizo ya zito yalijadiliwa kichama kupitia wajumbe stahili.
Je katika kufanya maamuzi ya kumsimamisha zito nyazifa zake ilikuweka mambo sawa.

a) Kulikuwa na wajumbe wangapi ndani ya kikao kwa ujumla? unafaham?

b) Ni wajumbe wangapi waliunga mkono hoja ya zito kusimamishwa? (asilimia ngapi?)

c) Niwajumbe wangapi walipinga hoja ya zito kusimamishwa? (asilimia ngapi)

d) ulikuwepo ndani ya kikao ilitufahamu kwamba wewe wa nje unayafahamu ya ndani -yaani katika maamuzi ndani
wajumbe walifuata taratibu? kama hapana fafanua.

e) unaweza kutuambia ukweli wa mjadala wa wajumbe kuhusu zito? lengo tujuwe kwamba ni uzushi maana ulikuwepo.

f) Unataka mambo ya chama kimkakati wayaweke hadharani kuhusu migogoro yachama? are serious! wewe unasema upo nje unayajuwa ya ndani kuhusu waraka? kama unao walionao wajumbe kule ndani uweke hapa kama huna thibitisha hawana mwingine............
 
Last edited by a moderator:
Chama changu cha chadema. Nawasihi sana tena sana juu ya swala la Zitto Kabwe. Nimepitia tuhuma za zitto hasa hasa kwenye sijaona chochote kibaya alichofanya kinachomfanya afukuzwe vyeo vyake.

Kwanza huo waraka wa MABADILIKO zitto hakuundika wala kupanga mkakati wowote wa kuuandaa. Wakina mkumbo wamekiri kuwa zitto hausiki. Wao ndio waliouanndika. Je inakuwaje tena zitto anaingia hapo?

Hatukatai wasaliti kuondolewa/kufukuzwa. Leteni sababu zitakazokukubalika na wanachama na watanzania kwa umma.
TenA SIKU HIZI WATZ WAMEENDA SHULE KWELI KWELI. Mkiongea kitu chochote watz na wanachama lazima wakipime kwa undanii. Zaidi ya hapo wengi tunaungana kwa kusema swala linalomtafuna zitto ni minyukano ya kutaka madaraka kati yake na Mbowe.

Kila jambo kama viongozi mnapaswa mtumie busara. Na sisi wafuasi wa chadema tuache tuache kushabikia shabikia bila kuangalia logic yenyenye ya jambo husika kwa undani.

Chadema ni taasisi kubwa tuungane sote tujenge chama.

unajua anatuhuma 11...je unaweza kuziweka hapa
leo kulikuwa na mgombea aliye pambana na dewji alitaka zitto ajitokeze afafanue alitumwa na nani kumwondoa kugombea akidai ametumwa na chama kitu ambacho kilikuwa ni uongo, afanya hivyo kwa mgombe wetu aliyekuwa anapambana na mkono, pia zitto alisababisha madiwani watano wa arusha kufukuzwa kwani alikuwa akiwahakikishia chama hakitawafanya kitu, tukaingia kwenye uchaguzi watu wanne wakafa na 70 kuachwa na vilema hivyo ukifatilia utagundua ni zitto ndiyo chanzo..sakata la akina juliana, habibu, mwampamba, na wengine wengi nyuma yake yupo Zitto ushahidi upo...
 
u can say it again and againyou have written what JF has been missing for ages. Critical analysis with very very balanced and independent mind.kudoscc: Ben saanane

Ndugu hawa vijana wa Bavicha wamenisikitisha sana, kwa muda mrefu wameharibu Image ambayo kina Zitto, Slaa, Mnyika, Mbowe etc wamejaribu kuijenga kuhusu chama chao.
 
Sasa waraka ulioandikwa na Mkumbo Zitto anaingiaje?unamhukumu vipi zitto kwa makosa ya Mkumbo?umeshawahi kwenda mahakamani?unafahamu maana ya evidence?unadiriki kusema kwa dhati kuwa Evidence ya ushiriki wa zitoo ni waraka ambao umeandikwa na Mkumbo?

nimekuomba evidence za Zitto unaleta hadithi za Sonza na Mwambapa whatever?can we stick to Zitto?maana naamini ndiye anayehukumiwa kwa makosa ninayoyaita hearsay.kufukuzwa afukuzwe Sonza, hukumu apewe zitto,kweli?hata kama walikuwa washirika, unaweza kuleta ushahidi usio na mshaka juu ya hilo?tafadhali usilete hadithi za yule mganga njaa ben.

Hivi wewe Unakubali kuaminishwa kuwa ZItto hasiriki shughuli za CHAMA?unaamini kabisa kuwa mwenyekiti wa PAC sio kuiwakilisha CHADEMA?au wewe shughuli za CHAMA ni kuandamana kutwa kucha?kwa sisi wenye mtazamo tofauti tunaamini CHADEMA ni chama cha upinzani,kushiriki shughuli za CHAMA kwa mbunge wa upinzani ni pamoja na kufanya yale ambayo mbunge wa upinzani anatakiwa kuyafanya.na kwa hilo Zitto ana A+,usilete hadithi za kina Dr.Slaa,yule sio mbunge, harakati ndio kazi yake, ni mtendaji mkuu wa chama,Lema naamini hana uwezo wa kusimamia Hoja au hata kuongoza Kamati ya Bunge kwa kiwango cha Mtu kama Slaa,Mnyika, Lisu, au Zitto.hivyo akishiriki kwenye kuzurula nchi nzima kujenga chama ni sawa.
Sina muda wa kupoteza kuleta picha za Zitto kwenye kampeni zenu za Ubunge, Udiwani kwenye majimbo mengine hilo liko wazi, wewe umewekewa mziki unacheza bila kujua mashairi, na hiyo ndiyo tabu yake.

Sihitaji kujua kinachoendelea ndani kufahamu "what a mess" Chadema is in organizational competence,or how the wrong people keep making the wrong decisions. Unahitaji nielezwe nini kusikia Mbunge wa Chama chenu anateka Laptop ya Mtu ili Kupeleleza Siri zilizomo ndani ya Laptop?Hivi unaelewa ndani ya mioyo ya watu kuna siri ngapi?unaelewa kwenye simu za watu kuna siri ngapi?leo hii hata Allies kina Marekani na Ujerumani wanakosana kwa sababu ya kuwekwa wazi kwa mambo yasiyotakiwa kuwekwa wazi(naamini ndio kosa kuu la Snowden).
Mimi sina Eveidence sijawahi kuwa nazo, wala sijawahi kuziomba, sizihitaji, sijui nani amekuambia kuwa nazihitaji ili kuona upuuzi unaoendelea chadema,press conference na matamko yenu yanatosha,matamko ya Zitto yanatosha, kuonesha kuwa busara kwenye Uongozi wa Chadema na Huyo Zitto mmeshatia mfukoni.

Sasa wewe unaweza vipi kumhukumu mtu kwa kitu ambacho hajakisema?unaelewa kwa nini Marikani Polisi anakuomba unyamaze??kwa kuwa upuuzi wa kuongea bila uhakika unatia watu matatani zaidi ya ukimya.hizo habari za mwigulu ku-conspire na Zitto ni upuuzi una-belong kwenye vijiwe vya kahawa,until proved otherwise,kwa hiyo unaamini Babu seya hakubaka siyo, na ile hukumu ni beef na Mh fulani Siyo.

Sijakuambia nina ufahamu bora,umeuliza swali kwa nini nimesema nje nimekujibu,ulitaka nisikujibu?

Umehoji na kutoa shutuma kabla kwamba mambo anayofanyiwa zito ni uzushi, my friend you have to understand am walking and work through your comments and writings. alway keep in memory whatever you make.
 
unajua anatuhuma 11...je unaweza kuziweka hapa
leo kulikuwa na mgombea aliye pambana na dewji alitaka zitto ajitokeze afafanue alitumwa na nani kumwondoa kugombea akidai ametumwa na chama kitu ambacho kilikuwa ni uongo, afanya hivyo kwa mgombe wetu aliyekuwa anapambana na mkono, pia zitto alisababisha madiwani watano wa arusha kufukuzwa kwani alikuwa akiwahakikishia chama hakitawafanya kitu, tukaingia kwenye uchaguzi watu wanne wakafa na 70 kuachwa na vilema hivyo ukifatilia utagundua ni zitto ndiyo chanzo..sakata la akina juliana, habibu, mwampamba, na wengine wengi nyuma yake yupo Zitto ushahidi upo...

Ukifuatilia utagundua the earth was once flat and the sun was rounding the earth.Some lies live for so long they become reality.
I would not be naive enough to claim words spoken without irrefutable evidence as valid, at least that's what we do in a Democratic and open society. Ofcourse you can force your beliefs on me, and on many others by repeating the same lies over and over again,but that will not make it the truth.

What i do not disaggre is for CHADEMA party leaders throwing under the bus one of their own based on Gut feelings.This is just wrong, naive and irresponsible. Proper leaders do not do that.
 
Everyone knows those 11 allegations are weightless to punish zzk in that much, he dont deserve that..............what goes around comes around
 
Umehoji na kutoa shutuma kabla kwamba mambo anayofanyiwa zito ni uzushi, my friend you have to understand am walking and work through your comments and writings. alway keep in memory whatever you make.

Your underdstanding of context really is bad.

it is quite obvious kusema alichofanya Mkumbo kimefanywa na Zitto ni Uzushi.what part of comprehension is not clear in this particular context?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom