Sasa waraka ulioandikwa na Mkumbo Zitto anaingiaje?unamhukumu vipi zitto kwa makosa ya Mkumbo?umeshawahi kwenda mahakamani?unafahamu maana ya evidence?unadiriki kusema kwa dhati kuwa Evidence ya ushiriki wa zitoo ni waraka ambao umeandikwa na Mkumbo?
nimekuomba evidence za Zitto unaleta hadithi za Sonza na Mwambapa whatever?can we stick to Zitto?maana naamini ndiye anayehukumiwa kwa makosa ninayoyaita hearsay.kufukuzwa afukuzwe Sonza, hukumu apewe zitto,kweli?hata kama walikuwa washirika, unaweza kuleta ushahidi usio na mshaka juu ya hilo?tafadhali usilete hadithi za yule mganga njaa ben.
Hivi wewe Unakubali kuaminishwa kuwa ZItto hasiriki shughuli za CHAMA?unaamini kabisa kuwa mwenyekiti wa PAC sio kuiwakilisha CHADEMA?au wewe shughuli za CHAMA ni kuandamana kutwa kucha?kwa sisi wenye mtazamo tofauti tunaamini CHADEMA ni chama cha upinzani,kushiriki shughuli za CHAMA kwa mbunge wa upinzani ni pamoja na kufanya yale ambayo mbunge wa upinzani anatakiwa kuyafanya.na kwa hilo Zitto ana A+,usilete hadithi za kina Dr.Slaa,yule sio mbunge, harakati ndio kazi yake, ni mtendaji mkuu wa chama,Lema naamini hana uwezo wa kusimamia Hoja au hata kuongoza Kamati ya Bunge kwa kiwango cha Mtu kama Slaa,Mnyika, Lisu, au Zitto.hivyo akishiriki kwenye kuzurula nchi nzima kujenga chama ni sawa.
Sina muda wa kupoteza kuleta picha za Zitto kwenye kampeni zenu za Ubunge, Udiwani kwenye majimbo mengine hilo liko wazi, wewe umewekewa mziki unacheza bila kujua mashairi, na hiyo ndiyo tabu yake.
Sihitaji kujua kinachoendelea ndani kufahamu "what a mess" Chadema is in organizational competence,or how the wrong people keep making the wrong decisions. Unahitaji nielezwe nini kusikia Mbunge wa Chama chenu anateka Laptop ya Mtu ili Kupeleleza Siri zilizomo ndani ya Laptop?Hivi unaelewa ndani ya mioyo ya watu kuna siri ngapi?unaelewa kwenye simu za watu kuna siri ngapi?leo hii hata Allies kina Marekani na Ujerumani wanakosana kwa sababu ya kuwekwa wazi kwa mambo yasiyotakiwa kuwekwa wazi(naamini ndio kosa kuu la Snowden).
Mimi sina Eveidence sijawahi kuwa nazo, wala sijawahi kuziomba, sizihitaji, sijui nani amekuambia kuwa nazihitaji ili kuona upuuzi unaoendelea chadema,press conference na matamko yenu yanatosha,matamko ya Zitto yanatosha, kuonesha kuwa busara kwenye Uongozi wa Chadema na Huyo Zitto mmeshatia mfukoni.
Sasa wewe unaweza vipi kumhukumu mtu kwa kitu ambacho hajakisema?unaelewa kwa nini Marikani Polisi anakuomba unyamaze??kwa kuwa upuuzi wa kuongea bila uhakika unatia watu matatani zaidi ya ukimya.hizo habari za mwigulu ku-conspire na Zitto ni upuuzi una-belong kwenye vijiwe vya kahawa,until proved otherwise,kwa hiyo unaamini Babu seya hakubaka siyo, na ile hukumu ni beef na Mh fulani Siyo.
Sijakuambia nina ufahamu bora,umeuliza swali kwa nini nimesema nje nimekujibu,ulitaka nisikujibu?