Makamanda, ukamanda wetu ndio huu juu ya Zitto?

Status
Not open for further replies.
Sikiliza nikuweleze mimi nimfwasi wacdm hakunakiongozi yoyote anaeweza kumzuiya mfwasi kuwasilisha kile anachoona na bango ndio sauti lake kuhusu swala lakina shonza halikuwa na mazara kuusu waraka mm namini kila mtu anamtandao wake uwezi kuwamka asubui ukatangaza kesho nitagombeya uongozi nni mkakati uliondaliwa sikunyingi si kukurupuka tu na leo ikatokea kumfukuza zito bado ndani ya kambi ya hao mnaowaona kuwa viongozi jasiri ndani yake kutatokea watu na watakuwa na mawazo tofauti na viongozi tu kikubwa ni kusamehe nakutowa tofauti zilizopo za viongozi
 
Mkuu mayange , mwanzoni hata mimi nilikuwa napata shida sana ndani ya akili yangu huku nikiwa sielewi vizuri msingi wa tatizo.Nilitumia muda mrefu kidogo kutafiti na sasa bila chembe ya shaka, nina uhakika kwamba kuna mkakati kabambe wa kumuangamiza Zitto kisiasa ambao umekuwa ukiratibiwa na watu fulani kwa kipindi kirefu kidogo.Kinachosikitisha ni kwamba waratibu wa mpango huo wanaonekana wana option mbili tu"afe baba au afe mama". Kwa kweli inasikitisha sana. Yaani inavyoonekana wako tayari hata chama kisambaratike ila tu wahakikishe wamemvuruga zitto. Baadhi ya washabiki wa jambo hili wanachokiona na wanachoshabikia ni kiini macho tu.Ipo siku suala lenyewe litajidhihirisha vizuuri mbele ya watu wote.Tujipe muda.Tatizo si washabiki sana, tatizo ni yule alietengeneza mgogoro.
 
Last edited by a moderator:
tatizo langu na hawa CHADEMA mtandaoni ndio hili,hivi ni punguani gani atakubaliana na huu upuuzi kuwa Zitto is not against CCM and its policies?hivi ni mjinga gani atakayetofautisha harakati za kina Zitto Kabwe mid to late 2000s na kukuwa kwa Chadema kama household name kwenye Siasa za Tanzania?the same way Dr.Slaa became a household name with his Ufisadi rhetoric is the same way Zitto is know for being against CCM since the Dowans day.

Leo hii unauliza maswali ambayo yako Obvious unategemea kila mtu akubaliane na upuuzi huu?Tatizo la Chadema sio Zitto as Zitto,tatizo la Chadema ni kubwa zaidi,kitendo cha kukaa chini na Kumchunguza Naibu katibu kuu eti amekosa uzalendo kwa chama,eti anatumika ni tatizo kubwa sana kwa Chadema, it speaks of a party with NO confidence in itself,kama mlimchagua wenyewe si msubiri uchaguzi mumuondoe?kelele za nini?tumechoshwa na hizi personal Vendetta zisizo na kichwa wala miguu.

Leo hii mtu anasimama na kudai Zitto ni msaliti kwa sababu anataka kuwa mwenyekiti,Zitto ni msaliti kwa kuwa hakubaliani na mwenyekiti,sasa mlitaka aseme ndiyo kwa kila jambo?mbona huko CCM it's an open Secret kuwa Ben Mkapa na Kikwete hawakuwahi kuwa buddies na walikabidhiana nchi?mbona Mchonga aliwaita kina malecela wahuni hakuna aliyemuita msaliti?mbona huyu kikwete alishawahi kuambiwa hafai kuongoza nchi na leo hii ndio anapelekewa matatizo Ikulu ayatatue.

I keep repeating this,and heacd honchos wa Chadema ought to take notice, Populism is not a way forward for Chadema, its nice to have loud mouths like Lema etc to mobilize people, but having them as decision makers is a huge stupid mistake. Politics is a game way too serious to be taken lightly.

Very short and clear this is what all that I can say with due respect.

Kama hujanielewa hapa, nimatatizo ya mfumo wetu wa elimu ambao wengi wetu uelewa ni sifuri.

Nikatika umeshindwa kuelewa kama unajenga hoja au unajenga hoja ya matusi, hapa you look to be too low my friend.

quote_icon.png
By adolay

Unashauri mgonjwa wa kansa atibiwe kwa panadol wakati mguu usha oza.

-Akina shonza, mwampamba na wenzao walifukuzwa CDM nyuma ya pazia papa alikuwa ZZK

-Mwigamba, mkumbo, Mara na sehem zingine migogoro nk nyuma ya pazia papa ni ZZK

-Ushirikiano na viongozi wengine wa kitaifa unalega kwa ratiba mbili tofauti, siku zote ZZK anafanya kivyake

-Pamoja na kuandikiwa na kutakiwa kujitetea amekuwa kiherehere majukwaani kama cdm ni yake na si wanachama

-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....

-Bungeni, cdm kama chama, kimkakati walikubaliana kutoka, ZZK akauchuna.....

-CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele kumtetea zzk...kunanini nyuma ya pazia???

Shutuma na makosa ni mengi, kama shonza na wenzake walifukuzwa kwa utovu wa nidham, zzk akabaki, nabado ameendelea kutengeneza migogoro kupitia siasa za makundi, hitimisho lenyetija ilikuondokana na migogoro ya kila siku ambayo mwisho wake ni cdm kupasuka yaipasa chadema kumvua uanachama na kumfukuza ZZK bila kusita.

Nadhani hapa nimekupata sawasawa, sasa badala ya kutukana na kupaniki tulizana kisha panga hoja zako.

ZZK nimsaliti na adhabu stahiki kama chadema wanataka kubaki salama nikumfukuza na kumvuwa uanachama.

quote_icon.png
By adolay

Unaweza kufafanua Zito ameikuza vipi chadema?

Huko kigoma anakotoka kakisaidiaje chama kukua? kivipi?

Aliyekosa adabu ni Zito Z kabwe tena amewakosea sana watanzania na ikibidi alipaswa kuwaomba radhi watanzania kisha kwa hiari yake akaomba afungwe jiwe shingoni na kutoswa baharini.

1. Elimu ya watanzia wa maisha ya kawaida ipo mahututi

2. Afya za watanzia wa maisha ya kawaida zipo mahututi

3. mfumko wa bei upo juu na maisha ni ghali sana

4. Ufisadi umetamalaki kiasi kwamba tunaibia kila kitu

5.

6.

7.

Watanzania wanajaribu kwa kila njia kuibana serikali ya ccm ambayo inaeleweka wazi imeoza kwasababu

1. Kuna magamba na ccm wameshindwa kuyavuwa yamekwama viunoni

2. kuna mafisadi wanaofahamika kwa majina wanaifisadi nchi na uchimi wetu, maskini tunataabika

3. Kuna mizigo, wamejaribu kuipunguza lakini mizigo mikubwa kilasiku hewani mithili ya binadampopo

4. Kuna wauwaji na watesaji ambao kila uchao wanazuka na jipya, mara video, mara mabom nk

Kinachosikitisha na kuudhi ZITO anashirikiana na makundi hayo hapo juu kuhujum jitihada za watanzania

kujikombowa kwa kuzusha migogoro isiyoisha akitaraji kuuwa upinzani kwa manufaa ya ccm, Mafisadi, mizigo

na wauwaji wabaki madarakani. Hakika ZITO Kabwe hafai na anawakosea watanzania sana
 
Very short and clear this is what all that I can say with due respect.

Kama hujanielewa hapa, nimatatizo ya mfumo wetu wa elimu ambao wengi wetu uelewa ni sifuri.

Nikatika umeshindwa kuelewa kama unajenga hoja au unajenga hoja ya matusi, hapa you look to be too low my friend.

Nadhani hapa nimekupata sawasawa, sasa badala ya kutukana na kupaniki tulizana kisha panga hoja zako.

ZZK nimsaliti na adhabu stahiki kama chadema wanataka kubaki salama nikumfukuza na kumvuwa uanachama.

Narudia Tena, huu upuuzi wa kumuit akila asiyekubaliana na wewe ni msaliti ni ujinga ambao si kila Mtanzania anauvumilia, Tunapenda CHADEMA yenye nguvu, na Busara, lakini siyo hii isiyo na kichwa wala miguu.

Onesha kwa mifano isiyo na shaka sehemu ambazo huyo unayemuita Msaliti amehujumu watanzania, sisi tunaotazama kwa nje tunavyoona vingi ni juhudi zake PAC na kelele zake bungeni kama mwanasiasa,utofauti wake na matakwa ya mabosi zake, ni personal issues ambazo upunguani wa wafanya maamuzi chadema wanataka kutuaminisha ndio agenda of the day.
 
dady1000

Sikiliza nikuweleze mimi nimfwasi wacdm hakunakiongozi yoyote anaeweza kumzuiya mfwasi kuwasilisha kile anachoona na bango ndio sauti lake

Chama kinaongozwa na katiba, taratibu miiko na kanuni, chochote nje ya utaratibu ni makosa. Democrasia inamipaka yake.

kuhusu swala lakina shonza halikuwa na mazara

Umetumia vigezogani mpaka kufikia hitisho hilo?

kuusu waraka mm namini kila mtu anamtandao wake uwezi kuwamka asubui ukatangaza kesho nitagombeya uongozi nni mkakati uliondaliwa sikunyingi si kukurupuka tu na leo ikatokea kumfukuza zito bado ndani ya kambi ya hao mnaowaona kuwa viongozi jasiri ndani yake kutatokea watu na watakuwa na mawazo tofauti na viongozi tu kikubwa ni kusamehe nakutowa tofauti zilizopo za viongozi

Hatuongozi/ongozwi/kufanyamambo kwa hisia. hapa ndipo penye matatizo, hata mpira wa miguu unasheria 17 kucheza nje ya utaratibu japo upo uwanji na umesajiliwa kihalali kunaweza kukufafanya kupata kadi ya njo, au nyekundu ma pengingine kufungiwa either kwa muda au maisha. Hivyo ZZK alipaswa na wengine wote wanapaswa kufuata na kuzitii sheria na taratibu walizojiwekea.
 
Last edited by a moderator:
Mwampamba aliwahi kusema.....anaeamini kuwa Zitto hamjui Ben saanane aendelee kuamini......ni kipindi kile Zitto alipowaacha wakifukuzwa kwenye chama...
Hawa ndio mashabiki wake wakubwa na wanaomuandalia mikutano.....
"Anaeamini Zitto sio msaliti aendelee"
 
ndugu zangu, ninapoongea hivi mi ni mwanachama wa chadema halisi kabisa. Naipenda chadema na ninamatumaini tutashinda hili jalibu linalotukabili. Tukumbuke sakata hili la zitto, kitila na mwigamba tunaendelea kulishambikia tu kama ushabiki wa simba na yanga, ila litatugarimu sana haukuwa mda mwafaka kwa matatizo kama haya ili hali 2015 ni kesho kutwa.

Ndugu zangu nikweli kwamba zitto tunavyoonyesha kuwa ni msaliti kupindukia ni sababu ya ule waraka wa mabadiliko 2013 tu? Au wengi wetu mmesoma ule waraka wa siri zitto kabwe toka 2008 ambao chama kiliukanusha kuwa ni waraka wa uongo ndio mnamhukumu nao?

wengi tumekuwa tikimshambilia zzk kuwa ni msalti anatumika na ccm kuua chama, ila kwenye yale makosa 11 mbona hakuna waliponyesha kuwa zitto kapokea pesa kutoka ccm au katumika na ccm?

Cha kushangaza hata tundu lisu alipokuwa anahutubia juzi huko iramba hakusema kama watu hawa niwasaliti kuwa wanatumika na ccm bali kajikita kwenye hoja ya kutokuwa na nidhamu ndani ya chama kwa kutengeneza mtandao ndani ya chama jambo ambalo nisahihi kabisa.

Tumetoka katika nguvu ya kushambulia serikali ya ccm mfano katika mauaji na udhalilishaji wa raia kupitia oparesheni tokomeza, ambapo tungewapata wengi wa kuungana nasi wa kutoka vyama vingine sasa tumebakia ni kushambuliana sisi kwa sisi je huu ndio ukamanda?

kwanini wakina zzk tusiwahukumu kwa utovu wa nidham kuliko kusema wamesaliti kwa kupokea pesa kutoka ccm jambo ambalo hatulijui wala uhakika nalo?
Nikweli zitto amekuwa mbaya kwa huo waraka ambao kwanza hata walio uandaa wasema hahusiki? Hata kama kahusika ndo kawa mbaya kuliko hao wauwaji wa raia? Tujikite kutafuta mafanikio ya chama na sio kurushiana maneno sis kwa sisi. Mods usiunganishe tafadhali.

Zitto hapimwi kwa waraka ule peke yake anapimwa kwa dhamira na anachoamini ... dhamira ya Zitto ni kuwa na chama kisicho kuwa na upinzani na serikali kuu bali kushirikiana na serikali kuu kwa utaratibu huu anajua fikia mfaidika atakua yeye km ilivyokua kwa CUF anataka uwepo wa chama uwe symbolic na siyo active kwa jinsi hii CHADEMA kitakuwa kinaratibiwa na Usalama wa taifa kwa ridhaa ya mkuu wake (Zitto) kwa wakati huo

Zitto anaamini kuwa siasa ni umaarufu wa mtu binafsi km ndivyo mbona vyama km Repulican au Democrat au Congress au ANC au conservative je viliishi kwa umaarufu wa watu? Au itikadi zao? KANU au UPC viliundwa kwa dhana anayoiamini Zitto viko wapi leo?

la ajabu maamuzi yalikua ya kamati kuu lakini yanaitwa ya Mbowe na Dr. Slaa huku ni kuamini kwa mtizamo wa Zitto ambaye hajui umaana wa chama zaidi ya umaana wa jina la mtu hii inadhihirika anapoona haja ya kufanya ziara ya binafisi baada ya ile ya kichama .... Zitto anadiriki kuunda kikundi cha watu kuratibu uharibifu wa ziara ya katibu wake wa chama na bado anataka tuamini ndivyo chama kinavyojengwa?

Labda tuwe malimbukeni wa uelewa wa mambo lakini sio kuukumbatia upuuzi huu.
 
Kimweri

Narudia Tena, huu upuuzi wa kumuit akila asiyekubaliana na wewe ni msaliti ni ujinga ambao si kila Mtanzania anauvumilia, Tunapenda CHADEMA yenye nguvu, na Busara, lakini siyo hii isiyo na kichwa wala miguu.

Democrasia ya vyama vingi, maana yake unajumuika na kujiunga na upande chama unachodhani kinaendana na matakwa yako. Ukiona hakikidhi mahitaji yako una option

1. Kuacha siasa kabisa

2. Kuanzisha chama chako ilmradi kukidhi vigezo

3. kujiunga na chama kingine ambacho kwako kinafaa

4. Kuwa mwanaharakati

a) Upuuzi ni upi, kujifungia chumbani na kutengeneza makundi, kwa kanuni zipi?

Je katiba inaruhusu chama ndani ya chama? yaan kinachoonekana na kingene cha siri?

2. Katiba inaruhusu kwamba, kiongozi wa kitaifa wakati wote anajipangia majukum yake bila kushirikiana na wengine?
kwenye harakati mbalimbali?

Onesha kwa mifano isiyo na shaka sehemu ambazo huyo unayemuita Msaliti amehujumu watanzania
,

Hapa chini nimekuorodheshea mambo mengi. ndo sababu nimesema wewe ni very low....huelewi unajadili na kubisha kitugani.
quote_icon.png
By adolay

Unashauri mgonjwa wa kansa atibiwe kwa panadol wakati mguu usha oza.

-Akina shonza, mwampamba na wenzao walifukuzwa CDM nyuma ya pazia papa alikuwa ZZK

-Mwigamba, mkumbo, Mara na sehem zingine migogoro nk nyuma ya pazia papa ni ZZK

-Ushirikiano na viongozi wengine wa kitaifa unalega kwa ratiba mbili tofauti, siku zote ZZK anafanya kivyake

-Pamoja na kuandikiwa na kutakiwa kujitetea amekuwa kiherehere majukwaani kama cdm ni yake na si wanachama

-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....

-Bungeni, cdm kama chama, kimkakati walikubaliana kutoka, ZZK akauchuna.....

-CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele kumtetea zzk...kunanini nyuma ya pazia???

Shutuma na makosa ni mengi, kama shonza na wenzake walifukuzwa kwa utovu wa nidham, zzk akabaki, nabado ameendelea kutengeneza migogoro kupitia siasa za makundi, hitimisho lenyetija ilikuondokana na migogoro ya kila siku ambayo mwisho wake ni cdm kupasuka yaipasa chadema kumvua uanachama na kumfukuza ZZK bila kusita.

sisi tunaotazama kwa nje tunavyoona vingi ni juhudi zake PAC na kelele zake bungeni kama mwanasiasa,utofauti wake na matakwa ya mabosi zake, ni personal issues ambazo upunguani wa wafanya maamuzi chadema wanataka kutuaminisha ndio agenda of the day.

Nyinyi mnao tazama kwa nje unamaanagani wewe na nani ? si kweli mimi nakupinga

Wewe na wenzako wachache watumwa wa mizigo, magamba na mafisadi s vinginevo

Upunguani hauji kwa kuandika kama unavofanya maana katiba sheria na taratibu zinapaswa kuheshimewa.
 
Last edited by a moderator:
Nafunga hui mjadala wa zito....magamba mchukuweni gamba mwenzenu zito chadema hatumraki na dili lenu mpaka sasa limebuma.
Na tufunge h uu mjadala wa gamva zito period!
 
Kimweri

Democrasia ya vyama vingi, maana yake unajumuika na kujiunga na upande chama unachodhani kinaendana na matakwa yako. Ukiona hakikidhi mahitaji yako una option

1. Kuacha siasa kabisa

2. Kuanzisha chama chako ilmradi kukidhi vigezo

3. kujiunga na chama kingine ambacho kwako kinafaa

4. Kuwa mwanaharakati

a) Upuuzi ni upi, kujifungia chumbani na kutengeneza makundi, kwa kanuni zipi?

Je katiba inaruhusu chama ndani ya chama? yaan kinachoonekana na kingene cha siri?

2. Katiba inaruhusu kwamba, kiongozi wa kitaifa wakati wote anajipangia majukum yake bila kushirikiana na wengine?
kwenye harakati mbalimbali?

,

Hapa chini nimekuorodheshea mambo mengi. ndo sababu nimesema wewe ni very low....huelewi unajadili na kubisha kitugani.
quote_icon.png
By adolay

Unashauri mgonjwa wa kansa atibiwe kwa panadol wakati mguu usha oza.

-Akina shonza, mwampamba na wenzao walifukuzwa CDM nyuma ya pazia papa alikuwa ZZK

-Mwigamba, mkumbo, Mara na sehem zingine migogoro nk nyuma ya pazia papa ni ZZK

-Ushirikiano na viongozi wengine wa kitaifa unalega kwa ratiba mbili tofauti, siku zote ZZK anafanya kivyake

-Pamoja na kuandikiwa na kutakiwa kujitetea amekuwa kiherehere majukwaani kama cdm ni yake na si wanachama

-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....

-Bungeni, cdm kama chama, kimkakati walikubaliana kutoka, ZZK akauchuna.....

-CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele kumtetea zzk...kunanini nyuma ya pazia???

Shutuma na makosa ni mengi, kama shonza na wenzake walifukuzwa kwa utovu wa nidham, zzk akabaki, nabado ameendelea kutengeneza migogoro kupitia siasa za makundi, hitimisho lenyetija ilikuondokana na migogoro ya kila siku ambayo mwisho wake ni cdm kupasuka yaipasa chadema kumvua uanachama na kumfukuza ZZK bila kusita.

Nyinyi mnao tazama kwa nje unamaanagani wewe na nani ? si kweli mimi nakupinga

Wewe na wenzako wachache watumwa wa mizigo, magamba na mafisadi s vinginevo

Upunguani hauji kwa kuandika kama unavofanya maana katiba sheria na taratibu zinapaswa kuheshimewa.

Du umeyapa magamba za uso...
 
Duu wewe huna mchezo kabisa na magamba duu ..unajuwa magamba hayataki kuambiwa ukweli ..dah umeyashika pabaya mno hahaha mpaka raha
 
Last edited by a moderator:
ndugu zangu, ninapoongea hivi mi ni mwanachama wa chadema halisi kabisa. Naipenda chadema na ninamatumaini tutashinda hili jalibu linalotukabili. Tukumbuke sakata hili la zitto, kitila na mwigamba tunaendelea kulishambikia tu kama ushabiki wa simba na yanga, ila litatugarimu sana haukuwa mda mwafaka kwa matatizo kama haya ili hali 2015 ni kesho kutwa.

Ndugu zangu nikweli kwamba zitto tunavyoonyesha kuwa ni msaliti kupindukia ni sababu ya ule waraka wa mabadiliko 2013 tu? Au wengi wetu mmesoma ule waraka wa siri zitto kabwe toka 2008 ambao chama kiliukanusha kuwa ni waraka wa uongo ndio mnamhukumu nao?

wengi tumekuwa tikimshambilia zzk kuwa ni msalti anatumika na ccm kuua chama, ila kwenye yale makosa 11 mbona hakuna waliponyesha kuwa zitto kapokea pesa kutoka ccm au katumika na ccm?

Cha kushangaza hata tundu lisu alipokuwa anahutubia juzi huko iramba hakusema kama watu hawa niwasaliti kuwa wanatumika na ccm bali kajikita kwenye hoja ya kutokuwa na nidhamu ndani ya chama kwa kutengeneza mtandao ndani ya chama jambo ambalo nisahihi kabisa.

Tumetoka katika nguvu ya kushambulia serikali ya ccm mfano katika mauaji na udhalilishaji wa raia kupitia oparesheni tokomeza, ambapo tungewapata wengi wa kuungana nasi wa kutoka vyama vingine sasa tumebakia ni kushambuliana sisi kwa sisi je huu ndio ukamanda?

kwanini wakina zzk tusiwahukumu kwa utovu wa nidham kuliko kusema wamesaliti kwa kupokea pesa kutoka ccm jambo ambalo hatulijui wala uhakika nalo?
Nikweli zitto amekuwa mbaya kwa huo waraka ambao kwanza hata walio uandaa wasema hahusiki? Hata kama kahusika ndo kawa mbaya kuliko hao wauwaji wa raia? Tujikite kutafuta mafanikio ya chama na sio kurushiana maneno sis kwa sisi. Mods usiunganishe tafadhali.

Kwa mujibu wa Mbowe: MSALITI ni mtu yeyote mwenye mawazo au mtazamo wowote unaohatarisha maslahi ya mwenyekiti hata kama mawazo hayo au mtazamo huo ni wakukijenga chama.
 
Kimweri

Democrasia ya vyama vingi, maana yake unajumuika na kujiunga na upande chama unachodhani kinaendana na matakwa yako. Ukiona hakikidhi mahitaji yako una option

1. Kuacha siasa kabisa

2. Kuanzisha chama chako ilmradi kukidhi vigezo

3. kujiunga na chama kingine ambacho kwako kinafaa

4. Kuwa mwanaharakati

a) Upuuzi ni upi, kujifungia chumbani na kutengeneza makundi, kwa kanuni zipi?

Je katiba inaruhusu chama ndani ya chama? yaan kinachoonekana na kingene cha siri?

2. Katiba inaruhusu kwamba, kiongozi wa kitaifa wakati wote anajipangia majukum yake bila kushirikiana na wengine?
kwenye harakati mbalimbali?

,

Hapa chini nimekuorodheshea mambo mengi. ndo sababu nimesema wewe ni very low....huelewi unajadili na kubisha kitugani.
quote_icon.png
By adolay

Unashauri mgonjwa wa kansa atibiwe kwa panadol wakati mguu usha oza.

-Akina shonza, mwampamba na wenzao walifukuzwa CDM nyuma ya pazia papa alikuwa ZZK

-Mwigamba, mkumbo, Mara na sehem zingine migogoro nk nyuma ya pazia papa ni ZZK

-Ushirikiano na viongozi wengine wa kitaifa unalega kwa ratiba mbili tofauti, siku zote ZZK anafanya kivyake

-Pamoja na kuandikiwa na kutakiwa kujitetea amekuwa kiherehere majukwaani kama cdm ni yake na si wanachama

-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....

-Bungeni, cdm kama chama, kimkakati walikubaliana kutoka, ZZK akauchuna.....

-CCM na vibaraka wake wamekuwa mstari wa mbele kumtetea zzk...kunanini nyuma ya pazia???

Shutuma na makosa ni mengi, kama shonza na wenzake walifukuzwa kwa utovu wa nidham, zzk akabaki, nabado ameendelea kutengeneza migogoro kupitia siasa za makundi, hitimisho lenyetija ilikuondokana na migogoro ya kila siku ambayo mwisho wake ni cdm kupasuka yaipasa chadema kumvua uanachama na kumfukuza ZZK bila kusita.

Nyinyi mnao tazama kwa nje unamaanagani wewe na nani ? si kweli mimi nakupinga

Wewe na wenzako wachache watumwa wa mizigo, magamba na mafisadi s vinginevo

Upunguani hauji kwa kuandika kama unavofanya maana katiba sheria na taratibu zinapaswa kuheshimewa.

NInaposema sisi tunaotazama kwa nje namaanisha watanzania Tunaoishi nje ya Tanzania, tunaoshiriki kwenye siasa za nchi hiyo kupitia froum kama hizi.wewe kuniita gamba etc hakusaidi kusogeza mbele hoja yako.

Unaorodhesha vitu ambavyo ni hearay halafu uantegemea mimi nivikubali kijumla jumla.mimi sio kama wewe, sihitaji kufuata upepo,sina maslahi yoyote ya kinachoendelea CDM wala CCM,natazama kinachoendelea kwa jicho la aliye nje.simple as that.kama huelewi shauri yako.

kuendelea kwako kuorodhesha uzushi hakumaanishi utaniaminisha kuwa ZItto anafanya mambo yasiyo na tija na taifa,ukiniambia chenge ana $1M offshore nitakuelewa, kwa sababu its proven beyond doubt, ukiniambia kuwa Zitto ni mwenyekiti wa PAC iliyosimamia mashirika kadhaa, na mawaziri kadhaa kuwajibishwa, it's proven beyond doubt,hadithi za mwigulu kukutana na zitto "havintishi bar" kuihujumu chadema ni umbea mabao haujawa proven,kwa mtu mzima kama mimi siwezi kupoteza muda kujadili upuuzi huu.

tuhuma 11 mlizomtuhumu zito (mbali na kuwa based on hearsay) ziko open kwa kila mwenye macho na masikio-wengi wanakubali hazina weight ya kumua-abuse kiongozi wenu mstaafu kwa level hii.
Mnasema waraka uliowekwa kwenye vyombo vya habari sio wenyewe at the same time mnazunguka nchi nzima kumnanga nao.mnasema kuwa Zitto ame-consipre kumng'oa uenyekiti mbowe kwa waraka alioandika Kitila Mkumbo.

Mbaya zaidi, ukiondoa lugha isiyo ya kistaarabu iliyotumika kwenye waraka 90% ya kilichoandikwa ni matatizo makuu ambayo Chadema kama taasisi inatakiwa iyashughulikie, uitely,sio kupiga kelele kwenye media kila siku.
 
-Sakata la Lwakatare zzk na Mwigulu walianzisha move Star TV, wakati mwigulu anakinanga cdm, zzk alikaa kimya...

-Sakata la Lwakatare zzk akaibuka na hoja ya kumkana lwakatare na chama kisishughulikie tatizo la Lwakatare.....
.
Hili sakata bado bichi!, kwa vile kesi haijasikilizwa, linaweza likaiva likaliwa likiwa bivu, ila pia linaweza likaoza na watu wakala ioza/uozo au hata wasipokula uozo, litavunda na uvindo haukwepeki!. Kumbuka ile video bonafide genuine maadam Chadema wamesimama naye, then ikithibitishwa itakuwa ni Chadema na sio Rwaka na hapo ndipo mtamuelewa ZZK alikuwa anamaanisha nini!.
Pasco
 
tatizo langu na hawa CHADEMA mtandaoni ndio hili,hivi ni punguani gani atakubaliana na huu upuuzi kuwa Zitto is not against CCM and its policies?hivi ni mjinga gani atakayetofautisha harakati za kina Zitto Kabwe mid to late 2000s na kukuwa kwa Chadema kama household name kwenye Siasa za Tanzania?the same way Dr.Slaa became a household name with his Ufisadi rhetoric is the same way Zitto is know for being against CCM since the Dowans day.

Leo hii unauliza maswali ambayo yako Obvious unategemea kila mtu akubaliane na upuuzi huu?Tatizo la Chadema sio Zitto as Zitto,tatizo la Chadema ni kubwa zaidi,kitendo cha kukaa chini na Kumchunguza Naibu katibu kuu eti amekosa uzalendo kwa chama,eti anatumika ni tatizo kubwa sana kwa Chadema, it speaks of a party with NO confidence in itself,kama mlimchagua wenyewe si msubiri uchaguzi mumuondoe?kelele za nini?tumechoshwa na hizi personal Vendetta zisizo na kichwa wala miguu.

Leo hii mtu anasimama na kudai Zitto ni msaliti kwa sababu anataka kuwa mwenyekiti,Zitto ni msaliti kwa kuwa hakubaliani na mwenyekiti,sasa mlitaka aseme ndiyo kwa kila jambo?mbona huko CCM it's an open Secret kuwa Ben Mkapa na Kikwete hawakuwahi kuwa buddies na walikabidhiana nchi?mbona Mchonga aliwaita kina malecela wahuni hakuna aliyemuita msaliti?mbona huyu kikwete alishawahi kuambiwa hafai kuongoza nchi na leo hii ndio anapelekewa matatizo Ikulu ayatatue.

I keep repeating this,and heacd honchos wa Chadema ought to take notice, Populism is not a way forward for Chadema, its nice to have loud mouths like Lema etc to mobilize people, but having them as decision makers is a huge stupid mistake. Politics is a game way too serious to be taken lightly.
Mkuu Kimweri, nimeipenda objectivity yako kwenye post hii, I wish viongozi wa Chadema wangeisoma na kuielkewa. Wengi wa wapenzi wa Chadema wanaoshabikia na kushadadia hiki kinachoendelea, kiukweli ni weupe kuweza kuelewa posti kama hii na kitakachofuata utaushuhudia udebe tupu wako kwa jinsi watakavyopiga kelele!.
Merry X-mass
Pasco
 
ndugu zangu, ninapoongea hivi mi ni mwanachama wa chadema halisi kabisa. Naipenda chadema na ninamatumaini tutashinda hili jalibu linalotukabili. Tukumbuke sakata hili la zitto, kitila na mwigamba tunaendelea kulishambikia tu kama ushabiki wa simba na yanga, ila litatugarimu sana haukuwa mda mwafaka kwa matatizo kama haya ili hali 2015 ni kesho kutwa.

Ndugu zangu nikweli kwamba zitto tunavyoonyesha kuwa ni msaliti kupindukia ni sababu ya ule waraka wa mabadiliko 2013 tu? Au wengi wetu mmesoma ule waraka wa siri zitto kabwe toka 2008 ambao chama kiliukanusha kuwa ni waraka wa uongo ndio mnamhukumu nao?

wengi tumekuwa tikimshambilia zzk kuwa ni msalti anatumika na ccm kuua chama, ila kwenye yale makosa 11 mbona hakuna waliponyesha kuwa zitto kapokea pesa kutoka ccm au katumika na ccm?

Cha kushangaza hata tundu lisu alipokuwa anahutubia juzi huko iramba hakusema kama watu hawa niwasaliti kuwa wanatumika na ccm bali kajikita kwenye hoja ya kutokuwa na nidhamu ndani ya chama kwa kutengeneza mtandao ndani ya chama jambo ambalo nisahihi kabisa.

Tumetoka katika nguvu ya kushambulia serikali ya ccm mfano katika mauaji na udhalilishaji wa raia kupitia oparesheni tokomeza, ambapo tungewapata wengi wa kuungana nasi wa kutoka vyama vingine sasa tumebakia ni kushambuliana sisi kwa sisi je huu ndio ukamanda?

kwanini wakina zzk tusiwahukumu kwa utovu wa nidham kuliko kusema wamesaliti kwa kupokea pesa kutoka ccm jambo ambalo hatulijui wala uhakika nalo?
Nikweli zitto amekuwa mbaya kwa huo waraka ambao kwanza hata walio uandaa wasema hahusiki? Hata kama kahusika ndo kawa mbaya kuliko hao wauwaji wa raia? Tujikite kutafuta mafanikio ya chama na sio kurushiana maneno sis kwa sisi. Mods usiunganishe tafadhali.
Yaani katika watu ambao ni objective na sio subjactive ni wewe, watu woote wa chadema wangekuwa kama wewe basi mambo yangeenda poa. Mi nadhani umefikiri mbali kukiko hata baadhi ya viongozi wa chama ambao watu wanawaita makamanda,wakati wanastick kwenye ushabiki fulani badala ya kuangalia mstakabali wa chama na Taifa letu....
 
ndugu zangu, ninapoongea hivi mi ni mwanachama wa chadema halisi kabisa. Naipenda chadema na ninamatumaini tutashinda hili jalibu linalotukabili. Tukumbuke sakata hili la zitto, kitila na mwigamba tunaendelea kulishambikia tu kama ushabiki wa simba na yanga, ila litatugarimu sana haukuwa mda mwafaka kwa matatizo kama haya ili hali 2015 ni kesho kutwa.

Ndugu zangu nikweli kwamba zitto tunavyoonyesha kuwa ni msaliti kupindukia ni sababu ya ule waraka wa mabadiliko 2013 tu? Au wengi wetu mmesoma ule waraka wa siri zitto kabwe toka 2008 ambao chama kiliukanusha kuwa ni waraka wa uongo ndio mnamhukumu nao?

wengi tumekuwa tikimshambilia zzk kuwa ni msalti anatumika na ccm kuua chama, ila kwenye yale makosa 11 mbona hakuna waliponyesha kuwa zitto kapokea pesa kutoka ccm au katumika na ccm?

Cha kushangaza hata tundu lisu alipokuwa anahutubia juzi huko iramba hakusema kama watu hawa niwasaliti kuwa wanatumika na ccm bali kajikita kwenye hoja ya kutokuwa na nidhamu ndani ya chama kwa kutengeneza mtandao ndani ya chama jambo ambalo nisahihi kabisa.

Tumetoka katika nguvu ya kushambulia serikali ya ccm mfano katika mauaji na udhalilishaji wa raia kupitia oparesheni tokomeza, ambapo tungewapata wengi wa kuungana nasi wa kutoka vyama vingine sasa tumebakia ni kushambuliana sisi kwa sisi je huu ndio ukamanda?

kwanini wakina zzk tusiwahukumu kwa utovu wa nidham kuliko kusema wamesaliti kwa kupokea pesa kutoka ccm jambo ambalo hatulijui wala uhakika nalo?
Nikweli zitto amekuwa mbaya kwa huo waraka ambao kwanza hata walio uandaa wasema hahusiki? Hata kama kahusika ndo kawa mbaya kuliko hao wauwaji wa raia? Tujikite kutafuta mafanikio ya chama na sio kurushiana maneno sis kwa sisi. Mods usiunganishe tafadhali.
Umezungumza ukweli Kamanda!!Ukweli mchungu kama nini
CC
Ben Saanane
lema
Mungi
Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Hili sakata bado bichi!, kwa vile kesi haijasikilizwa, linaweza likaiva likaliwa likiwa bivu, ila pia linaweza likaoza na watu wakala ioza/uozo au hata wasipokula uozo, litavunda na uvindo haukwepeki!. Kumbuka ile video bonafide genuine maadam Chadema wamesimama naye, then ikithibitishwa itakuwa ni Chadema na sio Rwaka na hapo ndipo mtamuelewa ZZK alikuwa anamaanisha nini!.
Pasco

Mkuu pasco.

Kitu kimoja nikupongeze kwakuwa bado unaisimamia kauli yako hapo kwenye blue.

Kauli ya ZZK kama nisahihi na anaamini nisahihi, nimuda muafaka kwakwe kuondoka

itakuwa ajabu yeye kufa katika ajali ya chama ambayo anaifahamu - hili linipa mashaka sana.
 
Angeshauriwa zitto ajikite kutafuta muafaka kama Dr.kitila siyo kuwashambulia viongozi wake kwa mabango ktk mikutano

kwani kwenye mikutano wanaoandika mabango ni zito au washabiki kama wewe? Mabango akiandikiwa dr. Slaa poa, ila akiandikiwa zzk basi anatukana? Yaani huo ni ushabiki kama uleule wa ccm au hata ya wtu fulani kwa dr. Jamaa kasema jambo zuri saana tena,sana kwa chama, ila hiyo kwa wanaofikiria positively na sio kwa kuangalia ushabiki wa mtu fulani...
 
NInaposema sisi tunaotazama kwa nje namaanisha watanzania Tunaoishi nje ya Tanzania, tunaoshiriki kwenye siasa za nchi hiyo kupitia froum kama hizi.wewe kuniita gamba etc hakusaidi kusogeza mbele hoja yako.

1. Nataka kukuuliza, posti na mabango kwamfano hapa jf, niaslimia ngapi yanabeba hoja za kweli? (Genuine threads with reliability of at least 90% truth) kukufanya wewe kuamini yatokanayo bila kuwa na mashaka?

2. Nataka pia bila kubahatisha kama utafanya research ndogo hapahapa jf niwachangiaji asilimia ngapi ambao wanachangia hoja za msingi kwa kuweka na kujadili ukweli? Ambao unakufanya wewe unafuatilia kupitia forum kuamini unavyoamini.

3. Je unaamini kwamba wote walio nje ya nchi wanamtazamo kama wako? can you tell the probability of this please at what confidence limit.

Ukinijbu haya tutaendelea na mengine tafadhali tuendelee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom