Makamanda, ukamanda wetu ndio huu juu ya Zitto?

Makamanda, ukamanda wetu ndio huu juu ya Zitto?

Status
Not open for further replies.
Mkuu Kimweri, nimeipenda objectivity yako kwenye post hii, I wish viongozi wa Chadema wangeisoma na kuielkewa. Wengi wa wapenzi wa Chadema wanaoshabikia na kushadadia hiki kinachoendelea, kiukweli ni weupe kuweza kuelewa posti kama hii na kitakachofuata utaushuhudia udebe tupu wako kwa jinsi watakavyopiga kelele!.
Merry X-mass
Pasco

am calling a spade a spade today. hawa vijana wa Bavicha wanachosha, It's high time kina Dr.Slaa waje kukemee huu upuuzi unaoendelea.

Feliz Navidad!
Kimweri
 
Yaani katika watu ambao ni objective na sio subjactive ni wewe, watu woote wa chadema wangekuwa kama wewe basi mambo yangeenda poa. Mi nadhani umefikiri mbali kukiko hata baadhi ya viongozi wa chama ambao watu wanawaita makamanda,wakati wanastick kwenye ushabiki fulani badala ya kuangalia mstakabali wa chama na Taifa letu....

Believe me, CC/KK wame cause more damage

chadema imepoteza credibility kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochote
 
I am not as naive as you think, i think 80% of whatever camp supporters are wrong here, listing what Zitto has done wrong is not what i expected a Chadema Cadre to do publicly, at least one who is self aware.Tomorrow, Mbowe will tell you the same about Dr. Slaa, and you will start listing about his shortcomings. All men have shortcomings, history is not written by things men couldnot do, but by what men did.CHADEMA should judge ZItto by what he has Done for CHADEMA, not what CHADEMA as a party wished he had done for them.On a side note what have you done for CHADEMA to merit badmouthing him in these forums?apart from nitpicking what he didn't do right or not your wishes? I don't see Mnyika or Slaa here valiantly discoloring Zitto achievements,rather most of your leaders are sticking to him misbehaving which is of course a general consensus for anyone with a head.One might even wonder, if this was a tactic used to provoke him.

Tell these to your fellow cadres, whatever vapourised nonsense you guys are spreading about Zitto in these forums, you are not gaining any supporters/base, rather you are alerting people to proceed with caution.you have done more harm to chadema public perception in the past month that the damages "Zitto" might have done in 15 years. Now you have given CCM, the clout, the Anmo even the audacity to mock you. it goes without showing how the mighty have fallen when you here nasty CCM politicians giving advice on what Chadema should do.its on the same basis as Putin Lecturing Obama about democracy, not That Putin is any cleaner, it's just the ***-up is so high on US side that, a proper politician like putin will not pass this opportunity.
Since Hotheaded Chadema are so unfocused to look at the big picture they in wholesale take the show of support from CCM as to tell Zitto is one of them, little do they even get a simple saying that goes as " Adui yako muombee njaa", "your enemy is my friend" tactic.
This is why i keep saying, Chadema is lacking in political Strategists, its full of activists who are no good when it comes to moving to the next stage as a proper alternative to CCM.Kama huelewi ninachosema, don't ask further.no good explaining.

Only a fool, a proper fool will take someone's word 100% without processing, do not offend me and blanket me as one of those fools.and you should excuse my language as there is no proper alternative word to describe a FOOL without naming a fool. i don't play words,i say it as it is.again,if you don't get this in relation to your qn,sorry,ask elsewhere.

uliuliza mtazamo wa nje unamaanisha nini, nikakujibu point blank unamaanisha mtu aliye nje ya Tanzania, ulitaka nikujibu nini?tatizo lenu kila anayekataa kukubaliana na nyie mnamuona msaliti, mwenye njaa, mfuasi wa lumumba and all sorts of insults.some of us tulio nje, hatujawahi kupewa hata senti 10 si na CCM wala Chadema, nchi tulizoko hakuna shortcut, we earn every single dime through hardwork,sio kupitia political favours za haop nyumbani. Hence, kwa asilimia kubwa hatuna bias ya hapo nyumbani. Kama ningekuwa Mteuliwa wa Kikwete obvious all is merry on his side.kwa kuzingatia hayo unatakiwa ufahamu watanzania wanaoishi nje ya Nchi wako wa aina nyingi( kuna makada wa chama, kuna wahanga wa system,kuna wasomi/academia/wataalamu) niko kwenye kundi la mwisho. CHADEMA, CCM hainihusu zaidi ya kuwa vyama vinavyoshikilia hatma ya nchi yangu kwa njia moja au nyengine. Kama huelewi, au unaamini watanzania wote walioko sehemu fulani,kikundi fulani lazima wawe na msimamo mmoja, then you are what is wrong with everything.

With all what you have presented above do you believe the questions below have been answered? You pretend to be

intellectual, actual not the case. Please provide the recommended information and not the other way around.

1. Nataka kukuuliza, posti na mabango kwamfano hapa jf, niaslimia ngapi yanabeba hoja za kweli? (Genuine threads with reliability of at least 90% truth) kukufanya wewe kuamini yatokanayo bila kuwa na mashaka?

2. Nataka pia bila kubahatisha kama utafanya research ndogo hapahapa jf niwachangiaji asilimia ngapi ambao wanachangia hoja za msingi kwa kuweka na kujadili ukweli? Ambao unakufanya wewe unafuatilia kupitia forum kuamini unavyoamini.

3. Je unaamini kwamba wote walio nje ya nchi wanamtazamo kama wako? can you tell the probability of this please at what confidence limit.

Ukinijbu haya tutaendelea na mengine tafadhali tuendelee.
 
ZZK alitulizwa kwa kujazwa pesa na MACCM kipindikile cha Buzwagi, akanyamaza kimya. alichobakiza ni brabra tu
 
Your underdstanding of context really is bad.

it is quite obvious kusema alichofanya Mkumbo kimefanywa na Zitto ni Uzushi.what part of comprehension is not clear in this particular context?

If that is the case, verify the case is not valid, go through as shown/given below and provide the facts as it will be required

Mambo ya chama yanajadiliwa kwa mujibu wa katiba, taratibu na kanuni za chama.

1. shutuma na matatizo ya zito yalijadiliwa kichama kupitia wajumbe stahili.
Je katika kufanya maamuzi ya kumsimamisha zito nyazifa zake ilikuweka mambo sawa.

a) Kulikuwa na wajumbe wangapi ndani ya kikao kwa ujumla? unafaham?

b) Ni wajumbe wangapi waliunga mkono hoja ya zito kusimamishwa? (asilimia ngapi?)

c) Niwajumbe wangapi walipinga hoja ya zito kusimamishwa? (asilimia ngapi)

d) ulikuwepo ndani ya kikao ilitufahamu kwamba wewe wa nje unayafahamu ya ndani -yaani katika maamuzi ndani
wajumbe walifuata taratibu? kama hapana fafanua.
 
ZZK alitulizwa kwa kujazwa pesa na MACCM kipindikile cha Buzwagi, akanyamaza kimya. alichobakiza ni brabra tu
 
With all what you have presented above do you believe the questions below have been answered? You pretend to be

intellectual, actual not the case. Please provide the recommended information and not the other way around.

You and the likes are a hopeless cause, i will not be dragged onto your useless cahoots.
 
You and the likes are a hopeless cause, i will not be dragged onto your useless cahoots.

I new exactly the foolishness as haven described several times in your posts in one way or another you could be

inclusive
. The fact is you have failed to provide valid information as to justify ZZK is being discriminated and not treated fairly.

The man who lives abroad with all your intelligence please your contribution is highly recommended so that we

fools can find out the truth
..................!!!!!

1. Nataka kukuuliza, posti na mabango kwamfano hapa jf, niaslimia ngapi yanabeba hoja za kweli? (Genuine threads with reliability of at least 90% truth) kukufanya wewe kuamini yatokanayo bila kuwa na mashaka?

2. Nataka pia bila kubahatisha kama utafanya research ndogo hapahapa jf niwachangiaji asilimia ngapi ambao wanachangia hoja za msingi kwa kuweka na kujadili ukweli? Ambao unakufanya wewe unafuatilia kupitia forum kuamini unavyoamini.

3. Je unaamini kwamba wote walio nje ya nchi wanamtazamo kama wako? can you tell the probability of this please at what confidence limit.

Ukinijbu haya tutaendelea na mengine tafadhali tuendelee.

Mambo ya chama yanajadiliwa kwa mujibu wa katiba, taratibu na kanuni za chama.

1. shutuma na matatizo ya zito yalijadiliwa kichama kupitia wajumbe stahili.
Je katika kufanya maamuzi ya kumsimamisha zito nyazifa zake ilikuweka mambo sawa.

a) Kulikuwa na wajumbe wangapi ndani ya kikao kwa ujumla? unafaham?

b) Ni wajumbe wangapi waliunga mkono hoja ya zito kusimamishwa? (asilimia ngapi?)

c) Niwajumbe wangapi walipinga hoja ya zito kusimamishwa? (asilimia ngapi)

d) ulikuwepo ndani ya kikao ilitufahamu kwamba wewe wa nje unayafahamu ya ndani -yaani katika maamuzi ndani
wajumbe walifuata taratibu? kama hapana fafanua.

1. Nikweli mkumbo na mwigamba waliandaa waraka au hapana? kama hapana fafanuwa maana wahusika walikubali kuhusika.

2. Shonza, mwampamba na wengine walifukuzwa cdm au hapana? kama ndiyo tueleze sababu kuu (root cause)

3. Je nikweli Zito anashiriki shughuli zote za kichama na harakati na viongozi wengine wakuu au amekuwa akifanya kivyake? kama siyo eleza vema na kwa mifano.

4. Unatazama kinachoendelea kwa nje, yes je kinachoendelea kwandani unakifahamu? kwa evidence zipi?

5. Siku mwigulu anainnga chadema star tv, zito alikuwepo, niliangalia kipindi chote, kwanini alikaa kimya kabisa bila kuhoji hata kidogo maana ilikuwa tuhuma bado kuthibitishwa na mahakama.

Je hayo ni uzushi fafanua na kanusha kwa evidence please, kukaa nje ya nchi haimaanishi unaufahamu bora.
 
Mkuu si kwamba ushauri wako mbaya la. Isipokuwa unashauri mgonjwa wa kansa atibiwe kwa panadol wakati mguu usha oza.

-Akina shonza, mwampamba na wenzao walifukuzwa CDM nyuma ya pazia papa alikuwa ZZK

-Mwigamba, mkumbo, Mara na sehem zingine migogoro nk nyuma ya pazia papa ni ZZK

-Ushirikiano na viongozi wengine wa kitaifa unalega kwa ratiba mbili tofauti, siku zote ZZK anafanya kivyake

-Pamoja na kuandikiwa na kutakiwa kujitetea amekuwa kiherehere majukwaani kama cdm ni yake na si wanachama

-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....

-Bungeni, cdm kama chama, kimkakati walikubaliana kutoka, ZZK akauchuna.....

-CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele kumtetea zzk...kunanini nyuma ya pazia???

Shutuma na makosa ni mengi, kama shonza na wenzake walifukuzwa kwa utovu wa nidham, zzk akabaki, nabado ameendelea kutengeneza migogoro kupitia siasa za makundi, hitimisho lenyetija ilikuondokana na migogoro ya kila siku ambayo mwisho wake ni cdm kupasuka yaipasa chadema kumvua uanachama na kumfukuza ZZK bila kusita.
khaa!! Pointless.mwisho wa ubaya ni aibu
 
Mkuu Kimweri I salute you in the name of Allah! Kwa hakika umenifurahisha sana na hicho ndicho vijana wengi wanamiss! They're just followers not thinkers! Hawa jamaa ni wajinga sana and they always make silly arguments!

JF members have a long way to go! Yaani all our analysis are not researched basis rather than just gestures!

Shule muhimu sana! Enjoy bro huko uliko
 
Kimweri kwa hakika wee umesoma na umeelimika kabisa! Kuna tofauti kubwa sana juu ya mawazo yako na hawa vijana wahemukaji mamluki wa CDM!

Wengi wao wana kosa shule kabisa!
 
Angeshauriwa zitto ajikite kutafuta muafaka kama Dr.kitila siyo kuwashambulia viongozi wake kwa mabango ktk mikutano
Nakuomba Utumie Google yako unitafutie bango moja lililoonekana kwenye Mikutano ya Zitto linalowashambuliwa viongozi wa CHADEMA. My Appreciation in Advance
 
Kimweri kwa hakika wee umesoma na umeelimika kabisa! Kuna tofauti kubwa sana juu ya mawazo yako na hawa vijana wahemukaji mamluki wa CDM!

Wengi wao wana kosa shule kabisa!

Mwenda shule umejenga hojagani kwenye hii post yako?
 
Mkuu Kimweri I salute you in the name of Allah! Kwa hakika umenifurahisha sana na hicho ndicho vijana wengi wanamiss! They're just followers not thinkers! Hawa jamaa ni wajinga sana and they always make silly arguments!

JF members have a long way to go! Yaani all our analysis are not researched basis rather than just gestures!

Shule muhimu sana! Enjoy bro huko uliko

wewe na akila zako unatushawishi vipi kama zito anaonewa?

Mambo ya chama yanajadiliwa kwa mujibu wa katiba, taratibu na kanuni za chama.

1. shutuma na matatizo ya zito yalijadiliwa kichama kupitia wajumbe stahili.
Je katika kufanya maamuzi ya kumsimamisha zito nyazifa zake ilikuweka mambo sawa.

a) Kulikuwa na wajumbe wangapi ndani ya kikao kwa ujumla? unafaham?

b) Ni wajumbe wangapi waliunga mkono hoja ya zito kusimamishwa? (asilimia ngapi?)

c) Niwajumbe wangapi walipinga hoja ya zito kusimamishwa? (asilimia ngapi)

d) ulikuwepo ndani ya kikao ilitufahamu kwamba wewe wa nje unayafahamu ya ndani -yaani katika maamuzi ndani
wajumbe walifuata taratibu? kama hapana fafanua.
 
Zitto hana tofauti na makamu wa raisi wa sudan Kusini aliyefukuzwa....

Zitto anatumia nguvu nyingi sana hadi true enemies wa CDM kutaka Madaraka kwa gharama yeyote ile

Zitto ameamua kupambana na CDM hadharani na kutafuta umaarufu wake binafsi, yeye kwake chama si lolote japo anadai ana damu yake huko, je waliokifia wasemeje/ tuliopoteza watoto na ndoa tusemeje?

Zitto anajiona mwenye busara machoni pake mwenyewe, kwamba kwa aliyoitendea Chadema yeye ana haki kuliko mwanachama mwingine yeyote yule, hii pia inakatisha tamaa wanachama wengine wenye moyo wa kujitolea kujenga chama.
Zitto ndio huyo anaetajwa kushirikiana na akina Nchimbi na Mwigulu kutaka kuiangamiza CDM (rejea sakata la hackings ya e mail za Nchimbi &Nchemba na kuripoti polisi kwa Ben)

ningemshauri Zitto aanzishe chama chake kwa sababu ana kundi kubwa nyuma yake litakalo muunga mkono.... na kamwe hatutaacha CDM ife tukiwa hai.....

Nakubaliana na wewe kwa asilimia miamoja. Huyu mtu anayeitwa Zitto si tu anatamaa ya uongozi bali ni mtu hatari sana kwa mstakabari wa Chama na taifa lote. Zitto anajifanya yeye yupo juu ya Katiba ya chama kisa kwa sababu yeye amejiunga na chama akiwa na umri wa miaka 16. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi hata kwa ngazi ya uongozi wa mtaa hafai kabisa ni hatari sana, anajifanya Mungu mtu, yeye mwenye akili sana, mjuaji sana bila kusahau anaimotional za utoto bado hajakomaa na hana hekima kabisa ya kuongozi. Ni kuku mwenye kunywa mayai yake.
 
Utovu wa nidham ulikipindukia unaweza kuwa usaliti, na hivyo kama mtoto amevuka mipaka katika utovu wa nidham

bilashaka anaweza kuteketeza familia ili apate urithi/mali za kustarehe na kununulia madawa ya kulevya. Mtoto wa aina

hii tiba nzuri nikumexpel completely kabla hajasababisha majanga katika chama/familia-Majuto siku zote ni mjukuu

Unaweza kuthibitisha lau kwa kutaja hoja 3 tatu kuthibitisha utovu wa nidham wa zzk au usaliti wake?
 
Unaweza kuthibitisha lau kwa kutaja hoja 3 tatu kuthibitisha utovu wa nidham wa zzk au usaliti wake?

Utovu wa nidhamu na mambo mengine kuhusu zito ulijadiliwa huku...........nahawa ndiyo wenye haki hiyo kikatiba.

Mambo ya chama yanajadiliwa kwa mujibu wa katiba, taratibu na kanuni za chama.

Mambo ya chama yanajadiliwa kwa mujibu wa katiba, taratibu na kanuni za chama.

1. shutuma na matatizo ya zito yalijadiliwa kichama kupitia wajumbe stahili.
Je katika kufanya maamuzi ya kumsimamisha zito nyazifa zake ilikuweka mambo sawa.

a) Kulikuwa na wajumbe wangapi ndani ya kikao kwa ujumla? unafaham?

b) Ni wajumbe wangapi waliunga mkono hoja ya zito kusimamishwa? (asilimia ngapi?)

c) Niwajumbe wangapi walipinga hoja ya zito kusimamishwa? (asilimia ngapi)

d) ulikuwepo ndani ya kikao ilitufahamu kwamba wewe wa nje unayafahamu ya ndani -yaani katika maamuzi ndani
wajumbe walifuata taratibu? kama hapana fafanua.
 
Kwnn kila anaepngana na mfumo uliopo anaonekana msalt? Hv nkwel cdm niwasafi kias hk ambacho ukpngana nahoja zao unaonekana mjinga????
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia miamoja. Huyu mtu anayeitwa Zitto si tu anatamaa ya uongozi bali ni mtu hatari sana kwa mstakabari wa Chama na taifa lote. Zitto anajifanya yeye yupo juu ya Katiba ya chama kisa kwa sababu yeye amejiunga na chama akiwa na umri wa miaka 16. Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi hata kwa ngazi ya uongozi wa mtaa hafai kabisa ni hatari sana, anajifanya Mungu mtu, yeye mwenye akili sana, mjuaji sana bila kusahau anaimotional za utoto bado hajakomaa na hana hekima kabisa ya kuongozi. Ni kuku mwenye kunywa mayai yake.

hivi kwa hoja hz we n mwana cdm au kuwadi tu. maana unapo sema zzk hafai kuongoza hata mtaa ilhali amekuwa naibu katibu mkuu wa cdm zaidi ya miaka mitano. ina maana ulikuuwa ukiongozwa na -----?
 
Watakuja na sifa za kila aina,lakini ameshapoteza sifa za kuaminiwa.ni msaliti tu na makamanda tunamuona kama shetani! haiwezekani kamanda wa kweli ashabikiwe na maccm kuliko hata wafuasi wa chama chake! ahamie tu ccm kwani cdm hatutaki wanafiki na wasaliti.

Who are makamanda by the way!? Yan hakuna mnachokfanya zaid ya fitina afu unabeba bango kujiita kamanda!! Hahaha funny story, fanyen vionekane, afadhal mafisad wa ccm at least hata barabara kuu znaonekana? Kuliko hao wanaotaka ku2sababishia uvunjfu wa aman kwny nch ye2 kama mnapenda vurugu c mhamie somalia?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom