Makamanda, ukamanda wetu ndio huu juu ya Zitto?

Status
Not open for further replies.

mayange

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
701
Reaction score
198
ndugu zangu, ninapoongea hivi mi ni mwanachama wa chadema halisi kabisa. Naipenda chadema na ninamatumaini tutashinda hili jalibu linalotukabili. Tukumbuke sakata hili la zitto, kitila na mwigamba tunaendelea kulishambikia tu kama ushabiki wa simba na yanga, ila litatugarimu sana haukuwa mda mwafaka kwa matatizo kama haya ili hali 2015 ni kesho kutwa.

Ndugu zangu nikweli kwamba zitto tunavyoonyesha kuwa ni msaliti kupindukia ni sababu ya ule waraka wa mabadiliko 2013 tu? Au wengi wetu mmesoma ule waraka wa siri zitto kabwe toka 2008 ambao chama kiliukanusha kuwa ni waraka wa uongo ndio mnamhukumu nao?

wengi tumekuwa tikimshambilia zzk kuwa ni msalti anatumika na ccm kuua chama, ila kwenye yale makosa 11 mbona hakuna waliponyesha kuwa zitto kapokea pesa kutoka ccm au katumika na ccm?

Cha kushangaza hata tundu lisu alipokuwa anahutubia juzi huko iramba hakusema kama watu hawa niwasaliti kuwa wanatumika na ccm bali kajikita kwenye hoja ya kutokuwa na nidhamu ndani ya chama kwa kutengeneza mtandao ndani ya chama jambo ambalo nisahihi kabisa.

Tumetoka katika nguvu ya kushambulia serikali ya ccm mfano katika mauaji na udhalilishaji wa raia kupitia oparesheni tokomeza, ambapo tungewapata wengi wa kuungana nasi wa kutoka vyama vingine sasa tumebakia ni kushambuliana sisi kwa sisi je huu ndio ukamanda?

kwanini wakina zzk tusiwahukumu kwa utovu wa nidham kuliko kusema wamesaliti kwa kupokea pesa kutoka ccm jambo ambalo hatulijui wala uhakika nalo?
Nikweli zitto amekuwa mbaya kwa huo waraka ambao kwanza hata walio uandaa wasema hahusiki? Hata kama kahusika ndo kawa mbaya kuliko hao wauwaji wa raia? Tujikite kutafuta mafanikio ya chama na sio kurushiana maneno sis kwa sisi. Mods usiunganishe tafadhali.
 
Mwambie slaa ampigie magoti zitto vinginevyo atajuta kumjua zitto.
 
Kwanini wakina zzk tusiwahukumu kwa utovu wa nidham kuliko kusema wamesaliti kwa kupokea pesa kutoka ccm jambo ambalo hatulijui wala uhakika nalo?

Utovu wa nidham ulikipindukia unaweza kuwa usaliti, na hivyo kama mtoto amevuka mipaka katika utovu wa nidham

bilashaka anaweza kuteketeza familia ili apate urithi/mali za kustarehe na kununulia madawa ya kulevya. Mtoto wa aina

hii tiba nzuri nikumexpel completely kabla hajasababisha majanga katika chama/familia-Majuto siku zote ni mjukuu
 
Mwambie slaa ampigie magoti zitto vinginevyo atajuta kumjua zitto.

Ili iweje? Anampigia magoti kwa faida yake binafsi kama Dr Slaa? Chama na ukombozi wa watanzania

Au kama nani na ilikufaidisha nani?
 
Utovu wa nidham ulikipindukia unaweza kuwa usaliti, na hivyo kama mtoto amevuka mipaka katika utovu wa nidham

bilashaka anaweza kuteketeza familia ili apate urithi/mali za kustarehe na kununulia madawa ya kulevya. Mtoto wa aina

hii tiba nzuri nikumexpel completely kabla hajasababisha majanga katika chama/familia-Majuto siku zote ni mjukuu

kwa maneno kama haya yanafanana kabisa na mgogoro ulivyo na sio tu kusema kapokea pesa au kutumika na ccm. Ila mkuu tusingejikita katika kutoa ushauri katika kutatua tatizo kuliko kurusha maneno ya chuki? Kwa hali hii 2015 tutafika salama?
 
Mkuu si kwamba ushauri wako mbaya la. Isipokuwa unashauri mgonjwa wa kansa atibiwe kwa panadol wakati mguu usha oza.

-Akina shonza, mwampamba na wenzao walifukuzwa CDM nyuma ya pazia papa alikuwa ZZK

-Mwigamba, mkumbo, Mara na sehem zingine migogoro nk nyuma ya pazia papa ni ZZK

-Ushirikiano na viongozi wengine wa kitaifa unalega kwa ratiba mbili tofauti, siku zote ZZK anafanya kivyake

-Pamoja na kuandikiwa na kutakiwa kujitetea amekuwa kiherehere majukwaani kama cdm ni yake na si wanachama

-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....

-Bungeni, cdm kama chama, kimkakati walikubaliana kutoka, ZZK akauchuna.....

-CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele kumtetea zzk...kunanini nyuma ya pazia???

Shutuma na makosa ni mengi, kama shonza na wenzake walifukuzwa kwa utovu wa nidham, zzk akabaki, nabado ameendelea kutengeneza migogoro kupitia siasa za makundi, hitimisho lenyetija ilikuondokana na migogoro ya kila siku ambayo mwisho wake ni cdm kupasuka yaipasa chadema kumvua uanachama na kumfukuza ZZK bila kusita.
 
Angeshauriwa zitto ajikite kutafuta muafaka kama Dr.kitila siyo kuwashambulia viongozi wake kwa mabango ktk mikutano
 
Ile ni kansa iliokomaa, anakiburi na kuona yeye ndiye cdm na hakuna mwingine kama yeye.

Huyu ni samaki aliyekauka hakunjiki aslani vinginevo atavunjika, hawezi kutulia wala kuweka nidham
 
Ukitaka kumjua Zitto vizuri angalia reaction ya vyombo vya habari vya CCM, vinamremba sana mtu wao Zitto na kuwaponda sana wengine wote! Kwa ujumla CCM hawamwoni Zitto kuwa ni threat kwao kwa kuwa ni miongoni mwao!
 
Zitto hana tofauti na makamu wa raisi wa sudan Kusini aliyefukuzwa....

Zitto anatumia nguvu nyingi sana hadi true enemies wa CDM kutaka Madaraka kwa gharama yeyote ile

Zitto ameamua kupambana na CDM hadharani na kutafuta umaarufu wake binafsi, yeye kwake chama si lolote japo anadai ana damu yake huko, je waliokifia wasemeje/ tuliopoteza watoto na ndoa tusemeje?

Zitto anajiona mwenye busara machoni pake mwenyewe, kwamba kwa aliyoitendea Chadema yeye ana haki kuliko mwanachama mwingine yeyote yule, hii pia inakatisha tamaa wanachama wengine wenye moyo wa kujitolea kujenga chama.
Zitto ndio huyo anaetajwa kushirikiana na akina Nchimbi na Mwigulu kutaka kuiangamiza CDM (rejea sakata la hackings ya e mail za Nchimbi &Nchemba na kuripoti polisi kwa Ben)

ningemshauri Zitto aanzishe chama chake kwa sababu ana kundi kubwa nyuma yake litakalo muunga mkono.... na kamwe hatutaacha CDM ife tukiwa hai.....
 
Je! Kunaotovu wa nifhamu zaidi ya huu Mbowe kafanya na mbunge wa viti mahalum? Mbona hatuja mihukimu?
Wazee wamechoka na siasa badala yake wamekalia starehe, tumbo...
 
Chanzo cha utovu wa nidhamu wa mbowe ni wale wale wanamtandao eti Mwigulu Hahaaa!ZZK anaendelea kutumikia Jambo leo na uhuru hivyo salio halijaisha.Atueleze mikutano anayofanya inagharimiwa na CDM au mfuko wa jimbo?
 
Utovu wa nidham ulikipindukia unaweza kuwa usaliti, na hivyo kama mtoto amevuka mipaka katika utovu wa nidham

bilashaka anaweza kuteketeza familia ili apate urithi/mali za kustarehe na kununulia madawa ya kulevya. Mtoto wa aina

hii tiba nzuri nikumexpel completely kabla hajasababisha majanga katika chama/familia-Majuto siku zote ni mjukuu
Kosa la zitto ni lipi kama kweli unatumia akili kufikiri.
 
Ili iweje? Anampigia magoti kwa faida yake binafsi kama Dr Slaa? Chama na ukombozi wa watanzania

Au kama nani na ilikufaidisha nani?
Slaa kamkosea sana zitto kwanza slaa ni mchanga wa kisiasa ukilinganisha na zitto ndiyo maana anafanya siasa za vurugu na kufukuzana ndiyo ndiyo kaikuza chadema halafu iweje wamkosee adabu kiasi hicho.
 
Kosa la zitto ni lipi kama kweli unatumia akili kufikiri.

Mkuu si kwamba ushauri wako mbaya la. Isipokuwa unashauri mgonjwa wa kansa atibiwe kwa panadol wakati mguu usha oza.

-Akina shonza, mwampamba na wenzao walifukuzwa CDM nyuma ya pazia papa alikuwa ZZK

-Mwigamba, mkumbo, Mara na sehem zingine migogoro nk nyuma ya pazia papa ni ZZK

-Ushirikiano na viongozi wengine wa kitaifa unalega kwa ratiba mbili tofauti, siku zote ZZK anafanya kivyake

-Pamoja na kuandikiwa na kutakiwa kujitetea amekuwa kiherehere majukwaani kama cdm ni yake na si wanachama

-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....

-Bungeni, cdm kama chama, kimkakati walikubaliana kutoka, ZZK akauchuna.....

-CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele kumtetea zzk...kunanini nyuma ya pazia???

Shutuma na makosa ni mengi, kama shonza na wenzake walifukuzwa kwa utovu wa nidham, zzk akabaki, nabado ameendelea kutengeneza migogoro kupitia siasa za makundi, hitimisho lenyetija ilikuondokana na migogoro ya kila siku ambayo mwisho wake ni cdm kupasuka yaipasa chadema kumvua uanachama na kumfukuza ZZK bila kusita.
 
Mkuu si kwamba ushauri wako mbaya la. Isipokuwa unashauri mgonjwa wa kansa atibiwe kwa panadol wakati mguu usha oza.

-Akina shonza, mwampamba na wenzao walifukuzwa CDM nyuma ya pazia papa alikuwa ZZK

-Mwigamba, mkumbo, Mara na sehem zingine migogoro nk nyuma ya pazia papa ni ZZK

-Ushirikiano na viongozi wengine wa kitaifa unalega kwa ratiba mbili tofauti, siku zote ZZK anafanya kivyake

-Pamoja na kuandikiwa na kutakiwa kujitetea amekuwa kiherehere majukwaani kama cdm ni yake na si wanachama

-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....

-Bungeni, cdm kama chama, kimkakati walikubaliana kutoka, ZZK akauchuna.....

-CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele kumtetea zzk...kunanini nyuma ya pazia???

Shutuma na makosa ni mengi, kama shonza na wenzake walifukuzwa kwa utovu wa nidham, zzk akabaki, nabado ameendelea kutengeneza migogoro kupitia siasa za makundi, hitimisho lenyetija ilikuondokana na migogoro ya kila siku ambayo mwisho wake ni cdm kupasuka yaipasa chadema kumvua uanachama na kumfukuza ZZK bila kusita.

Ashakuelewa huyo
 
Slaa kamkosea sana zitto kwanza slaa ni mchanga wa kisiasa ukilinganisha na zitto ndiyo maana anafanya siasa za vurugu na kufukuzana ndiyo ndiyo kaikuza chadema halafu iweje wamkosee adabu kiasi hicho.

Unaweza kufafanua Zito ameikuza vipi chadema?

Huko kigoma anakotoka kakisaidiaje chama kukua? kivipi?

Aliyekosa adabu ni Zito Z kabwe tena amewakosea sana watanzania na ikibidi alipaswa kuwaomba radhi watanzania kisha kwa hiari yake akaomba afungwe jiwe shingoni na kutoswa baharini.

1. Elimu ya watanzia wa maisha ya kawaida ipo mahututi

2. Afya za watanzia wa maisha ya kawaida zipo mahututi

3. mfumko wa bei upo juu na maisha ni ghali sana

4. Ufisadi umetamalaki kiasi kwamba tunaibia kila kitu

5.

6.

7.

Watanzania wanajaribu kwa kila njia kuibana serikali ya ccm ambayo inaeleweka wazi imeoza kwasababu

1. Kuna magamba na ccm wameshindwa kuyavuwa yamekwama viunoni

2. kuna mafisadi wanaofahamika kwa majina wanaifisadi nchi na uchimi wetu, maskini tunataabika

3. Kuna mizigo, wamejaribu kuipunguza lakini mizigo mikubwa kilasiku hewani mithili ya binadampopo

4. Kuna wauwaji na watesaji ambao kila uchao wanazuka na jipya, mara video, mara mabom nk

Kinachosikitisha na kuudhi ZITO anashirikiana na makundi hayo hapo juu kuhujum jitihada za watanzania

kujikombowa kwa kuzusha migogoro isiyoisha akitaraji kuuwa upinzani kwa manufaa ya ccm, Mafisadi, mizigo

na wauwaji wabaki madarakani. Hakika ZITO Kabwe hafai na anawakosea watanzania sana
 
tatizo langu na hawa CHADEMA mtandaoni ndio hili,hivi ni punguani gani atakubaliana na huu upuuzi kuwa Zitto is not against CCM and its policies?hivi ni mjinga gani atakayetofautisha harakati za kina Zitto Kabwe mid to late 2000s na kukuwa kwa Chadema kama household name kwenye Siasa za Tanzania?the same way Dr.Slaa became a household name with his Ufisadi rhetoric is the same way Zitto is know for being against CCM since the Dowans day.

Leo hii unauliza maswali ambayo yako Obvious unategemea kila mtu akubaliane na upuuzi huu?Tatizo la Chadema sio Zitto as Zitto,tatizo la Chadema ni kubwa zaidi,kitendo cha kukaa chini na Kumchunguza Naibu katibu kuu eti amekosa uzalendo kwa chama,eti anatumika ni tatizo kubwa sana kwa Chadema, it speaks of a party with NO confidence in itself,kama mlimchagua wenyewe si msubiri uchaguzi mumuondoe?kelele za nini?tumechoshwa na hizi personal Vendetta zisizo na kichwa wala miguu.

Leo hii mtu anasimama na kudai Zitto ni msaliti kwa sababu anataka kuwa mwenyekiti,Zitto ni msaliti kwa kuwa hakubaliani na mwenyekiti,sasa mlitaka aseme ndiyo kwa kila jambo?mbona huko CCM it's an open Secret kuwa Ben Mkapa na Kikwete hawakuwahi kuwa buddies na walikabidhiana nchi?mbona Mchonga aliwaita kina malecela wahuni hakuna aliyemuita msaliti?mbona huyu kikwete alishawahi kuambiwa hafai kuongoza nchi na leo hii ndio anapelekewa matatizo Ikulu ayatatue.

I keep repeating this,and heacd honchos wa Chadema ought to take notice, Populism is not a way forward for Chadema, its nice to have loud mouths like Lema etc to mobilize people, but having them as decision makers is a huge stupid mistake. Politics is a game way too serious to be taken lightly.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom